×

Michezo

Uhakika, Rooney Athibitisha Kutua Bongo

  Uhakika ni kuwa staa wa soka wa England, Wayne Rooney anatarajiwa kutua nchini Tanzania akiwa na kikosi chake cha...

READ MORE

HATIMAYE ROONEY ASAJILIWA NA SPORTPESA

📝 | We're delighted to bring @WayneRooney back to #EFC! He signs from @ManUtd, 2 year deal. #WelcomeHomeWayne 👉🏻 https://t.co/mHFaK7eQA9...

READ MORE

Lukaku Kupandishwa Kortini Nchini Marekani

Pamoja na kuwa gumzo kuhusiana na uhamisho wake kwenda Manchester United, ’Romelu Lukaku atapandishwa kizimbani nchini Marekani. Mshambulizi huyo wa...

READ MORE

MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA

Mwenyekiti wa Klabu ya Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya mpira wa miguu wa klabu...

READ MORE

SHABIKI MWANAMKE ASEMA ‘JAMANI NAMPENDA MOURINHO MPAKA NAUMWA’

Shabiki wa soka, Vivien Bodycote, 59, ameamua moyo wake ufanye kazi mbili kwa wakati mmoja, kwanza ni kusukuma damu, pili...

READ MORE

Tayari Nahodha wa Zamani wa Everton Ametua Dar

  Mchezaji wa zamani wa Everton, Leon Osman ametua nchini leo na ataendesha mafunzo ya siku moja kwa waandishi na...

READ MORE

Tambwe: Kwa mziki huu Yanga…

SIKU chache baada ya Yanga kumtambulisha Ibrahimu Ajibu aliyetokea Simba, straika wa timu hiyo, Amissi Tambwe amesema kwa usajili walioufanya...

READ MORE

Kaseke arejeshwa Dar kwa ndege, asubiria kumwaga wino Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke, amewasili jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwao Mbeya na wakati wowote atamwaga wino...

READ MORE

Yanga Yaifunika Simba

KWA mara nyingine Yanga imeifunika Simba kwa gharama za mishahara kwa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao wamesajiliwa hadi...

READ MORE

Mkude: Ajibu kaacha pengo? Aaa wapi

NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude, amesema kuondoka kwa mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu ndani ya kikosi chao hakutakuwa na...

READ MORE

Mayanga: Cosafa itatubeba Chan

KOCHA wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesema michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (Cosafa) itakisaidia kikosi...

READ MORE

Ngumi za Global TV… Idd Pialali Achimba Mkwara Kibabe!!

    BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali ni mmoja kati mabondia watatu wa Tanzania watakaopanda ulingoni Julai...

READ MORE

Tetesi za Usajili Ulaya

STRAIKA wa Arsenal, Olivier Giroud amezungumza na Kocha wa Everton, Ronald Koeman kuhusu uwezekano wa kujiunga kikosini mwake. REAL Madrid...

READ MORE

Lwandamina Aagiza Ajibu Apelekwe Hospitali Fasta

MUDA mfupi baada ya Yanga kumtambulisha mshambuliaji, Ibrahim Ajibu aliyetokea Simba, kocha wa timu hiyo, George Lwandamina ameagiza mchezaji huyo...

READ MORE

SAMATTA KUVAA JEZI NAMBA 10 MSIMU UJAO

STRAIKA Mbwana Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji kuanzia msimu ujao atavaa jezi namba 10 katika kikosi hicho akiachana na...

READ MORE

Ujumbe Muhimu kwa Ibrahim Ajibu

  UKIONA mwenyeji wako anakukaribisha halafu anakueleza jambo kuonyesha ana hofu nawe kuhusiana na jambo fulani basi ujue una shida...

READ MORE

Ajibu awatia mzuka Moro

  BAADA ya kumtambulisha rasmi mchezaji wake mpya, Ibrahim Ajibu kutoka Simba, mashabiki wa Yanga mkoani hapa, wamesema wana imani...

READ MORE

Kama Una Kipaji Cha Soka, Nenda Stand United

  KOCHA wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amewaita vijana wenye vipaji vya kucheza soka kwa ajili ya kufanya majaribio...

READ MORE

Okwi aibeba familia kuja nayo Bongo

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda, ameamua kuja kivingine katika kutekeleza majukumu yake ya uwanja ambapo ameahidi...

READ MORE

Bosi wa Simba Kutua Kesho, Kuisuka Simba Mpya

WAKATI kikosi cha Simba kikianza maandalizi yake ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, juzi Jumatano, kocha mkuu...

