×

Michezo

Yanga: Hangaikeni Tu, Chirwa Haendi Popote

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Hussein Nyika, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kusema mshambuliaji wao, Obrey...

READ MORE

Moto wa Messi, Suarez ni Balaa

BARCELONA ilikuwa na MSN ikiwa ni muunganiko wa wachezaji watatu wa mbele, wakawa wakali katika mabao, lakini licha ya kuondoka...

READ MORE

FT: SIMBA 3-3 STAND UNITED, KUTOKA UWANJA WA TAIFA

Dakika  ya 94, Mchezaji wa Stand ameumia, mpira umesimama Dakika ya 90, Zimeongezwa dakika 4 pekee mpira umalizike Dakika ya...

READ MORE

Yanga Wapelekwa kwa Babu Singida, Kazi Ipo!

Droo ya upangaji wa timu zitakazokuwa zinacheza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho imefanyika asubuhi ya leo katika...

READ MORE

Simba Inakutana Na Nguli Wa Afrika

MWAKA 2003, Simba ikiwa na kikosi chenye mchanganyiko wa wachezaji vijana na wazoefu ilifanikiwa kufika hatua ya makundi ya Ligi...

READ MORE

Uwanja wa Old Trafford Kutanuliwa

KLABU ya Manchester United ipo katika mikakati ya kuutanua Uwanja wa Old Trafford katika upande wa majukwaa ili kuingiza watu...

READ MORE

Hesabu Zaigomea Majimaji Ligi Kuu Bara

  UONGOZI wa Klabu ya Majimaji, umesema hesabu zao za msimu huu za kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimegoma,...

READ MORE

Okwi Mchezaji Bora wa Simba

MSHAMBULIAJI Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Januari- Februari kwa Klabu ya Simba baada ya...

READ MORE

Arsenal Yapigwa Tena na Manchester City Bao 3-0 (Picha +Video)

TIMU ya Manchester City imeshinda tena bao tatu dhidi ya Arsenal usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Emirates mchezo...

READ MORE

TFF ya Misri Yawabeba Al Masry

KATIKA kuhakikisha timu ya Al Masry inafanya vyema kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Chama cha Soka cha Misri...

READ MORE

Lwandamina Aonyeshwa Mlango Wa Kutokea Yanga

BAADA ya kuwepo taarifa kuwa huenda Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina akatimkia katika Klabu ya Zesco, uongozi wa Yanga...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Hata Yanga Wakifungwa 10-0, Watabaki Kwenye Michuano ya CAF

  KATIKA kipindi cha Spoti Hausi leo Alhamisi, Machi 1, 2018 kupitia Global TV Online tunakuletea uchambuzi wa nini Yanga...

READ MORE

Karia Azichimba Mkwara Simba, Yanga SC

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ametamka kuwa hataruhusu klabu yoyote kucheza Ligi Kuu Bara kama itakuwa haijawakatia bima...

READ MORE

Neymar Kufanyiwa Upasiuaji, Kukaa Nje Miezi Miwili, World Cup Vipi?

IKIWA imesalia miezi mitatu tu ili Brazil icheze mchezo wake wa Ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya Switzerland nchini...

READ MORE

FT: NDANDA 1-2 YANGA KUTOKA NANGWANDA

MPIRA UMEKWISHAAAA DAKIKA TATU ZA NYONGEZA Dk 90, Yanga wanapeleka shambulizi ndani ya lango la Ndanda, lakini Ngassa anaokoa Dk...

READ MORE

Ngassa Atafuta Sifa Kwa Yanga SC Nangwanda

  KIKOSI cha timu ya Yanga, leo Jumatano kinapambana kufa au kupona kuhakikisha kinavunja rekodi yake mbaya kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Kidogo Heshima ya Ligi Inarejea, Simba, Yanga Wasibweteke

WiKi iliopita, Tanzania tulibarikiwa kwa kupokea ugeni mzito wa viongozi wa juu kabisa wa soka ulimwenguni ambapo Rais wa Shirikisho...

READ MORE

Yanga: Subirini Ubingwa Mali Yetu

YANGA wamedai kwamba kikosi hicho ambacho wapinzani wao wanakibeza, basi kitabeba Kombe la FA na Ligi Kuu Bara kimiujiuza. Mwenyekiti...

READ MORE

Bocco Afungukia Tuzo ya Mchezaji Bora Bongo

MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco amefungukia tuzo yake ya uchezaji bora aliyokabidhiwa juzi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, kwa...

READ MORE

Yanga Yakabidhiwa Majina Hatari ya Wabotswana

TIMU ya Yanga, imepewa majina matatu ya nyota wanaokipiga kwenye kikosi cha Township Rollers ya Botswana ambao wanatakiwa kuwachunga ili...

