×

Michezo

Takwimu Za Fainali NBA 2016/2017 Zipo Hapa

Takwimu za mchezo wa pili Robo 1 2 3 4 Jumla Cavaliers: 34 30 24 25 113 Warriors: 40 27...

READ MORE

Lebron Vs Curry Mkali Zaidi Huyu Hapa

NBA | CHAMPIONI JUMATANO | MAKALA LEBRON James na Stephen Curry, wote hivi sasa wapo mzigoni wakiendelea kuzitumikia timu zao...

READ MORE

Lebron James Mchezaji Bora Zaidi Katika Mpira Wa Kikapu Wa Cleveland Cavaliers

NA SALEH ALLY | CHAMPIONI JUMATANO | MAKALA KWA sasa hakuna ubishi mchezaji bora zaidi katika mpira wa kikapu kuwa...

READ MORE

VIDEO: Taifa Stars Warejea Nyumbani Kutoka Kambini Misri

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linaamini kikosi cha Taifa Stars kiko vizuri tayari kuimaliza Lesotho. Stars imerejea nchini leo baada...

READ MORE

Kocha Simba Ataja Kilichosababisha Wakatolewa Sportpesa Super Cup

Mashabiki wengi wa Simba, jana Jumanne walionekana kuwa na nyuso za huzuni baada ya timu yao kutolewa na Nakuru All...

READ MORE

LIVE: SportPesa Super Cup, Simba Sc 4-5 Nakuru AllStars (Full Match)

Dakika 90 kati ya Nakuru na Simba iliisha kwa sare ya bila bao huku Nakuru wakionekana kupoteza nafasi nyingi zaidi....

READ MORE

Yanga Yatinga Nusu Fainali SportPesa kwa Mbinde

Yanga imetinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penalti. Yanga imeing’oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju...

READ MORE

AFC Leopards Yaigonga Singida United, Yatinga Nusu Fainali Sportpesa Super Cup

Singida United imeng’olewa katika michuano ya SportPesa Super Cup  baada ya kuchapwa kwa mikwaju 5-4 dhidi ya ACF Leopards ya...

READ MORE

Yanga Yamtorosha Kiungo, Aiacha Klabu Yake Kwenye Mataa

Na Wilbert Molandi|CHAMPIONI|GPL YANGA ni kama imeifanyia umafia Mbao FC baada ya kumtorosha beki mbishi wa pembeni mwenye kasi, Jamal...

READ MORE

Simba Yampandisha Ndege Kiboko ya Niyonzima Awahi Kusaini

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL SIMBA imeonekana kudhamiria kufanya makubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Kombe...

READ MORE

Kazi imeanza Ajibu Kutua Yanga

Musa Mateja na Said Ally| CHAMPIONI| GPL STRAIKA wa Simba mwenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira, Ibrahim Ajibu, muda wowote...

READ MORE

Simba yanasa beki, yamficha hotelini Dar

Na Said Ally|CHAMPIONI|GPL TAYARI Simba imeanza kujipanga kwa ajili ya michuano ya kimataifa kwa msimu ujao kwani hivi sasa tunavyoongea...

READ MORE

Ronaldo Awa Mfungaji Bora Ligi Ya Mabingwa Ulaya

Msimu wa 2016/17 umemalizika kwa staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kuwa mfungaji bora wa ligi ya mabingwa barani Ulaya....

READ MORE

Pichaz + Video: Real Madrid Mabingwa Ulaya, Waweka Rekodi Mpya Ikiipiga Juventus Bao 4-1

Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameiongoza timu yake ya Real Madrid kuweka historia barani Ulaya baada ya kutwaa ubingwa wa...

READ MORE

Global TV Exclusive Interview na C.E.O wa Everton, Aifungukia Tanzania (VIDEO)

  Na Saleh Ally TANZANIA imepata ugeni wa wadau wa soka ambao inawezekana kila kiongozi au mchezaji angependa kujifunza kupitia...

READ MORE

Fainali Uefa Champions League… Leo Shughuli Ipo

  NA MWANDISHI WETU SIYO siri leo Jumamosi watu duniani watasimamisha shughuli zao kwa muda kutazama fainali ya 62 ya...

READ MORE

Yanga SC Yaomba SportPesa Sh Mil 400

Wilbert Molandi | CHAMPIONI | Dar es Salaam YANGA juzi ilipiga hodi kwa wadhamni wao Kampuni ya SportPesa kuomba watanguliziwe...

READ MORE

Simba yapeleka kesi nyingine Fifa

Wilbert Molandi | CHAMPIONI | Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, amesema kamwe...

READ MORE

Niyonzima: Mimi Niende Simba? Thubutu!

Wilbert Molandi | CHAMPIONI |Dar es Salaam KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesikia taarifa za yeye kusaini Simba na kusema:...

