×

Michezo

Kauli ya Kwanza ya Rais Karia wa TFF Baada ya Kuapishwa

KUFUATIA Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliofanyika leo katika Ukumbi wa St Gasper Mjini Dodoma na kumalizika...

READ MORE

Orodha ya Wajumbe Wapya wa Kamati ya Utendaji ya TFF Walioshinda

  Uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania umekamilika ambapo shirikisho hilo limepata wajumbe wake watendaji, makamu mpya wa rais...

READ MORE

Breaking News: Wallace Karia Aibuka Mshindi Kiti cha Urais wa TFF

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wakili Revocatus Kuuli amemtangaza Rasmi, Wallace Karia kuwa Rais...

READ MORE

Mkwasa: Mawasiliano na Tshishimbi Yamepotea

WAKATI waandishi wakijaa kwenye Uwanja wa ndege wa ere, kumsubiri kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi, Katibu Mkuu wa timu...

READ MORE

Okwi: Kwa Simba Hii, Ubingwa Mapema

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kishujaa baada ya kutamka kuwa atapambana kufa au kupona kuhakikisha...

READ MORE

LIVE: Wagombea Uchaguzi Mkuu wa TFF Mjini Dodoma Wakijinadi

  MGOMBEA wa nafasi ya Ujumbe ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Mazengo kutoka Kanda ya...

READ MORE

Yanga Kumjaribu Kipa Wa Serengeti Boys Leo

KUNA uwezekano mkubwa kwa kipa chipukizi wa Yanga, Ramadhan Kabwili, leo Jumamosi kwa mara ya kwanza akakaa langoni kuichezea timu...

READ MORE

Yanga SC Yaufyata, Yapeleka Mechi Chamazi

  HAKUNA namna kwani Yanga imebidi ikubali kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting, leo Jumamosi kwenye Uwanja wa...

READ MORE

YANGA KUMJARIBU KIPA WA SERENGETI BOYS LEO

KUNA uwezekano mkubwa kwa kipa chipukizi wa Yanga, Ramadhan Kabwili, leo Jumamosi kwa mara ya kwanza akakaa langoni kuichezea timu...

READ MORE

OKWI: KWA SIMBA HII, UBINGWA MAPEMA!

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kishujaa baada ya kutamka kuwa atapambana kufa au kupona kuhakikisha...

READ MORE

Mwakyembe: Rais Mpya TFF Ataapishwa Leo

TOFAUTI na miaka iliyopita ya rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuapishwa siku chache baada ya uchaguzi lakini leo...

READ MORE

Yanayojiri Uchaguzi Mkuu wa TFF Kutoka Dodoma

SHUGHULI za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimeanza rasmi katika Ukumbi wa St. Gaspel mjini Dodoma ambapo...

READ MORE

Mwakalebela Akiwa Rais Tu, Atafanya Haya

KATIBU Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela anawania nafasi ya urais katika shirikisho hilo ambapo...

READ MORE

WAMILIKI LIVERPOOL WATOA TAMKO COUTINHO KWENDA BARCELONA

Kampuni ya Fenway Sports Group ambao ndiyo wamiliki wa Klabu ya Liverpool, wametoa tamko kuhusu tetesi za usajili wa mchezaji...

READ MORE

Masau Bwire: Simba Sc Weupe Tu!

RUVU Shooting ya mkoani hapa, imesema kikosi cha Simba kilichocheza na Rayon Sports ya Rwanda, Jumanne wiki hii, hakina uwezo...

READ MORE

MAXIMO AMPIGIA DEBE MWAKALEBELA URAIS TFF

KOCHA wa zamani wa Tanzania, Taifa Stars Mbrazili, Marcio Maximo amemtaja rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) anayestaili kuchukua...

READ MORE

TANZANIA YASHUKA NAFASI SITA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), jana Alhamisi lilitoa viwango vya soka vya mwezi Julai kwa mataifa mbalimbali ambapo Tanzania...

READ MORE

MNIGERIA AWATIKISA TAMBWE, NGOMA MAZOEZINI

KATIKA kuiimarisha safu yao ya ulinzi, Yanga imemshusha nchini beki Mnigeria, Eisa Mfowoshe aliyemaliza mkataba wa kuichezea Klabu ya Itihad...

READ MORE

Bocco: Mimi, Okwi, Kichuya Mtaona Mziki Wetu

STRAIKA mpya wa Simba, John Bocco amewapiga biti wapinzani wa kikosi hicho kwa kuwaambia wakae chonjo na kujiandaa kuikabili safu...

