×

Michezo

Ajibu Aingia Kwa Dk Shika, Apeleka Shangwe Yanga SC

MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Ibrahim Ajibu amemtu­mia bilionea wa nyumba za Lugumi, Dk Louis Shika kupeleka shangwe za ushindi wa...

READ MORE

Lwandamina Awapa Onyo Simba SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amesema kuwa, endapo ikitokea wapinzani wao wa jadi, Simba wakateleza, basi waandike wameumia...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Ulaya Kuendelea Leo, Ratiba Ipo Hapa

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuendelea leo Jumanne na kesho Jumatano ikiwa ni hatua ya makundi ambapo kutakuwa...

READ MORE

Bossou Akili Yote Yanga, Amtwangia Simu Lwandamina

BEKI wa Yanga, raia wa Togo, Vincent Bossou, amempigia simu Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, akimuomba kurejea kwenye...

READ MORE

Aunt Atangaza Nia Ya Ndoa Na Iyobo

STAA mkali wa filamu Aunt Ezek­iel, ameweka wazi nia yake ya ku­funga ndoa yake ya pili na mzazi mwenzie Moses...

READ MORE

Okwi Aanza Kuwindwa Kimyakimya

  STRAIKA wa Simba, Em­manuel Okwi, raia wa Uganda, kwa sasa ndiye kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini...

READ MORE

Okwi Ajiandae…Chirwa Apiga Hat Trick Ya Kideoni

  STRAIKA Obrey Chirwa amedhihirisha ubora wake baada ya jana Jumapili kuifungia Yanga mabao matatu ‘hat trick’ na kuiwezesha kushinda...

READ MORE

Dk Shika Alivyopata Shavu La Sokabet (Video)

MSOMI na ‘bilionea’ aliyejipatia umaarufu hivi karibuni baada ya kutaka kununua nyumba za mnada za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk Louis...

READ MORE

Tunaona Ligi Imekuwa Ngumu Kwa Kuwa Haki Inatendeka…

UNAPOKUWA unakosoa bila ya woga, basi inakuwa vizuri sana ukawa pia unasifia bila ya kuhofia lawama kutoka upande wowote ule....

READ MORE

FT: Yanga 5-0 Mbeya City Uwanja Wa Uhuru, Ligi Kuu

FT:  Yanga 5-0 Mbeya City Dakika ya 90: Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza. Dakika ya 85: Mashabiki wa Yanga wanaongeza...

READ MORE

Video: Dk Shika Ala Shavu la Nguvu Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Sokabet

Dk. Louis Shika amekula shavu la nguvu baada ya kusaini mkataba na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Sokabet ambapo...

READ MORE

Kama Ulivyosikia Manchester United Yawapiga Newcastle 4-1 (Video)

 MANCHESTER UNITED (4-1-4-1): De Gea 6; Valencia 6.5, Smalling 7, Lindelof 5.5, Young 7; Matic 6.5; Rashford 6, Mata...

READ MORE

ManCity, Liverpool na Chelsea Zimeibuka na Ushindi

Manchester City imeonyesha mchezo mwengine mzuri katika ushindi dhidi ya Leicester ambao umeimarisha uongozi wake katika kilele cha jedwali la...

READ MORE

Arsenal Yainyamazisha Tottenham Hotspurs

ARSENAL  imeifunga mabao mawili ya kipindi cha kwanza na kuwalaza wapinzani wao wa jadi mjini London Tottenham kwa mara ya...

READ MORE

Simba Yawafunga Tanzania Prisons Bao 1-0 Uwanja wa Sokoine Mbeya

SUB -Hamisi Maingo anaingia kuchukua nafasi ya Kimenya DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 90 Prisons wanaonekana kutokata tamaa, wanaendelea kupambana...

READ MORE

Championi, Sokabet Wapiga Tafu Soka La Ufukweni

  MICHUANO ya Soka la Ufukweni hapa nchini ambayo inadhaminiwa na gazeti namba moja la michezo hapa nchini la Championi...

READ MORE

Kichuya Amchomoa Tambwe Ufungaji Bora

WINGA wa Simba, Shiza Kichuya amesema ni ngumu kwa Amissi Tambwe wa Yanga kuwa mfungaji bora katika msimu huu wa...

READ MORE

Kamusoko, Ngoma Waondolewa Yanga

WAZIMBABWE, Thabani Kamusoko na Donald Ngoma, wameondolewa katika kikosi cha Yanga kitakachocheza na Mbeya City kesho kwenye Uwanja wa Uhuru,...

READ MORE

Ratiba za Mechi za Leo na Kesho Ulaya

PREMIER LEAGUE Arsenal v Tottenham Emirates 9:30 Jioni Bournemouth v Huddersfi eld Vitality 12:00 Jioni Leicester v Man City King...

