×

Michezo

FIFA Yajibu Rufaa ya Simba Kuhusu Kuipa Pointi Tatu Kagera

Habari mpya ni kuwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeijibu barua ya rufaa ya Klabu ya Simba ambayo ilipeleka...

READ MORE

FULL TIME: Simba 2-1 Mbao FC, Fainali FA Cup, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Dakika ya 123: Mwamuzi anamaliza mchezo, Simba inapata ushindi wa mabao 2-1. Kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anaipatia Simba bao la pili kwa njia...

READ MORE

Simba SC Ndege Lazima Aisee

NA Omary Mdose | CHAMPIONI| Dodoma SIMBA imesema ni lazima iifunge Mbao FC leo Jumamosi katika mechi ya fainali ya...

READ MORE

Yanga Wamuomba Manji Abaki

Wilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es Salaam VIONGOZI wa Kamati ya Utendaji ya Yanga wameigomea barua ya kujizulu waliyoandikiwa na...

READ MORE

Mkude: Hatuna Mzaha kwa Mbao FC

NA MWANDISHI WETU |CHAMPIONI NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude, amesema leo Jumamosi wataingia uwanjani kwa nia moja tu ya kushinda...

READ MORE

Mbao FC Yakomalia Ushindi wa Penalty

Omar Mdose | CHAMPIONI| Dodoma MBAO FC kweli imepania kutwaa ubingwa wa Kombe la FA na kubeba zawadi ya Sh...

READ MORE

Maxime: Nitatua Kuinoa Yanga SC Msimu Ujao

Said Ally | CHAMPIONI | Dar es Salaam KOCHA wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amefunguka kuwa anaweza kutimkia na kujiunga...

READ MORE

Mzee Akilimali: Nilijua tu Manji Atasepa

Na Ibrahim Mussa | CHAMPIONI | DAR ES SALAAM KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, ameibuka...

READ MORE

Serengeti Boys Ni Mashujaa, Huu Usiwe Mwisho Wao

Bodi ya Uhariri | CHAMPIONI| Maoni JUZI Jumatano, kikosi cha Serengeti Boys, kiliwasili jijini Dar es Salaam kikitokea Gabon kilipoenda...

READ MORE

Video: Mecky Mexime, Masau Bwire Wafunguka Mazito Ndani ya Sport House

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime  kupitia kipindi cha Sport Housi cha Global TV Online leo amesema kuwa ujio...

READ MORE

Hivi Ndivyo Serengeti Boys Walivyotua Jijini Dar Jana

Kikosi cha vijana wa timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kimerejea kutoka nchini...

READ MORE

Video+ Pichaz: Zimbwe JR, Msuva, Niyonzima, Manura Wanyakua Tuzo VPL

Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom zimetolewa jana na kumalizika kwa mafanikio ambapo ile iliyokuwa gumzo ikienda kwa beki wa...

READ MORE

Video+Pichaz: Man Utd mabingwa Europa League, Warejea Uefa Champions League, Yaipiga Ajax bao 2-0

Kocha Jose Mourinho ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni mtu wa mataji baada ya kuiongoza Manchester United kutwaa ubingwa wa Europa...

READ MORE

Sportpesa Yaibuka na Michuano Yake, Simba, Yanga Ndani

Katika kile ambacho kinaonekana kufanya mapinduzi ya soka la Tanzania na Afrika Mashariki kwa jumla, Kampuni ya SportPesa, leo Jumatano...

READ MORE

Efm Yacheza Mechi na Madereva Daladala Kiwanja cha Tanganyika Packers

Kituo cha utangazaji cha EFM redio  kimecheza mechi ya kirafiki baina yao na madereva daladala siku ya leo ya tarehe...

READ MORE

Breaking News: FIFA Yaipongeza Yanga Kwa Ubingwa Ligi Kuu Bara

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino, ametuma salamu za pongezi kwa timu ya Yanga baada...

READ MORE

First Eleven Ya Wachezaji wa Kigeni Ligi Kuu Bara 2016/17

  NA WILBERT MOLANDI | CHAMPIONI JUMATANO| MAKALA MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2016/17 umemalizika wikiendi iliyopita kwa Yanga kufanikiwa...

READ MORE

Tuzo ni Mali ya Simba SC leo

 Sweetbert Lukonge | Championi Jumatano | Habari LEO jioni tuzo mbalimbali za Ligi Kuu Bara msimu wa 2016/17, zitatolewa baada...