READ MORE

Hans Poppe Atoa Siri Manji Alivyowapoza

Wilbert Molandi | CHAMPUIONI|Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametamka kuwa kuondoka kwa...

READ MORE

Juma Kaseja: Nilitamani Kuacha Soka Nikiwa Simba, Azungumzia Kuhusu Kurudi Yanga

Stori: Said Ally | Championi Ijumaa | Makala KUNA dhana ipo akilini mwa wapenda soka wengi kuwa umri wa kipa...

READ MORE

Rasmi Azam FC Wampiga Chini C.E.O Saad Kawemba

Azam FC yenye makazi yake eneo la Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam, imemalizana na aliyekuwa Mkurugenzi...

READ MORE

Tambwe Aonyeshwa Mlango wa Kutokea Yanga

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI| Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, huenda msimu ujao asionekane katika kiko­si cha timu...

READ MORE

Shabiki Wa Simba, Shose Aliyefariki Ajalini Aagwa, Simba Yatoa Milioni 4

Klabu ya Simba imetoa kiasi cha shilingi milioni 4.2 kama sehemu ya rambirambi katika msiba wa aliyekuwa shabiki na mwanachama...

READ MORE

Mtazame LIVE Hans Poppe wa Simba Akifunguka Mazito Kupitia SpotiHausi ya Global TV Online

GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kinazungumza EXCLUSIVELY na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Timu...

READ MORE

SportPesa, Everton Wajionea Vipaji vya Soka kwa Vijana Nchini

Nahodha wa zamani wa Klabu ya Everton ya Uingereza, Leon Osman yuko nchini katika ziara fupi iliyoratibiwa na Kampuni ya...

READ MORE

Simba Washindwe Wao Tu Kuwanasa Kapombe, Manula wa Azam

Mambo yanayoendelea ndani ya Klabu ya Azam yameendelea kuteka vichwa vya habari ambapo sasa yameibuka mapya. Wakati upepo ukiwa haujatulia...

READ MORE

Licha ya Kuchemka Katika Premier League, Man U Inaongoza kwa Mkwanja Ulaya

Licha ya kushika nafasi ya sita katika Premier League msimu wa 2016/17, Manchester United imetajwa kuwa ndiyo klabu yenye thamani...

READ MORE

Nyota 10 Watemwa Simba SC Kubaki 15 Pekee Kati ya 25

Wilbert Molandi, Championi Jumatano, Habari KLABU ya Simba imepanga kuwabakiza wachezaji 15 pekee kati ya 25 iliowasajili msimu uliopita wa...

READ MORE

Fedha za Usajili Zaivuruga Yanga SC

Wilbert Molandi, Championi Jumatano, Habari SIKU chache baada ya timu ya Yanga kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara...

READ MORE

Hans Poppe: Namtaka Ngoma na Chirwa Simba

Wilbert Molandi, Championi Jumatano, Habari MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, amesema kama ikitokea akitaka kumsajili...

READ MORE

Omog Kutumia Kombe la SportPesa Kuijenga Simba

Omary Mdose, Championi Jumatano, Habari KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, raia wa Cameroon, amepanga kuitumia michuano ya Kombe la...

READ MORE

Simba Yatenga Sh Milioni 600 Za Usajili

KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara na bora kitakacholeta ushindani kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Kombe la...

READ MORE

Singida Yampa Mkataba Ndugu wa Niyonzima

Said Ally na Musa Mateja, Championi Jumatano, Habari KUONYESHA kwamba wamepania kufanya vyema kwenye msimu ujao wa ligi kuu, uongozi...

READ MORE

Mbao Wadai Mwamuzi Aliwanyonga

Omary Mdose, aliyekuwa Dodoma | CHAMPIONI BAADA ya kupoteza mchezo wa fainali ya Kombe la FA mbele ya Simba kwa...

READ MORE

Mzee Akilimali: Mwacheni Ngoma Aende Zake

Ibrahim Mussa | CHAMPIONI| Dar es Salaam KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali, amemtaka mshambuliaji wa timu...

READ MORE

Pogba Aanza Mfungo wa Ramadhani Akiwa Macca

Staa wa Manchester United, Paul Pogba amesafiri hadi nchini Saudi Arabia, Macca ikiwa ni muda mfupi baada ya kuiwezesha timu...

READ MORE

Mkude Anusurika Ajali ya Gari Akitoka Dodoma

Kiungo na nahodha wa timu ya Simba SC, Jonas Mkude amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria na abiria wengine...

READ MORE

Pichaz + Video: Arsenal Mabingwa wa FA Cup Baada ya Kuifunga Chelsea 2-1

Baada ya kusubiriwa kwa hamu mchezo wa fainali ya FA Cup kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea katika uwanja wa...

READ MORE