×

Michezo

Parimatch Yaidhamini Mashujaa FC

Zikiwa zimesalia takribani siku nane kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kampuni ya michezo ya...

READ MORE

Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Asuka Bomu Simba Ahitaji Muda Zaidi

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho‘ ameweka wazi kwamba, tayari ana kikosi cha kwanza kilichokuwa tayari kwa mapambano...

READ MORE

Michuano ya Ngao ya Jamii Kutimua vumbi leo, Yanga na Azam Kitawaka!

Michuano ya Ngao ya Jamii Tanzania inaanza kutimua vumbi leo Agosti 9, 2023 kwa mchezo mmoja wa nusu fainali kati...

READ MORE

Mshambuliaji Mpya Hafiz Konkoni Amkosha Gamondi Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amemuangalia mshambuliaji wake mpya, Hafiz Konkoni na kutamka kwamba, nyota huyo atakuwa tishio...

READ MORE

Kocha Aikoleza Kombinesheni Ya Onana, Ngoma Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku...

READ MORE

Amsha Mzuka na shilingi Milioni moja na Smartphone kutoka Parimatch

Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa msimu mpya wa michuano ya kabumbu ulimwenguni kote, Kampuni ya michezo ya kubashiri Parimatch...

READ MORE

Kocha Aikoleza Kombinesheni Ya Onana, Ngoma Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku...

READ MORE

Sopu, Prince Dube Waongezewa Makali Kuitungua Yanga Mkwakwani, Tanga

WAKIWA wanajiandaa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, mastaa wa Azam FC, Prince Dube na Abdul Suleiman ‘Sopu’...

READ MORE

Maxi, Konkoni Wampasua Kichwa Kocha wa Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina, amefichua kuwa, licha ya kucheza michezo ya ndani ya kirafiki, lakini bado...

READ MORE

Straika Mpya Yanga Atuma Ujumbe Mzito Simba

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mghana, Hafiz Konkoni amebainisha kwamba, ana furaha kujiunga na timu hiyo, huku akisema ana deni kubwa...

READ MORE

Pamba jiji fc yapata udhamini wa jezi

Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Frank Mvati (Katikati) akiwa na wakurugenzi wa Netsports baada ya kusaini mkataba  huo. KAMPUNI...

READ MORE

Simba Day: Hali Ilivyo Kwa Mkapa, Nyeupe Na Nyekundu Tu, Mashabiki Watamba…(Video+Picha)

LEO Jumapili linafanyika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali, kisha kikosi cha...

READ MORE

Diarra, Metacha Matumaini Kibao Yanga Wanampa Furaha Gamondi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina, anatajwa kuwa kwenye furaha kuwaona makipa watatu wakiwa kwenye uimara mazoezini....

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Atinga Kwa Mkapa Kushuhudia Tamasha la Simba Day

LEO Jumapili linafanyika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali, kisha kikosi cha...

READ MORE

Robertinho: Hii Ndio Simba Ninayoitaka ya Kuchukua Mataji

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefurahi ubora wa kikosi tulichonacho kuelekea msimu mpya wa mashindano 2023/24 huku akiweka wazi malengo...

READ MORE

Kocha Yanga Awatuliza Mashabiki “Tulieni Huu Ubingwa Unabaki”

HUKU kikosi chake kikiendelea na maandalizi ya kabla ya msimu ‘pre season’ kwenye kambi yao ya AVIC Town Kigamboni, Kocha...

READ MORE

Kocha na Daktari wa Viungo Wampa Maxi Programu Maalum

KATIKA kuhakikisha anakuwa bora na fiti zaidi, Kocha na Daktari wa Viungo wa Yanga, Mtunisia Youssef Ammar amepewa jukumu ya...

READ MORE

Kiungo Mpya Simba Amuandalia Ufungaji Bora Baleke

KIUNGO mpya wa Simba, Aubin Kramo raia wa Ivory Coast, amesema malengo yake ni kuona timu inafanikiwa zaidi kuliko mafanikio...

READ MORE

Parimatch yaidhamini Geita Gold FC

Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Parimatch imetangaza rasmi kuingia makubaliano ya kuidhamini klabu inayomilikiwa na Manispaa ya Jiji la...

READ MORE

Kocha wa Yanga Gamondi Amsuka Upya Mrithi Wa Mayele

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga anaendelea kumsuka upya mrithi wa mikoba ya, Fiston Mayele ambaye ni Kennedy Musonda. Mayele...

READ MORE

Maxi Amchomoa Aziz Ki Yanga Kucheza Namba 10, Kocha Afunguka

RASMI Kocha Mkuu wa Yanga Muargentina, Miguel Gamondi atamtumia Mkongomani Maxi Mpia Zengeli kucheza namba 10 na siyo winga tena...