READ MORE

Niyonzima Apewa Ndinga Mpya Simba

BAADA ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon ya Rwanda kwenye Simba Day, kiungo mpya wa...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Aaron Nyanda Ajinadi Kugombea Ujumbe TFF

Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Aaron Nyanda, amejinadi kupitia Global TV Online katika nafasi anayogombea katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Yachambua, Uchaguzi TFF, Ligi ya Vodacom na Usajili

  SPOTI HAUSI leo ikiwa na mgeni aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga, Aaron Nyanda, imechambua kwa ‘marefu’ uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

GERRARD: COUTINHO AKILAZIMISHA KUONDOKA ANATAKA VITA

NAHODHA wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard, amemweleza kiungo wa timu hiyo Philippe Coutinho, kama anataka vita basi alamishe kwenda...

READ MORE

Simbu: Medali Zawadi Kwa Watanzania

  MWANARIADHA Mtanzania, Alphonce Felix Simbu, wikiendi iliyopita alifanikiwa kushinda medali ya shaba katika mashindano ya Mbio za Dunia kwa...

READ MORE

Mwakalebela Kufungua Academi ya TFF

Katibu Mkuu wa zamani wa TFF, Frederick Mwakalebela anayegombea urais amezindua kampeni zake kwa kusema kuwa ameanzisha programu mpya ya...

READ MORE

Madega Aanza Kampeni Kugombea Urais TFF

Mgombea wa nafasi ya urais katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Imani Omar Madega, amezindua rasmi kampeni zake leo kwenye...

READ MORE

PLUIJM AMFUATA NIYONZIMA TAIFA

KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anaifundisha Singida United, Hans van Der Pluijm, jana alikuwa mmoja wa watazamaji wa...

READ MORE

Achana Kabisa na Simba SC

JANA Jumanne, Klabu ya Simba SC ilitimiza miaka 81 tangu kuanzishwa kwake ikipitia majina mengi ikiwemo Sunderland, klabu hii yenye...

READ MORE

Okwi, Niyonzima wafunika Simba Day

NYOTA wapya wa Simba, Emmanuel Okwi, Haruna Niyonzima na Aishi Manula, jana walifunika kwa kushangiliwa kwa nguvu na mashabiki wa...

READ MORE

Kocha Simba Afungukia Vita Ya Manula, Nduda

  KOCHA wa Makipa wa Simba, Mwarami Mohammed ‘Shilton’, amesema Aishi Manula na Said Mohammed ‘Nduda’ ni aina ya walinda...

READ MORE

Omog: Namtafutia Niyonzima Kamusoko Mpya

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, amesema kiungo wake mpya, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, atapewa mtu...

READ MORE

Soka Beti Sasa Imewasili, Shinda TZS 100,000,000

SOKABET sasa imewasili, Jiandae kila atakayejisajili atapatiwa Freebet ya Tsh 500/-

READ MORE

FULL TIME: SIMBA 1-0 RAYON SPORTS – UWANJA WA TAIFA, DAR

FULL TIME Dakika ya 90 + 3: Mwamuzi anamaliza mchezo, Simba inapata ushindi wa bao 1-0. Dakika ya 90: Mwamuzi...

READ MORE

John Bocco: Sasa Naanza Kazi Simba

STRAIKA mpya wa Simba, John Bocco ‘Adebayor’ amebainisha bayana kuwa ataanza kuonyesha cheche zake za kutupia mabao ndani ya kikosi...

READ MORE

NIYONZIMA: SINA MANENO MENGI, TUKUTANE UWANJANI

  KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima ametambulishwa rasmi katika kikosi cha timu hiyo na anatarajiwa kuwa...

READ MORE

MSIJIDANGANYE, SIMBA HAIJASAJILI MALAIKA

  MASHABIKI wa Simba, leo watamiminika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Simba...

READ MORE

Wanasimba Mkiungana Kwa Moyo Safi, Mtafika Mbali

LEO Jumanne, Klabu ya Simba inaadhimisha miaka 81 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1936 ambapo kutakuwa na kilele cha Tamasha la...

READ MORE

Watanzania Wajitokeza Kumsaidia Jini Kabula

MUDA mfupi baada channel ya mtandaoni ya Global TV Online kuendesha kampeni maalum yakumchangia fedha za kusaidia matibabu na huduma...

READ MORE

Okwi: Nimeisha? Njooni Muone Mavituz Yangu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa amejipanga kuonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo wa leo...

READ MORE

Nghambi azindua kampeni kuwania Makamu Rais TFF

  MGOMBEA wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Mulamu Nghambi, leo amezindua kampeni zake...

READ MORE