READ MORE

Singida United Yafanya Kweli Nyumbani, Yaitandika Timu Ya Matola

Ligi Kuu ya Vodacom imeendelea leo Ijumaa kwa kuchezwa mchezo mmoja mkoani Singida. Timu ya Singida United ikiwa nyumbani, imefanikiwa...

READ MORE

MALINZI, MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE

  ( PICHA NA RICHARD BUKOS )

READ MORE

Okwi, Juuko Wawazimia Simu Viongozi

  WAGANDA, Emmanuel Okwi na Juuko Mur­shid, wameanza vituko ndani ya timu hiyo baada ya kwenda kwao na kuchelewa kurudi...

READ MORE

Kaseke Atimuliwa Singida United

  UONGOZI wa timu ya Singida United, unadaiwa kuwatimua wachezaji wake wawili, Deus Kaseke na Kenny Ally. Inadaiwa sababu ya...

READ MORE

Waziri Kushusha Straika Yanga SC

KATIKA kuhakikisha wanafanikiwa kumpata mpachika mabao wa Tanzania Prisons, Mo­hammed Rashid, Yanga imepanga kumtumia waziri mmoja aliyepo chini ya Rais...

READ MORE

900 Itapendeza Kumbe ni Shabiki wa Chelsea

  MSOMI na ‘bilionea’ aliyejipatia umaarufu hivi karibuni baada ya kutaka kununua nyumba za mnada za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk...

READ MORE

Kauli Tata Za Mwisho Za Ndikumana

  KIFO hakina huruma na ni fumbo kubwa kwa binadamu kwani hakuna ajuaye siku yake ya kuondoka duniani! Usiku wa...

READ MORE

KIFO CHA NDIKUMANA CHAIACHIA MAJONZI SOKA RWANDA

  KIFO cha Hamad Ndikumana, aliyekuwa maarufu zaidi nchini mwake Rwanda kama Katauti, kimeombolezwa kwa wimbi kubwa la huzuni miongoni...

READ MORE

Kapombe: Simba Sc Vunjeni Mkataba Wangu

BEKI wa Simba, Shomari Kapombe ameibuka na kujibu tuhuma alizotupiwa na bosi wake, Zacharia Hans Poppe.   Hans Poppe juzi...

READ MORE

Simba Waendelea Kujifua Jijini Mbeya Dhidi ya Prisons

MAZOEZI ya timu ya Simba  jana na leo yameendelea katiaka Uwanja wa wa JKT Itende, Mbeya, ambapo ratiba ya mazoezi...

READ MORE

Yanga Yashusha Straika wa Maana, Yondani Anaijua Kazi Yake

ZIKIWA zimebaki siku moja kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili hapa nchini, uongozi wa Yanga unajipanga vilivyo kuhakikisha...

READ MORE

“900 Itapendeza Zaidi” Ya Dk Shika Isiingie Usajili Dirisha Dogo

KESHOKUTWA Jumatano dirisha dogo la usajili litafunguliwa na timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara baada ya mechi 9, zitakuwa na nafasi...

READ MORE

Julio: Tulieni Tu, Mechi Za Nyumbani Zitatubeba

LICHA ya kufungwa mechi mbili mfululizo, Kocha Mkuu wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameweka bayana kwamba ana uhakika mkubwa...

READ MORE

Juuko Kuondolewa Simba Kisa Uongozi

BEKI wa kati wa Simba, Juuko Murshid, mkataba wake na klabu hiyo unamalizika mwezi Desemba, lakini hivi karibuni viongozi wa...

READ MORE

Kwamba Man City Wasifungike

MANCHESTER City walivyouanza msimu, wamesababisha watu waamini kuwa huu ni mwaka wao wa kumaliza ligi bila kufungwa mechi yoyote. Wanafanya...

READ MORE

Bayern Kutafuta Pointi Muhimu Bundesliga

BUNDESLIGA itaendelea tena wikiendi ijayo wakati Bayern Munich watakapokuwa uwanjani kutafuta ushindi muhimu kwenye ligi hiyo kubwa. Bundesliga ni ligi...

READ MORE

Yanga Yakwama Kwa Ndemla

KIUNGO wa Simba, Said Ndemla amekwenda kwenye majaribio nchini Sweden kwa siku 14, lakini Yanga imekwama kumsajili kutokana na mambo...

READ MORE

Mpira Wa Kombe La Dunia 2018 Wazinduliwa

KAMPUNI ya vifaa vya michezo ya Adidas, imeutambulisha mpira wa Telstar 18 utakaotumika katika michuano ya Kombe la Dunia 2018...

READ MORE