×

Michezo

Bingwa wa Kupanda Milima Afariki Akianguka Kutoka Milima ya Montblanc

BINGWA wa kupanda milima na kuteleza kwenye theluji mwanadada Adele Milloz, 26, afariki dunia baada ya kuanguka kutoka safu za...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Kilicho Nyuma ya Matokeo ya Yanga 2-1 dhidi ya Simba Ngao ya Jamii 2022

  WATAALAM wanakuambia historia huwa inajirudia katika mchezo wa kwanza wa ngao ya jamii katika historia ya mpira wa Tanzania...

READ MORE

Man United Yatoa Tamko Juu ya Hatma ya Ronaldo, Ni Baada ya Kichapo Dhidi ya Brentford

BAADA ya kupoteza mechi dhidi ya Brentford kwa mabao manne kwa sifuri watu wengi walitaka kusikia nini kitatokea juu ya...

READ MORE

Mabondia Anthony Joshua na Oleksandr Usyk Kuzichapa Tena Agosti 20

PAMBANO ambalo lilisubiriwa na wapenzi wa ndondi kati ya bondia Anthony Joshua na Oleksandr Usyk linatarajiwa kufanyika siku ya jumamosi...

READ MORE

Kocha Zoran: Msimu Huu Hautakuwa Mwepesi Kila Timu Inahitaji Kufanya Vizuri

  ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba, amesema kuwa, msimu huu wa 2022/23, hautakuwa mwepesi kwa sababu kila timu inahitaji...

READ MORE

Mayele Awavuruga Vibaya Inonga, Ouattara, Awapiga Mbili …Aziz Ki Habari Nyingine

  WANANCHI Yanga SC wanatamba huko mtaani wakiwaambia Simba SC: “Semeni tena.” Hiyo ni baada ya jana kuibuka na ushindi...

READ MORE

Kocha Yanga Awakabidhi Rungu Aziz Ki, Morrison Kuiua Simba Leo

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefichua kuwa amepanga kuwatumia vizuri nyota wake wapya ndani ya timu hiyo akiwemo Benard...

READ MORE

Lionel Messi Atupwa Nje kwa Mara ya Kwanza katika Kinyang’anyiro cha Ballon d’Or

HUENDA ikawa habari mbaya kwa staa wa PSG Muargentina Lionel Messi baada ya kukosekana kwenye orodha ya wachezaji 30 wanaowania...

READ MORE

Barca Yakamilisha Usajili wa Nyota Wake Wapya, Kounde Matatani

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imekamilisha kuwaandikisha wachezaji wake wanne kati ya watano waliosajiliwa na klabu hiyo kuelekea katika...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Mashindano Mapya Barani Afrika ya CAF Super League

RAISI wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika, Patrice Motsepe ametangaza kuanzishwa kwa mashindano mapya ya vilabu Afrika yatakayo julikana...

READ MORE

Mayele Kukwaa Vigingi Vitatu Simba, Mohamed Ouattara, Victor Akpan Wamtisha

MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele aliyefunga mabao 16 kwenye ligi anatarajiwa kukwaa vigingi vitatu Agosti 13, kwenye...

READ MORE

PSG Imevutiwa na Mpango wa Kuinasa Saini ya Marcus Rashford

KLABU ya Paris Saint- Germain ya nchini Ufaransa inaangalia uwezekano wa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford...

READ MORE

Chelsea Yatenga Dau Kuzinasa Saini za De Jong na Aubameyang Kutoka Barcelona

CHELSEA wapo tayari kufikia ofa ya United ya Paundi milionmi 72 ambayo waalimpa kiungo wa Barcelona na timu ya taifa...

READ MORE

Michuano ya Kombe la Dunia Kurudishwa Nyuma, Fifa Yabariki Mabadiliko

TAREHE ya ufunguzi wa michuano ya Fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar imerudiswa nyuma siku moja ili kuruhusu wenyeji...

READ MORE

Serena Williams Atangaza Kustaafu Tenisi, Familia Yatumika kama Kigezo

SERENA Williams amethibitisha kuwa atastaafu kucheza tenisi mchezo uliomfanya ashinde mataji 23 ya Grand Slam Single.   Serena mwenye umri...

READ MORE

Rage: Msimu Huu Simba Wanakwenda Kubeba Kila Kitu, Atamba na Usajili wa Mserbia

BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage,...

READ MORE

Arsenal Yatuma Ofa kwa Winga wa Villarreal, Ana Mkataba Wenye Kipengele Kigumu

KLABU ya Arsenal imetuma ofa ya Paundi milioni 40 kwa Villarreal ya nchini Hispania kwa ajili ya kuinasa saini ya...

READ MORE

Kombe la Shirikisho Afrika: Geita Gold Wapelekwa Sudan

MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold imepangwa kukutana na timu ya Hilal Al Sahil ya Sudan Kaskazini katika mechi...

READ MORE

Droo ya CAF Yatoka Rasmi, Yanga na Simba Zatambua Wapinzani Wao

  KLABU ya Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Klabu ya Zalan FC ya nchini Sudan Kusini katika hatua ya raundi...

READ MORE

Sistinho: Simba Day Iitwe Jina la “Dalali Simba Day” Kumheshimu Muasisi

MCHAMBUZI wa soka kupitia vipindi vya michezo vya Global tv na +255 Global Radio, Sistinho, amesema ni wakati wa Simba...

