×

Michezo

Tambwe, Chirwa Wawatuliza Yanga

WASHAMBULIAJI wa kutumainiwa wa Yanga, Obery Chirwa pamoja na Amissi Tambwe leo hii wataungana na kikosi hicho katika mazoezi ya...

READ MORE

Lwandamina atua, aongoza mazoezi Yanga

  KOCHA wa Yanga raia wa Zambia George Lwandamina, hatimaye amerejea kwenye klabu yake hiyo na kuanza kuinoa rasmi leo...

READ MORE

Majimaji Yalamba Sh Milioni 150 za Udhamini Kutoka Sokabet

KAMPUNI ya Mchezo wa Kubashiri ya Sokabet, imezinduliwa rasmi leo Jumatatu, Septemba 4, 2017 katika Hoteli ya Protea jijini Dar...

READ MORE

Shuhudia Uzinduzi Rasmi wa Kihistoria wa Sokabet (Video)

KAMPUNI ya Mchezo wa Kubahatisha ya Sokabet, leo Jumatatu imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam katika hafla fupi iyofanyika kwenye...

READ MORE

Simon Msuva Awashangaa Yanga

KUFUATIA kuitungua timu ya taifa ya Botswana mabao mawili, winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, ameshangazwa na mashabiki wa...

READ MORE

Tshishimbi Afanyiwa Mazoezi Maalum Njombe

WAKATI wikiendi hii timu ya Njombe Mji ya Njombe ikitarajiwa kuwavaa Yanga, uongozi wa timu hiyo umeamua kuwapa mazoezi maalum...

READ MORE

Samatta: Msuva Anapita tu Morocco

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amemtaja kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Simon Msuva kuwa atafika mbali katika soka la...

READ MORE

Uzinduzi wa Sokabet ni Leo, Endelea Kuvuna Mkwanja

SIKU chache tangu Kampuni ya Sokabet ianze kuwawezesha Watanzania kuvuna mkwanja kutokana na mchezo wa kutabiri matokeo, hatimaye uzinduzi rasmi...

READ MORE

FT: SIMBA 5-0 HARD ROCK, MCHEZO WA KIRAFIKI, DAR

FULL TIME Dakika ya 93: Mchezo umemalizika, Simba wanapata ushindi wa mabao 5-0. Dakika ya 92: Mchezo umepungua kasi na...

READ MORE

Sokabet Kuzinduliwa Leo, Mastaa Kibao Kuhudhuria

KAMPUNI ya Mchezo wa Kubahatisha ya Sokabet, leo Jumatatu inatarajiwa kuzinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam katika hafla fupi itakayofanyika...

READ MORE

MATOKEO YOTE YA KUWANIA KUFUZU WORLD CUP 2018, HAYA HAPA… (Video)

Kipute cha kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 kimeendlea wikiendi hii, viwanja mbalimbali vimekuwa bize vikipambana kupata matokeo...

READ MORE

SAMATTA AFUNGUKA KUHUSU KUTOTUPIA BAO DHIDI YA BOTSWANA

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amesema kitendo cha yeye kutofunga bao katika mchezo dhidi ya...

READ MORE

Sokabet: Buku Tu, Unakomba Sh 100m

  SIKU chache tangu kuzinduliwa kwa tovuti ya www.sokabet.co.tz imekuwa kimbilio la washiriki wengi wa michezo ya kubahatisha ambapo watu...

READ MORE

Taifa Stars Yaitwanga Botswana 2-0

TIMU ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars imeinyuka Timu ya Botswana bao 2-0, mchezo wa kirafiki wa Kalenda...

READ MORE

JINSI MAN U ITAKAVYOTWAA UBINGWA ENGLAND..!!

HABARI ya mjini sasa ni Manchester United, kwani imekuwa na mwanzo mzuri katika msimu wa Ligi Kuu England wa 2017/18...

READ MORE

TFF YAAMUA KUMLINDA TSHISHIMBI ASIZINGULIWE

  SIKU chache baada ya kiungo mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi kukumbana na balaa la kuchezewa rafu kibao katika...

READ MORE

Chirwa Aibuka Achimba Mkwara Mzito

MUDA mfupi baada ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusema straika wa Yanga, Obrey Chirwa, hana...

READ MORE

Okwi: Na Bado, Nitazidi Kufunga

MUDA mfupi tu baada ya kufunga bao pekee dhidi ya Misri na kuiwezesha Uganda kukaa kileleni mwa Kundi E la...

READ MORE

Zengwe La Tshishimbi Lamalizwa Yanga

PAPY Kabamba Tshishimbi sasa anaweza kujimwaga kwa raha zake kuichezea Yanga baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumaliza utata...

