×

Michezo

VIDEO: Wanariadha Waagwa, Waahidi Kurudi na Medali

  TIMU ya taifa ya riadha itakayoshiriki mashindano ya riadha ya dunia yanayoanza wiki hii jijini London, Uingereza,  leo imeagwa...

READ MORE

IGP SIRRO AAGIZA TIMU ZA SOKA ZA POLISI ZIVUNJWE, IBAKI MOJA TU

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro ametoa agizo kuwa mchakato ufanyike wa kuzivunja timu zote za jeshi...

READ MORE

RONALDO MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUKWEPA KODI

Mwanasoka Cristiano Ronaldo leo amefika mahakamani huko Hispania kwa tuhuma ya kukwepa kodi. Mwanasoka huyu anatuhumiwa kwa kukwepa kiasi cha...

READ MORE

Raphael Atua Kambini Yanga

KIUNGO mchezeshaji Raphael Daudi aliyekuwa akiichezea Mbeya City, sasa rasmi amemalizana na Yanga na jana alikuwa safarini kuelekea Morogoro ilipoweka...

READ MORE

BUSUNGU: Njombe Mji Niacheni, Nasaini Ndanda FC

STRAIKA Malimi Busungu yupo katika hatua ya mwisho ya kujiunga na Ndanda FC ya Mtwara ili akaiongezee nguvu kwenye safu...

READ MORE

WAZEE WA SIMBA WALIAMSHA DUDE, WAGOMEA MKUTANO, WAMKATAA MO

  Mambo ya umiliki wa Klabu ya Simba pamoja na kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo bado yanaendelea kupata...

READ MORE

OKWI AANZA MAZOEZI SIMBA, KILA KITU SHWARI

Baada ya maelezo na tetesi nyingi, hatimaye mshambuliaji Emmanuel Okwi ametua na kuanza mazoezi katika kikosi cha Simba. Okwi ametua...

READ MORE

AMISS TAMBWE ASEMA KAMBI YA YANGA MOROGORO NI KAMA JESHINI

Yanga ipo kambini Morogoro ikijiandaa kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji wa timu hiyo, Amiss Tambwe amezungumza akiwa kambini na...

READ MORE

Barua ya Jamal Malinzi kwa TFF

Barua ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwenda kwa viongozi wenzake kuhusu uchaguzi mkuu ujao.

READ MORE

TAMBWE AANZA ‘KUWAMISS’ MSUVA, NIYONZIMA

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe ameanza ‘kuwa-miss’ wachezaji wenzake wa zamani Haruna Niyonzima na Simon Msuva kwa kusema walikuwa wanatoa...

READ MORE

Ndanda Yamfuatilia Malimi Busungu

WAKATI harakati za usajili zikizidi kupamba moto, Ndanda FC ya mkoani Mtwara ipo katika hatua za mwisho za kumalizana na...

READ MORE

Msuva Deal Done, Atambulishwa Rasmi Difaa El Jadida, Morocco

  ALIYEKUWA winga machachali wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon Happygod Msuva ametangazwa rasmi...

READ MORE

MSUVA: ASANTENI SANA YANGA

NDOTO ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ya kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi ilitimia juzi Jumatano...

READ MORE

Hawa Ndiyo Wataamua Dili la Neymar

AWALI ilionekana ni kama kitu ambacho hakiwezekana lakini muda unavyozidi kusonga, ndivyo ambavyo mambo yanaonekana yanawezekana. Neymar kuihama Barcelona kwenda...

READ MORE

VIDEO: NEYMAR APIGANA MAZOEZINI BARCELONA, ATIMKA

Hali ya mambo ndani ya Klabu ya Barcelona inaonekana haipo sawa baada ya mchezaji wa timu hiyo Neymar kukwaruzana na...

READ MORE

OKWI: NIPO NJIANI NAENDA SAUZI KAMBINI KUJIUNGA NA SIMBA

Mshambuliaji Emmanuel Okwi raia wa Uganda, amethibitisha kuwa yupo njiani kuelekea nchini Afrika kusini kujiunga na wenzake wa Simba ambao...

READ MORE

Shaffih Dauda Ajitoa Ugombea wa Uchaguzi TFF

  Mtangazaji wa Clouds Media Group, Shaffih Dauda ametangaza kujitoa rasmi katika kinyang’anyiro cha kuwania Ujumbe wa Kamati ya Utendaji wa...

READ MORE

Msuva: Nimetua Salama Morocco

WINGA wa Yanga, Simon Msuva amefika salama nchini Morocco na tayari kupimwa afya kisha akimaliza hapo anatarajiwa kusaini mkataba leo...

READ MORE

Okwi Ala Shavu Ligi Ya Uganda

  STRAIKA mpya wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda, ameng’ara nchini kwao baada ya kutajwa kwenye kikosi bora cha...