READ MORE

Simba: Tutatangaza Ubingwa Bara Kabla Ya Mechi 5

SALIM Abdallah ‘Try Again’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba amewaambia mashabiki wa Simba kuwa wajiandae kufurahia...

READ MORE

Alikiba Aachia Wimbo wa Simba (Mnyama), Kupiga Bonge la Shoo Kwa Mkapa

Rasmi Staa wa Muziki wa Tanzania na Afrika, AliKiba ‘King Kiba’amehamia Simba na Agosti 6, 2023 atakuwa mtumbuizaji mkuu katika...

READ MORE

Maxi, Skudu Wabebeshwa Mzigo Mzito Yanga Wapelekwa Gym

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya...

READ MORE

Kocha Simba Atamba Kubeba Ubingwa Mapema, Azungumza na Spoti Xtra

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa presha mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia muda walioupata katika kambi...

READ MORE

Meridianbet na Airtel Money Waja na Promosheni ya Vuna Zaidi – Video

Leo hii Agosti 1 Meridianbet imekutana na waandishi wa habari eneo la Four Points by Sheraton Posta kwaajili ya uzinduzi...

READ MORE

Luis Miquissone Ampa Mzuka Roberto Oliveira ‘Robertinho’

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefurahishwa na wachezaji wake wapya waliowasajili kikosini hapo akiwemo Luis Miquissone akibainisha...

READ MORE

Kibegi cha Simba Kilichokwea Kilimanjaro Chaingiza Tsh Milioni 29

  Klabu ya Simba imefanya mnada wa KIBEGI kilichokwea kileleni mlima Kilimanjaro pamoja na jezi zilizokuwa na majina ya Viongozi...

READ MORE

Uwanja Wa Amaan Zanzibar Wakaguliwa Maandalizi Ya AFCON 2027

Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027,...

READ MORE

Robertinho Awachambua Mastaa Simba Walio Kambini Uturuki

ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba, amesema mastaa wake wote walio kambini Uturuki, wamezidi kuimarika kutokana na maandalizi wanayoendelea...

READ MORE

Ukarabati Uwanja Wa Mkapa: Sababu, Mantiki Na Umuhimu

BAADA ya Serikali kutangaza gharama za ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa zilizokadiriwa kufikia shilingi bilioni 31, baadhi ya wadau...

READ MORE

Fabrice Ngoma Aipa Jeuri Simba, Ahmed Ally Atamba ni wa Kipekee

WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya,...

READ MORE

Miguel Gamondi Afanya Mapinduzi Yanga, Fiston Mayele Atajwa

KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku...

READ MORE

Mshambuliaji Fiston Atangazwa Kama Mchezaji Mpya Wa Klabu Ya Pyramid

Mshambuliaji Fiston ametangazwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Pyramid FC inayoshiriki Ligi Kuu Misri kutoka klabu ya Yanga ya...

READ MORE

Mshambuliaji Rasmus Højlund Kutua Manchester United Akitokea Atalanta

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta juu ya uhamisho wa mshambuliaji Rasmus Winther Højlund kwa ada...

READ MORE

Yanga Wamtambulisha Mrithi Wa Mayele, Hafiz Konkoni Kutoka Ghana – (Picha +Video)

Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Hafiz Konkoni kutoka klabu ya Bechem United inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana. Konkoni (23)...

READ MORE

Twaha Kiduku Achezea Kichapo Kutoka Kwa Wellem kutoka Afrika Kusini – (Video + Picha)

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amepokea kichapo dhidi ya Bondia, Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini kwa pointi za majaji katika pambano...

READ MORE

Mandonga Apigwa Kwa TKO Dhidi Ya Bondia Moses Golola Kutoka Uganda – Picha

WIKI moja tu baada ya kulambishwa sakafu Nchini Kenya, bondia maarufu wa Tanzania Karim ‘Mtu Kazi’ Mandonga, amepokea kipigo kingine...

READ MORE

Upana wa Kikosi Uliwanyima Ubingwa Simba 2022/23, Je Wamejifunza?

Takwimu za msimamo wa Ligi Kuu ya NBC msimu uliopita zinaonesha licha ya kutokuwa mabingwa, Simba Sc imeongoza kwa takwimu...

READ MORE

Fiston Mayele Atua Misri Kifalme Kujiunga na Klabu ya Pyramids

SASA ni rasmi kuwa nyota wa Yanga raia wa DR Congo, Fiston Mayele ameondoka rasmi klabuni hapo kwenda nchini Misri...

READ MORE