READ MORE

NAFASI NYINGINE YA TAIFA STARS KUONYESHA ILICHONACHO NI LEO

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Botswana, leo Jumamosi zinapambana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Wayne Rooney Atiwa Mbaroni

Mshambuliaji wa Everton Wayne Rooney amekamatwa na baadae kuachiliwa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa, polisi mjini Cheshire imesema....

READ MORE

UJINGA WA SHETANI WA BUSWITA, UNATUHUSU!

KIUNGO Pius Buswita kwa sasa anaunguruma karibu kila sehemu katika vyombo mbalimbali vya habari nchini.   Ukisema sasa Buswita ambaye...

READ MORE

MSIMCHUKULIE POA ARSENE WENGER

LIGI Kuu England ipo raundi ya tatu tangu ianze msimu huu huku Manchester United, iliyo chini ya Jose Mourinho, ikiwa...

READ MORE

CHIRWA RUKSA LIGI KUU, MSUVA APEWA ONYO

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Obrey Chirwa na kiungo wa Singida United, Deus Kaseke wameruhusiwa kucheza mechi za Ligi Kuu Bara kufuatia...

READ MORE

Ngoma Aipa Simba Mechi 5 za Ubingwa

STRAIKA wa Yanga, Donald Ngoma, raia wa Zimbabwe, amesema kuwa, anatoa mechi tano tu za mwanzo za Ligi Kuu Bara,...

READ MORE

Kocha wa Simba Amsaka Ibrahim Ajibu

BAADA ya hivi karibuni, mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu kushindwa kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi ya Lipuli...

READ MORE

MWASHIUYA: NILIFUNGA BAO ALIKIBA AKANIPA TSH. 120,000/=

MCHEZAJI wa Klabu ya Yanga, Geofrey Mwashiuya amefunguka kuhusu alivyofunga bao kwenye moja za mechi aliyoitumikia klabu hiyo na kujikuta...

READ MORE

TFF Yampa Rungu la Adhabu Wambura

KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Alfred Kidao amesema kuwa ameagizwa na rais wa Shrikisho hilo, Wallace...

READ MORE

Breaking News: Ratiba Ligi Kuu Kufumuliwa Upya (VIDEO)

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018, itafanyiwa marekebisho makubwa kutokana na makosa yaliyojitokeza katika ratiba ya sasa. Katibu mkuu...

READ MORE

Buswita: Simba Walinilazimisha Kusaini, Mimi Nataka Kubaki Yanga

Wakati sakata la kufungiwa kwa kiungo mshambuliaji Pius Buswita likiendelea kuwa gumzo hatimaye mchezaji huyo amejitokeza na kufunguka kilichotokea. Ikumbukwe...

READ MORE

Kesi ya Aveva, ‘Kaburu’ Yasogezwa Mbele

Kesi inayomkabili Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’  leo imeendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Fuvu Uwanja wa Taifa ni Aibu Yetu!

NINAAMINI unajua kuwa kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa iliahidi kuufanyia ukarabati Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Sokabet Buku tu inakupa milioni 100 wiki hii

KAMPUNI ya Sokabet ambayo inajihusisha na michezo ya kubashiri matokeo, inaendelea kufanya kweli ambapo kuna maelfu ya watu wanaendelea kujiunga...

READ MORE

Niyonzima: Acheni Utani, Yanga Hii Ni Hatari

KIUNGO wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amesema kuwa, endapo muunganiko wa Donald Ngoma, Obrey Chirwa, Papy Tshishimbi na Thabani Kamusoko...

READ MORE

Matola: Yanga Hawana Plani B

BAADA ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Yanga, Kocha wa Lipuli FC, Selemani Matola amewazungumzia wapinzani wao hao kwa...

READ MORE

Omog Ampa Okwi Mabao 60 Msimu Huu

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, amewapa mtihani washambuliaji wake wakiongozwa na Emmanuel Okwi na John Bocco baada ya kusema...

READ MORE

Msuva: Huyu Tshishimbi Ni Kiungo Hatari

LICHA ya Yanga kuanza ligi kwa sare, lakini kiungo wa zamani wa timu hiyo, Simon Msuva, ameibuka na kusema kuwa,...

READ MORE

MBAO FC WAPATA MKATABA WA SHILINGI MILIONI 140

Mbao FC imesaini mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na kampuni ya uagizaji wa magari ya mizigo GF Trucks &...

READ MORE

HATIMAYE TFF WATOA NGAO MPYA KWA SIMBA

HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya marekebisho katika Ngao ya Jamii ambayo timu ya Simba ilikabidhiwa baada ya kuifunga...

READ MORE

Ligi Kuu Bara…. Chunga Sana Hizi Sura

BAADA ya kusi­mama kwa zaidi ya miezi mitatu, ha­timaye uhondo wa Ligi Kuu Bara umerejea. Mabingwa wa msimu uliopita, Yanga,...

READ MORE