READ MORE

Global TV Online: Manyika Peter Atakuwa Live ndani Spoti Hausi saa 10: 00 Jioni

  Kama uja subscribe tumekuwekea link hapa ya kufanya hivyo www.youtube.com/user/uwazi1   Jishindie Smart Phone kwa kuangalia kipindi cha Spoti...

READ MORE

Bossou ashindwana na Yanga, atua Sauz

BEKI Vincent Bossou, rasmi ameshindwana na Yanga lakini amepata neema baada ya kuitwa katika kikosi cha timu ya Bidvest Wits...

READ MORE

Lwandamina amshusha Dar ndugu wa Kamusoko

MIDO mpya anayewaniwa na Yanga, Mcongo, Papy Kabamba Tshishimbi ‘Rasta’ ameshindwa kutua kwa wakati ndani ya kikosi hicho, baada ya...

READ MORE

Banda kwaheri Simba, amalizana na Wasauz

IMEELEZWA kuwa, beki wa Simba, Abdi Banda, amejiunga na timu ya Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL)...

READ MORE

Ngassa ajifua kivyake kwa uchungu

KUFUATIA kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Mrisho Ngassa, mipango yake ya kutaka kurudi Yanga kugonga mwamba, nyota huyo ameamua kujifua...

READ MORE

Okwi kuanza kazi rasmi Simba Julai 17

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mganda, Emannuel Okwi, anatarajia kuwasili nchini Julai 17, mwaka huu baada ya kumalizika mechi ya Chan...

READ MORE

Straika Mghana anukia Simba SC

SIMBA ipo mbioni kumleta nchini straika Mghana ambapo viongozi kadhaa wa timu hiyo wamethibitisha ishu hiyo lengo likiwa ni kuimarisha...

READ MORE

BREAKING NEWS: SIMBA YAMTANGAZA KOCHA WAO MPYA

Siku chache kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2017/2018, kipa wa zamani wa timu ya taifa ya...

READ MORE

TAIFA STARS 2-4 ZAMBIA ‘LIVE’ NUSU FAINALI COSAFA CUP

FULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo, Tanzania inatolewa kwa jumla ya mabao 4-2. Dakika ya 93: Muda wowote kuanzia sasa mchezo...

READ MORE

Hatimaye Yanga Wamtambulisha Ibrahim Ajibu

KLABU ya Yanga, leo imemtambulisha rasmi straika waliyemsajili kutoka Simba, Ibrahim Ajib. Ajibu amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

GlobalSports: Singida United Yamng’oa Winga wa Simba SC

  KLABU ya Singida United imeipa pigo Klabu ya Simba baada ya kummng’oa winga wake wa kulia, Pastory Athanas na...

READ MORE

Wasauz wamnyatia Mzamiru Yassin

TIMU za Bidvest Wits na Mpumalanga Black Aces za Afrika Kusini, zimeanza kumfuatilia kiungo wa Taifa Stars na Simba, Mzamiru...

READ MORE

KAMATI YA UCHAGUZI YAVUNJWA, YAUNDWA UPYA, AMEBAKI MWENYEKITI TU

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo imekutana leo Jumanne imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi na...

READ MORE

Okwi Apewa Nyumba Sinza

    UONGOZI wa Klabu ya Simba ya jijini Dar, umempatia nyumba mshambuliaji wake, Em­manuel Okwi, maeneo ya Sinza kwa...

READ MORE

John Terry Atimkia Aston Villa

  Aliyekuwa beki kisiki wa Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza John Terry  amejiunga klabu ya  Aston Villa kwa...

READ MORE

Singida United Wakabidhiwa Basi la Sh. Milioni 350

  UONGOZI wa Klabu ya Singida United, imetoa basi lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 350 litakalotumiwa na wachezaji...

READ MORE

Taifa Stars Yatinga Nusu Fainali Cosafa Cup, Yaifunga AfrikaKusini Bao 1-0

Taifa Stars imetinga nusu fainali katika michuano ya Cosafa baada ya kuifunga wenyeji Afrika Kusini bao 1-0. Shuja wa mechi...

READ MORE

Ndoa Ya Messi Na Funzo Lenye Imani Na Msimamo

HALIPO na sijaliona neno mbadala la kutumia, zaidi ya ndoto imetimia. Kitendo cha mwanasoka maarufu na mwenye uwezo wa kipekee,...

READ MORE

Breaking News: TFF Yaahirisha Uchaguzi

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kuwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo umesimamishwa hadi...

READ MORE