READ MORE

Ligi Imeisha Haya Tutayakumbuka, Waamuzi kufungiwa na Sakata la kadi ya Fakhi

MSIMU wa 2016/17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara umefika tamati wiki iliyopita huku timu ya Yanga inayonolewa na Mzambia, George...

READ MORE

Sasa ni Rasmi, Manji Amejiuzulu Yanga, Mwenyewe Amethibitisha, Kauli yake Hii Hapa…

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amethibitisha kuachia ngazi katika nafasi ya Uenyekiti wa klabu hiyo, uamuzi ambao aliuchukua...

READ MORE

Taarifa ya Yusuf Manji Kutangaza Kujiuzulu Yanga, Tamko Rasmi la Klabu Hili Hapa

Baada ya taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kueleza kuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji ameachia ngazi kuiongoza...

READ MORE

Video + Pichaz: SportPesa Waingia Mkataba wa Kuidhamini Singida United

Hatimaye Klabu ya Singida United ya mjini Singida, mapema leo imeingia mkataba wa udhamini wa zaidi ya shilingi Mil. 300,...

READ MORE

Mkataba wa Mromania wa Azam Upo Tayari

Said Ally|CHAMPIONI|GPL UONGOZI wa timu ya Azam utamsainisha kocha wake, Aristica Cioaba mkataba mpya wa kuifundisha timu hiyo muda mfupi...

READ MORE

Msimu wa 2016/17 Una Maana Kubwa Katika Soka

LIGI Kuu Bara msimu uli-opita wa 2016/17 umefikia tamati juzi Jumamosi, mambo mengi yamepita lakini mengi yake yakiwa ni mafunzo...

READ MORE

Mrundi wa Mbao aanza kuiwinda Simba mapema

Ibrahim Mressy|CHAMPIONI|GPL KATIKA soka la Tanzania, imebaki mechi moja tu kubwa, nayo ni fainali ya Kombe la FA kati ya...

READ MORE

Pichaz: Mbwembwe za Real Madrid na Kombe Lao… Usipime!

Mabao mawili ya Cristiano Ronaldo na Karim Benzema yaliiwezesha Real Madrid kutwaa taji la kwanza la La Liga tangu 2012...

READ MORE

Serengeti Boys Yaondolewa Kwenye Michuano ya AFCON U-17

Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imetolewa katika michuano ya vijana chini ya...

READ MORE

Real Madrid Yatwaa Ubingwa wa La Liga

  Klabu Real Madrid imetwaa taji la ubingwa wa La Liga baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu...

READ MORE

Pichaz +Video: Mapokezi Ya Yanga Dar Usipime, Mashabiki Wajitokeza kwa Kishindo

Mashabiki wa Yanga wakiisubiri timu yao kabla ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Mwanza...

READ MORE

Video: Mapokezi ya Timu ya Yanga Wakitua na Kombe la Ubingwa 2017

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

READ MORE

Msafara wa Ruvu Shooting Wapata Ajali, Tairi Lapasuka Safarini

Taarifa ni kuwa msafara wa timu ya Ruvu Shooting umeripotiwa kupata ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Dar...

READ MORE

Pichaz: Kiungo wa Yanga Kamusoko Ajifungia Chumbani na Kombe

Kiungo wa kimataifa wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko akiwa na Kombe la Ubingwa wa timu yake ya Yanga SC chumbani.

READ MORE

Yanga Wakabidhiwa Kombe Lao CCM Kirumba, Mashabiki Wapagawa Kwa Furaha

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Yanga imefanikiwa kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom licha ya kufungwa bao 1-0...

READ MORE

FT: Simba 2-1 Mwadui FC Uwanja wa Taifa, Dar

FULL TIME Dakika ya 96: Mwamuzi anamaliza mchezo, Simba inapata ushindi wa mabao 2-1. Dakika ya 94: Mwadui ndiyo wanaomiliki...

READ MORE

FT: Yanga 0-1 Mbao FC, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

FULL TIME Mbao wanaibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga, wanashangilia kwa nguvu kwa kuwa wanajihakikishia kubaki katika...

READ MORE

Bilionea wa Urusi Kuinunua Arsenal

Bilionea wa Urusi aliyezaliwa nchini Uzbekistan, Alisher Usmanov amewasilisha ombi la pauni bilion moja kuinunua Arsenal kutoka kwa mmiliki wake...

READ MORE