READ MORE

Achana na Matokeo Kufungwa na Vipers, Yanga Yafunika Wiki ya Mwananchi

ACHANA na matokeo ya Yanga kufungwa 0-2 na wageni wao Vipers FC, ukweli ni kwamba, Wananchi jana walifunika katika suala...

READ MORE

Kocha wa Simba Maki Atamba Hana Hofu na Yanga Kuelekea Mchezo wa Ngao ya Jamii

ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa anaamini kwamba watapata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga kutokana...

READ MORE

Simba Wazindua Jezi Mpya, Haijawahi Tokea, Mashabiki Wajazana Madukani Kununua- Video

Muda mfupi baada ya Klabu ya Simba kuzindua jezi zake, mashabiki wa klabu hiyo wamejitokeza kwa wingi kwenye Duka la...

READ MORE

Injinia Hersi, Manara Wafunguliwa Mashtaka Kamati ya Maadili TFF

  Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said...

READ MORE

CEO wa Yanga Awapongeza Simba kwa Usajili wa Manzoki, Adai Atawasaidia

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Yanga Simon Patrick amesema usajili wa Cesar Lobi Manzoki ndani ya Simba ni usajili mzuri...

READ MORE

Pawassa Aipania Malawi, Vijana Wajifua Wakiahidi Kufa au Kupona Kuleta Heshima

HATIMAYE kikosi cha Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ ambacho kinajiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu...

READ MORE

Kocha Nabi Apewa Mkataba Mgumu Yanga Una Masharti Matatu Mazito

LICHA ya Yanga kumuongezea mkataba kocha wao, Nasreddine Nabi wa miaka miwili lakini inatajwa kuwa mkataba huo una masharti mazito...

READ MORE

Fenerbahce Yapigwa Faini na UEFA kwa Kosa la Kushangilia Jina la Putin

KLABU ya Fenerbahce ya nchini Uturuki imeambulia nyundo ya kufungiwa sehemu ya uwanja wa klabu hiyo kutoingiza mashabiki kwa kipindi...

READ MORE

Mosimane Aamua Kupumzika Ukocha, Aahidi Kujikita Kukuza Soka la Afrika

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa miamba ya Soka Barani Afrika, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini amesema baada ya kutumika kama...

READ MORE

Klabu ya Chelsea Imetangaza Kukamilisha Dili la Kumsajili Cucurella Kutoka Brighton

KLABU ya Chelsea imetangaza kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto wa klabu ya Brighton and Hove Albion raia wa Hispania...

READ MORE

LIVE: Pitso Mosimane, Injinia Hersi Wanazungumza na Waandishi wa Habari Kuelekea Siku ya Mwananchi-VIDEO

LEO Agosti 5, 2022 Kocha Pitson Mosimane aliyekua akikinoa kikosi cha timu ya Al Ahly ya Misri amezungumza na wanahabari...

READ MORE

Mbunge Shigongo Aongoza Maadhimisho ya Sherehe ya Simba Day Buchosa

SHEREHE za Simba Day zinaendelea katika maeneo mbalimbali nchini kuelekea kilele chake kitakachofanyika agosti nane mwaka huu katika uwanja wa...

READ MORE

Kocha Nabi Bado Yupo Yupo Sana Yanga Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili

Klabu ya Soka ya Yanga imethibitisha kocha wake Nasreddine Mohammed Nabi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia timu hiyo...

READ MORE

Nabi Hataki Utani Ampeleka Gym Morrison kwa Ajili ya Kuwavaa Waganda Wiki ya Mwananchi

KATIKA kuhakikisha anaendana na kasi ya wenzake, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi fasta amewapa program maalum ya gym...

READ MORE

Geita Gold Yashusha Mghana, Yapania Kufanya Makubwa Mashindano ya Shirikisho

KLABU ya Geita Gold imetangaza kumsajili mlinzi Shawn Oduro raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili ikiwa ni katika...

READ MORE

Yanga Kufungua Pazia la Ligi Kuu ya NBC Dhidi ya Polisi Tanzania, Simba Kuwavaa Geita Gold FC

  MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo leo Agosti 3, 2022 ametangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu ya...

READ MORE

Chelsea Yazifanyia Kitu Mbaya Timu za Manchester, Bosi Mpya Aonesha Jeuri ya Pesa

BOSI mpya wa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza Todd Boehly ameonesha jeuri ya pesa kwa vilabu vya Manchester baada...

READ MORE

Bangala Aikamua Yanga Mamilioni Baada ya Kuongeza Mkataba Utakaomuweka Hadi 2024

KIRAKA wa Yanga, Mkongomani, Yannick Bangala, baada ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, inaelezwa kwamba thamani ya mkataba...

READ MORE

Nabi Alalama Kuhusu Ratiba, Awalilia Nyota Waliokuwa Taifa Stars

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba...

READ MORE

Sistiinho: Simba Day, Wiki ya Wananchi na Azam Festival ni Faida Kwa Timu na Jamii

MCHAMBUZI wa soka kupitia vipindi vya michezo vya Global tv online na +255 Global Radio, Sistiinho amebainisha kuwa Simba Day,...

READ MORE