×

Michezo

Sokabet… Tabiri Bingwa Uvune Mamilioni

SIKU chache tangu kuzinduliwa na kuanza kufanya kazi, tovuti ya www.sokabet.co.tz imekuwa kimbilio la washiriki wengi wa mchezo wa kubahatisha...

READ MORE

Okwi Atamba: Subirini Mabao…

BAADA ya kufunga mabao manne kwenye mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa...

READ MORE

Niyonzima: Kwa mwendo huu, mtaumia wengi

  KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Haruna Niyonzima, ameweka wazi kuwa kwa staili ambayo wameanza nayo ya kufunga idadi kubwa ya...

READ MORE

Kocha Simba: Kombinesheni ya Okwi, Liuzio Hatari

KOCHA Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda, amefunguka kuwa, kombinesheni ya washambuliaji wao, Emmanuel Okwi na Juma Liuzio...

READ MORE

ARSENAL YACHEZEA KIPIGO KIKALI, SANCHEZ AWAAGA MASHABIKI

  Liverpool imeifanya kitu kibaya Arsenal baada ya kuitandika mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Premier League....

READ MORE

YANGA YASHIKWA SHATI NA LIPULI ZATOKA 1-1

  FULL TIME Dakika ya 94: Mchezo umemalizika kwa matokeo ya bao 1-1. Dakika ya 93: Kwasi wa Lipuli anapewa...

READ MORE

#SOKABET: Beti leo Ujishindie TZS 20, 000,000

Kujiandikisha ni bure Ingia kwenye tovuti ya ww.sokabet.co.tz kisha bonyeza sehemu ya ‘sign up’ yaani jisajili kwa mara ya kwanza....

READ MORE

Simba Watoa ‘Zawadi’ Kwa Masau Bwire wa Ruvu Shooting

  Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amewajibu kwa vitendo wanaomwita ‘mhenga’ kwa kufunga mabao manne akiiongoza Simba kuisambaratisha Ruvu Shooting...

READ MORE

Floyd Mayweather Amtandika Conor McGregor Round Ya 10 (Full Video)

Floyd Mayweather ametimiza pambano la 50 katika ngumi za kulipwa akicheza bila ya kupoteza. Mayweather amempiga bingwa wa michezo ya...

READ MORE

Manchester United Waipa Kipigo Leicester Old Trafford

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amefungia bao la kwanza timu yake dakika ya 70 akimalizia krosi ya Henrikh Mkhitaryan...

READ MORE

FT: SIMBA 7-0 RUVU SHOOTING, UWANJA WA UHURU

FULL TIME Dakika ya 92: Mwamuzi anamaliza mchezo. Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 2 za nyongeza. Dakika...

READ MORE

LWANDAMINA AONGEZEWA MWAKA MMOJA YANGA

  KIROHO safi Yanga imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake George Lwandamina raia wa Zambia baada ya ule...

READ MORE

NIYONZIMA AAMUA KULA SAHANI MOJA NA YANGA SC

  KIUNGO wa Simba, Haruna Nyiyonzima, amekiri ugumu wa mechi yao ya leo Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting, lakini anaamini...

READ MORE

TSHISHIMBI APEWA GARI LA SH MIL 100 YANGA

BAADA ya kelele za kumsifu kuwa nyingi, Yanga imempa kiungo wake Papy Kabamba Tshishimbi gari la kutumia lenye thamani ya...

READ MORE

OKWI: SASA NAANZA KAZI TUKUTANE UHURU

  STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda, amesema kuwa kuanzia leo katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi...

READ MORE

KUTOKA MAN U KWENDA EVERTON, ROONEY ON FIRE!!

WAYNE Rooney, mshambuliaji wa Klabu ya Everton ya England ni kama anamuumbua kocha mwenye maneno mengi wa Manchester United, Jose...

READ MORE

Uzinduzi Wa Sokabet… Mamilioni Yanakufuata Ulipo

# Sokabet inazinduliwa leo, anza kubeti sasa # Namba ya bahati ni 335757   BAADA ya ahadi ya wiki kadhaa...

READ MORE

Simba SC Kamili Gado Kuiua Ruvu Shooting kKesho

  KIKOSI cha Simba leo kimejinoa kwa mara ya mwisho kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa kwanza dhidi...

READ MORE

TFF Yaomba Radhi kwa Makosa ya Uandishi Ngao ya Jamii

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu nchini kutokana na makosa ya...

READ MORE

Simba SC Wanyakua Ngao ya Jamii, Waipa Kipigo Yanga

Timu ya Simba imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kufungua michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (Ngao ya Jamii) baada ya...