READ MORE

Kwasi Ajichanganya Na Mbao, Asoma Mbinu Zao

BEKI wa Simba, Asante Kwasi amewafanyia kitu mbaya timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza katika mchezo wa juzi uliochezwa...

READ MORE

Beki Mbao: Kichuya, Okwi Walituvuruga

BEKI wa Mbao FC, David Mwasa amefunguka kuwa mabao mawili ya haraka ambayo yalifungwa na Simba kwa kipindi kifupi ndiyo...

READ MORE

TFF Yawapa Yanga Muda wa Kuwamaliza Wabotswana

YANGA kwa sasa watakuwa na uhakika wa kuwamaliza wapinzani wao, Township Rollers ya Botswana katika mchezo wa hapa nyumbani baada...

READ MORE

Zidane Ampiga Chini Ronaldo

KOCHA wa Real Madrid ya Uhispania, Zinedine Zidane amemwacha Cristiano Ronaldo katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza leo usiku dhidi...

READ MORE

Yanga Yapangwa Burundi, Simba Sauzi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa(CAF) limewataja waamuzi kutoka Burundi kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Africa kati ya Yanga...

READ MORE

FT: Simba SC 5-0 Mbao FC

FULL TIME Dk ya 90 + 2: Mwamuzi anamaliza mchezo. Dk ya 90: Zinaongezwa dakika mbili. Dk ya 89: Mashabiki wa...

READ MORE

Neymar Aumia, Azua Hofu PSG

KUFUATIA nyota wa PSG ya Ufaransa, Neymar Jr kuumia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa kati ya timu...

READ MORE

Rage: Hakuna Kitakachoizuia Simba SC Ubingwa

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, amesema kuwa hakuna kitu kitakachoizuia timu hiyo kutangaza ubingwa mapema msimu huu....

READ MORE

CHIRWA: NIENDE SIMBA KUNA NINI!

STRAIKA mahiri wa kupachika mabao wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa amewahoji mashabiki wa soka waliokuwa wakimuambia aachane na Yanga ili...

READ MORE

FT: MAJIMAJI 1-2 YANGA KUTOKA MAJIMAJI STADIUM, KOMBE LA SHIRIKISHO

MPIRA UMEMALIZIKA Majimaji wanapambana kutafuta bao la kusawazisha, lakini kazi ni ngumu. Zinaongezwa dakika tatu za nyongeza. Dakika ya 90:...

READ MORE

Rais wa Fifa achukua Ushauri wa Championi, Aahidi Kuufanyia Kazi

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), liliamua kufanya mkutano wake mkuu nchini Tanzania ikiwa ni nchi mbili tu zilizopata nafasi...

READ MORE

Yanga SC Yaifuata Majimaji Kwa Ndege

KIKOSI cha wachezaji 20 wa Yanga na viongozi wao leo asubuhi wanatarajiwa kusafiri kwa ndege kwenda Songea tayari kwa mechi...

READ MORE

Mzee Akilimali: Simba Sc Wamepewa Chuma…

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amesema haoni dalili yoyote ya watani wao Simba kusonga mbele...

READ MORE

Mbao FC Mmesikia? Bocco Kapona Bhana

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni kwamba, straika wao, John Bocco yupo fiti na yupo tayari kuikabili Mbao FC...

READ MORE

Niyonzima Anusurika Kupigwa Kisu India

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika kufanyiwa oparesheni mguuni mwake baada ya vipimo vya uchunguzi wa jeraha lake kutoka na...

READ MORE

Simba Yapewa Siri Za Al Masry

MARA baada ya Simba kufanikiwa kufuzu kucheza Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baadhi ya Wabongo wakawa wanamtaja...

READ MORE

BUKU TU, SHIMO LINATEMA Mil. 100, 000, 000

NDANI ya miaka kadhaa iliyopita kumekuwa kuki­ibuka kampuni nyingi zinazojihusisha na masuala ya michezo ya kubashiri, miongoni mwa kampuni hizo...

READ MORE

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili kwa mara ya nne mfululizo...

READ MORE

Kisa Yanga, Majimaji Yaongeza Dozi

KUELEKEA mchezo wao wa Kombe la Shirikisho, kikosi cha Majimaji kimelazimika kufanya mazoezi yake mara mbili kwa siku ili kuweza...

READ MORE

Simba SC Yapania Kuipa Dozi Mbao FC

KOCHA Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, amefunguka kuwa ni lazima waifunge Mbao FC ili wasikaribiwe na watani zao wa...

READ MORE