READ MORE

Manula Basi Tena Simba SC

WAKATI wachezaji wenzake wakitarajiwa kutambulishwa kwenye sherehe za Simba Day, kipa Aishi Manula atakosa fursa hiyo ndani ya kikosi cha...

READ MORE

Juuko Aikacha Simba SC, Apata Dili Orlando Pirates

BEKI wa Simba, Juuko Murshid raia wa Uganda yupo mbioni kutua kuichezea Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Mganda huyo, bado...

READ MORE

Omog: Yaani, Ligi Ianze Hata Kesho

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, amesema kuwa, kutokana na kila timu zitakazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu...

READ MORE

Zlatan Ibrahimovic Kurejea Manchester United

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amefunguka kuwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic anaweza kusaini mkataba na timu hiyo. Msimu uliopita mshambuliaji...

READ MORE

CANNAVARO AWATUMIA UJUMBE WA KIJEMBE SIMBA

Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kuongeza chachu ya ushindani wa utaji wao wa jadi, Yanga imetupa dongo kwa...

READ MORE

RONALDO WA MISOSI ASAINI KUICHEZEA MBEYA CITY

Mbeya City imeendelea kujiimarisha baada ya kufanikiwa kunasa saini za wachezaji watatu akiwemo straika Idd Seleman maarufu kwa jina Ronaldo...

READ MORE

URAIA WA KARIA UMEKUWA SERA TFF

KWA mwonekano Wallace Karia hana tofauti na raia wengi wa Somalia, ninamaanisha Wasomali. Ninaamini wako viongozi wengi wa soka, serikalini...

READ MORE

MORATA NAISUBIRI MAN UNITED

  TIMU nyingi za Ligi Kuu England zimeonekana kujiandaa vyema sana kwenye kipindi hiki cha usajili jambo ambalo linaonyesha kuwa...

READ MORE

OKWI ANANUKA FEDHA, NDIYE GHALI BONGO

  KUANZIA leo Jumatano, zitakuwa zimebaki takribani siku 11 kabla ya usajili wa dirisha kubwa Tanzania Bara halijafungwa ambapo timu...

READ MORE

Danny Anataka Kuwa Mfungaji Bora Wa Ligi Ya Bongo

“NIMEPANGA kufunga mabao 15 katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ili niweze kuwa mfungaji bora kama kule nilipotoka.” Hiyo...

READ MORE

TAKUKURU YAWAHOJI SHAFFIH DAUDA, MWENYEKITI DRFA, WAACHIWA

Wadau mbalimbali wa soka wakiwemo wagombea wa uchaguzi katika nafasi mbalimbali za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wamekamatwa jijini Mwanza....

READ MORE

URIO CUP YAZINDULIWA KUNDUCHI

MICHUANO ya soka iliyopewa jina la Urio Cup itakayozishirikisha timu 32 kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam,...

READ MORE

GUARDIOLA NA KIKOSI CHA UBINGWA ENGLAND

City ni kati ya timu ambayo msimu uliopita ilishindwa kufanya vizuri pamoja na kwamba ilikuwa chini ya kocha mahiri, Pep...

READ MORE

Singida Kuzivaa Timu za Congo

KATIKA kuhakikisha kuwa timu ya Singida United, inafanya vema katika Ligi Kuu Bara msimu ujao, kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Hongera Global TV, TPBO Ngumi Zinataka Haki Wanasubiri

  KWANZA kabisa nichukue fursa hii, kuipongeza Kampuni ya Global Publishers kupitia runinga yake ya mtandaoni, Global TV Online, kwa...

READ MORE

Irving Aomba Kumkimbia James

PAMOJA na kwamba kila usajili kwenye Ligi Kuu ya Kikapu Marekani (NBA), umekuwa ukishangaza, lakini kama dili la Kyrie Irving...

READ MORE

USAJILI WA MANULA SIMBA BADO UTATA, SIKIA TAMKO LA BOSI WA AZAM

Wakati kikosi cha Simba kikiendelea kufanya maandalizi ya msimu ujao wa 2017/18 nchini Afrika Kusini, upande mwingine bado kuna utata...

READ MORE

USAJILI SIMBA, YANGA NI UTATA, KUMBE MAJINA YA OKWI, AJIBU HAYATAMBULIKI TFF

Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu zote ambazo zinasimamiwa na shirikisho hilo kuhakikisha zinamaliza zoezi lake la usajili...

READ MORE

YANGA YATANGAZA KUMSAJILI KIPA WA SERENGETI BOYS, ASAINI MIAKA MITANO

Baada ya tetesi ndani ya wiki kadhaa, hatimaye Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kipa chipukizi, Ramadhani Kabwili. Kipa huyo aliyekuwa...

READ MORE

Omog: Niyonzima Anakuja Wamekwisha

TAARIFA za ujio wa kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ndani ya Simba zimemkosha kocha wa timu hiyo, Joseph Omog raia wa...

READ MORE