×

Michezo

Stewart awakimbiza Kerr, Pluijm mikoani

Kocha wa Azam FC, Stewart Hall. Martha Mboma,Dar es Salaam KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall, ameonekana kuwa moto zaidi...

READ MORE

Arsenal yapigwa 4-0 na Southampton

Kiungo wa Southampton Steven Davis (kulia)akiwania mpira na kiungo mkabaji wa Arsenal Mathieu Flamini kwenye mtanange huo.Cuco wa Southampton akishangilia goli la kwanza...

READ MORE

Kocha Kopunovic tena Simba

Mserbia, Goran Kopunovic. Hans Mloli, Dar es Salaam UNAWEZA kuona kama ni utani lakini ndiyo hali halisi ilivyo, Klabu ya...

READ MORE

Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa

Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na...

READ MORE

Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi...

READ MORE

Blatter, Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka

Platini (kushoto) akiwa na Blatter Zurich, Uswisi Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter na aliyekuwa Makamu...

READ MORE

Ngoma, Kamusoko ni hatari nyingine ligi kuu

Donald Ngoma. Hans Mloli, Dar es Salaam KADIRI siku zinavyozidi kusonga, Yanga inazidi kudhihirisha kuwa haikukosea kuwasajili Wazimbabwe, Thabani Kamusoko na...

READ MORE

Tambwe atoa mpya, adai hamjui Nonga

Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam WIKI iliyopita, Yanga ilifunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili,...

READ MORE

Pluijm afichua kilichomleta Nonga Yanga

Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Hans Mloli, Dar es Salaam WAKATI wengi wakijiuliza wingi wa mastraika kwenye kikosi cha Yanga...

READ MORE

Guus Hiddink achukua mikoba ya Mourinho Chelsea

Kocha mpya wa Chelsea, Guus Hiddink. Aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja...

READ MORE

Nonga aikosakosa Stand United

Paul Nonga Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA zari kwa Stand United, kwani yule mbaya wao Paul Nonga aliyesajiliwa na...

READ MORE

Kiiza: Simba imebadilika, inakuja kivingine

Straika Hamis Kiiza. Wilbert Molandi, Dar es Salaam BAADA ya kufanikiwa kuwasajili Brian Majwega, Paul Kiongera na Danny Lyanga, straika...

READ MORE

Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima

Mshambuliaji, Issofou Boubacar. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga...

READ MORE

Jose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea

Jose Mourinho. Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo...

READ MORE

Niyonzima asimamishwa Yanga, akatwa mshahara

Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima. KIUNGO wa Yanga SC, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima atapokea nusu mshahara kwa muda usiojulikana, baada ya...

READ MORE

Nonga asaini miaka miwili Yanga

Waandishi Wetu, Dar es Salaam DIRISHA dogo la usajili lilifungwa rasmi jana na Yanga SC ikaamua kufunga kwa kunasa saini ya...

READ MORE

Straika Simba ampa tuzo Ngoma

Donald Ngoma wa Yanga. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam MPACHIKA mabao tegemeo wa Simba, Ibrahim Ajib ‘Cadabra’, ameweka bayana kuwa, hana...

READ MORE

Kerr amkataa Mniger wa Yanga SC

Kocha Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr. Wilbert Molandi na Hans Mloli KOCHA Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, ameingilia...

READ MORE

Kweli Nape, hakuna nidhamu kabisa kwenye michezo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. NILIMSIKILIZA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akizungumzia...

READ MORE

Simba yampa Kiongera nyumba 3 Dar

Paul Kiongera. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam SUPASTAA! Katika kile kilichoonekana Mkenya, Paul Kiongera analelewa kama mfalme wa Simba, uongozi wa...

READ MORE

Niyonzima awashiwa taa nyekundu Yanga SC

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam MUDA wowote, lolote linaweza kumtokea kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima ikiwemo...

READ MORE

Wajapan wampiga stop Samatta… kumgusa Messi

Mbwana Samatta. OSAKA, Japan NDOTO ya nyota wa Kitanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kumkabili staa wa dunia, Lionel Messi wa...

READ MORE

Ratiba ya Ligi Ya Mabingwa Afrika‏

Yanga imepangwa kuanza na mabingwa wa Mauritian, Cercle de Joachim katika draw ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali...

READ MORE

Okwi aiingiza matatani Simba

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam SIKU chache baada ya gazeti hili kuripoti kuwa aliyekuwa mshambuliaji...

READ MORE

Jerry Tegete aishtaki Yanga

Jerry Tegete Mwadui FC. Hans Mloli, Dar es Salaam WAKATI Yanga ikiendelea na kampeni nzito za kutwaa ubingwa msimu huu, upande...

READ MORE

Atemwa Yanga, asaini miaka miwili Korea

Kiungo wa pembeni, Mbrazili, Andrey Coutinho. Hans Mloli, Dar es Salaam KIUNGO wa pembeni, Mbrazili, Andrey Coutinho, aliyesitishiwa mkataba na Klabu...

READ MORE

Chelsea, Arsenal zatinga 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya

Olivier Giroud na wenzake wakishangilia ushindi dhdi ya Olympiacos. Chelsea wakishangilia kutinga hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya....

READ MORE

Okwi Simba tena

Emmanuel Okwi. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KUNA ile methali, inasema hivi: “Banda likikushinda, jenga kibanda”. Hivi ndivyo Simba watakavyolazimika kuchagua...

READ MORE

Majabvi amfunika mshahara kocha Simba SC

Mzimbabwe Justice Majabvi. Hans Mloli, Dar es Salaam MUDA mwingine cheo si ishu sana kama unaingiza pesa nyingi zaidi ya bosi,...

READ MORE

Stand: Maguri haondoki hapa

Straika Elias Maguri. Omary Mdose, Dar es Salaam UONGOZI wa Stand United, umetangaza kuwa, klabu yoyote inayofanya mchakato wa kumsajili straika...

READ MORE

Tambwe, Busungu wamchanganya Pluijm

Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge KIKOSI cha Yanga kipo katika maandalizi kabambe ya kujiandaa na mechi yake ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Matokeo Ligi ya Mabingwa Ulaya

Wachezaji wa Manchester United baada ya kipigo cha 3-2 kutoka kwa Wolfsburg na kuyaaga mashindano hayo. Kundi A Paris Saint Germain 2...

READ MORE

Aveva adaiwa kukwamisha usajili wa Mavugo

Rais wa Simba, Evans Aveva. Martha Mboma na Ibrahim Mussa HAKIJAELEWEKA! Uongozi wa Klabu ya Vital’O ya Burundi, umemtupia lawama...

READ MORE

Kiongera avuna mamilioni Simba

Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA siyo dola 10,000 (sawa na shilingi milioni 20), basi mshambuliaji Mkenya, Paul Kiongera, asingerejea tena...

READ MORE

Coutinho atimuliwa Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho. Khadija Mngwai, Dar es Salaam SASA yametimia, ndivyo unavyoweza kusema kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga,...

READ MORE

Manchester City wapigwa na Stoke City bao 2-0

Mshambuliaji wa Stoke City Marko Arnautovic (kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya saba kipindi cha kwanza katika...

READ MORE