READ MORE

FT: YANGA Vs SIMBA LIVE UWANJA WA TAIFA, NGAO YA JAMII

  FULL TIME Simba imepata ushindi wa penati 5-4 baada ya matokeo ya 0-0. Waliokosa penati upande wa Yanga ni...

READ MORE

RASMI AISHI MANULA ASAINI SIMBA KWA SH 50,000,000

Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Kipa Bora wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017 aliyekuwa akiichezea Azam...

READ MORE

Shuhudia Haji Manara Alichomfanyika Shabiki wa Yanga (Video)

Katika kuelekea mchezo wa leo Jumatano, Agosti 23 wa watani wa jadi katika Dimba la Taifa, Msemaji wa Klabu ya...

READ MORE

AJIBU, NIYONZIMA NANI ATAMFUATA TAMBWE?

HATIMAYE ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka hapa nchini imewadia ambapo leo Jumatano, timu za...

READ MORE

Tambo za wachezaji, Makocha Yanga, Simba Ngao Ya Jamii

  MIAMBA ya soka nch­ini, Simba na Yanga, inatarajia kukutana leo Juma­tano katika Uwanja wa Taifa, Da es Sa­laam kuondoa...

READ MORE

Omog Awazuga Yanga Kwa Okwi

KOCHA wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog hakuweza kumtumia mshambuliaji wake raia wa Uganda, Emmanuel Okwi katika michezo ya kirafiki visiwani...

READ MORE

Kocha: Yanga Tayari Wamekwisha

  KOCHA Msaidizi wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja ameibuka na kufunguka kuwa kwenye mchezo wa leo mbele ya Yanga hawana...

READ MORE

Niyonzima Aondolewa Kupiga Penalti Simba SC

WAKATI kikosi cha Simba leo hii kikishuka uwanjani kupambana na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa...

READ MORE

Yanga: Leo Tunaanza Kuhesabu Makombe

BENCHI la Ufundi la Yanga, limesema kuwa leo Jumatano linaanza kuhesabu makombe ya msimu wa 2017/18 kutokana na kuwa na...

READ MORE

Ama Huku Ama Kule, Simba vs Yanga

MSIMU wa 2017/18, unafunguliwa leo Jumatano kwa mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Simba na Yanga ambao utapigwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Okwi: Nitapeleka Kilio Yanga SC

STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi, juzi alifunguka kuwa anataka kuwanyamazisha wapinzani wao, Yanga kwa kuwapelekea kilio wakati watakapovaana leo Jumatano...

READ MORE

Kapombe: Yanga SC Tunawalaza Mapema

  BEKI wa Simba, Shomary Kapombe, amesema kwa sasa anaendelea vizuri na majeraha ya nyonga yaliyokuwa yakimsumbua baada ya kupona...

READ MORE

Simba SC Wajifua Kuikabili Yanga Kesho

Klabu ya Simba leo imefanya mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (Mchezo wa...

READ MORE

Everton Yaivuta Shati Manchester City Watoka 1-1

Timu ya Manchester klabu ya Man city,imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad baada ya kulazimishwa sare ya...

READ MORE

Kiburi cha Costa na Jeuri ya Chelsea

  SAKATA la Die­go Costa kugoma kurejea Chelsea bado li­nashika kasi na kuwa gum­zo duniani kote. Straika huyo yupo nchini...

READ MORE

MSUVA: LUGHA NI TATIZO KWANGU MOROCCO

KADIRI siku zinavyokwen­da, matajiri wa timu ya Difaa El Jadidi ya Morocco waliopata nafasi ya kumnasa nyota wa Yanga, Simon...

READ MORE

Rekodi… Yanga Ilivyoipoteza Simba Ngao ya Jamii

  UHONDO wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba ni keshokutwa Juma­tano. Hii itakuwa ni mechi ya nne...

READ MORE

Chirwa Akutana na Rungu la TFF Mechi ya Simba

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemzuia kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa kucheza mechi...

READ MORE

BINSLUM NA COASTAL UNION SASA KAZI TU

  MFANYABIASHARA na mdau mkubwa wa soka hapa nchini, Nassor Bin­slum, kwa muda mrefu amekuwa mwanafamilia wa mchezo wa soka...

READ MORE

Simba SC Warejea Dar ‘Kuimaliza’ Yanga SC

Kikosi cha Klabu ya Simba kimemaliza kambi ambayo ilikuwa imewekwa kisiwani Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao...

READ MORE