×

Michezo

Baada ya Ukame wa Mabao Simba Yatua kwa Straika wa Orlando Pirates

IMEELEZWA kuwa Simba imeanza mazungumzo na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, Kwame Peprah raia wa Ghana kwa...

READ MORE

Kisa Lwanga, Mzambia Alamba Mkataba Simba, Pablo Atoa Maelekezo Mazito

UNAAMBIWA mwenendo wa majeraha kwa kiungo Taddeo Lwanga raia wa Uganda, umemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco alazimike kumuongeza...

READ MORE

Muliro Azungumzia Tukio la Mwanamke Mkazi wa Sinza Aliyejeruhiwa kwa Risasi

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amethibitisha tukio la Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa...

READ MORE

Barbara wa Simba na Haji Manara Waitwa Kamati ya Maadili TFF Kujieleza Kesho

  OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez atafikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka...

READ MORE

Manara Aanika Ukweli – “Fei Toto Bado Yupo Sana, Morrison Mali ya Simba” – Video

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara leo Mei 19, 2022 ameendelea na ziara yake maluum Wilayani Njombe, ambapo amealikwa...

READ MORE

Simba Yatua Kwa Beki la Kazi Raia wa Cameroon Amecheza LA Galaxy ya Marekani

  KLABU ya Simba ipo katika mazungumzo na beki la kazi raia wa Cameroon, Jean Jospin Engola kwa ajili ya...

READ MORE

Simba Yamfuata Rasmi Luís Miquissone, Meneja Wake Athibitisha

BAADA ya kuwepo kwa tetesi kwamba Al Ahly ina mpango wa kumtoa kwa mkopo winga wake, Luís Miquissone, inaelezwa kwamba,...

READ MORE

Saleh Ally: Rally Bwala Amekuwa Maji Kupwa Maji Kujaa

MCHAMBUZI wa Soka Saleh Ally ‘Jembe’ katika kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na 255globaradio na Global TV amesema kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Geita Gold Kutumia Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Mechi yao Dhidi ya Simba

Klabu ya Geita Gold imesema itautumia Uwanja wa CCM Kirumba uliopi mjini Mwanza katika mechi yao dhidi ya Simba Jumapili...

READ MORE

Mo Amwaga Mamilioni Simba, Wapania Kusaka Washambiliaji wa Ligi ya Mabingwa Afrika

  UNAWEZA kusema mwenendo wa ufungaji wa washambuliaji wa Simba msimu huu, hauwafurahishi wengi ndani ya klabu hiyo, hali iliyomfanya...

READ MORE

Kocha Mpya wa Manchester United, Erik Ten Hag Avunja Mkataba Wake Ajax

  BOSI mpya wa Manchester United, Erik ten Hag amevunja mkataba wake ili kuiwahi klabu yake hiyo mpya tayari kwa...

READ MORE

Sure Boy Ampa Kiburi Bosi Yanga, Afunguka Mazito ni Kikosi cha Msimu Huu ni Hatari

  MJUMBE wa Kamati ya Mashindano ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, anajivunia usajili bora...

READ MORE

Injinia Hersi Atamba Yanga Kufanya Usajili Babu Kubwa Utakaokuwa Gumzo Afrika

  MJUMBE wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said,...

READ MORE

Kocha wa Mbeya Kwanza Afungiwa Miaka Mitano, Namungo Wapewa Pointi 3

Kocha wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata na Meneja David Naftali wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa...

READ MORE

Simba Yapigwa Faini Tsh. Milioni 23 na CAF Kwa Kufanya ‘Tambiko Hatarishi’ Uwanjani

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya Dola za Marekani 10,000 (zaidi ya Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada...

READ MORE

Dkt. Abbas Atembelea Ujenzi wa Kituo cha Michezo cha TFF Tanga

KATIBU MKUU wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi leo Mei 16, 2022 amekagua ujenzi wa kituo...

READ MORE

Kiungo wa ASEC Mimosas Stephen Aziz Ki Ajipeleka Simba, Baada Kudaiwa Kuwaniwa na Yanga

  JINA la Stephen Aziz Ki, kiungo wa ASEC Mimosas, bado linatembea mitaa ya Kariakoo jijini Dar baada ya timu...

READ MORE

Vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga Yaitungua Dodoma Jiji 2-0 Uwanja wa Jamhuri

Yanga imeifunga Dodoma Jiji FC mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Ushindi huo umekuja baada ya kucheza mechi...

READ MORE

Kiungo Mnigeria Oche Ochowechi Amuondoa Lwanga Simba

  MAJERAHA ya muda mrefu aliyokumbana nayo kiungo wa Simba, Taddeo Lwanga raia wa Uganda, yamewafanya mabosi wa klabu hiyo...

READ MORE

Morrison Aibua Mapya Simba Akiwaaga Wenzake Kambini Awataka Wapambane

  KUFUATIA taarifa ya kupewa mapumziko mpaka mwishoni mwa msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, ameibua mapya kikosini...

READ MORE

Yanga Yaifungia Busta Dodoma Jiji leo Kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga, amesema wachezaji wote ambao walikuwa hawapo fiti kutokana na sababu mbalimbali, wameshaanza mazoezi kwa...

READ MORE

Liverpool Yatwaa Ubingwa wa FA, Yaichapa Chelsea kwa Mikwaju ya Penati

KLABU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Kombe la Shirikisho nchini Uingereza maarufu kama FA baada ya kuichapa klabu ya...

READ MORE

Simba Yatinga Nusu Fainali kwa Kishindo, Kuwakabili Yanga

Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam Sports baada ya kuitandika Pamba...

READ MORE

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Imetangaza Mabadiliko ya Muda Pambano la Dodoma Jiji na Yanga

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPBL) imetangaza mabadiliko ya muda wa pambano la Ligi Kuu ya NBC namba 208 kati...

READ MORE

Mayele Atangaza Hali ya Hatari, Awapania Dodoma Jiji

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, ameweka wazi kuwa licha ya kupoteza mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Tanzania...

READ MORE

Jembe Jipya Lataja Sababu za Kujiunga Yanga, Lamtaja Aucho

BEKI wa kushoto wa timu ya taifa ya Uganda, Mustafa Kiiza, ambaye amemalizana na Yanga, amewataja wachezaji Hamisi Kiiza na...

READ MORE

Bosi Yanga Afunguka Morrison Kutua Klabuni, Simba Yatoa Tamko Zito

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, amesema kuwa kiungo wa Simba, Mghana, Bernard Morrison ni bonge la mchezaji, na wanatamani...

READ MORE

Nabi Awaandalia Sapraizi ya Ubingwa Simba SC, Adai Anajua cha Kufanya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia: “Mashabiki acheni presha, niachieni mimi,...

READ MORE

Baada ya Sare Tatu Mfululizo, Pablo Aiombea Mabaya Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, raia wa Hispania, amefichua kuwa kilichobaki kwa sasa ni kuendelea kuwaombea wapinzani wao Yanga...

READ MORE

Simba Yatoa Taarifa kwa Umma Kuhusu Hatima ya Bernard Morrison

KLABU ya soka ya Simba imeuarifu Umma hasa mashabiki wake na wapenzi wa soka nchini kuhusu hatima ya mchezaji wao...

READ MORE

Kiungo Fundi Said Ntibanzokiza ‘Saido’ Apewa Mkataba Mgumu Yanga, Abanwa Kuondoka

KIUNGO mshambuliaji mkongwe Mrundi, Said Ntibanzokiza ‘Saido’, amepewa mkataba wa mwaka mmoja wenye masharti magumu katika Klabu ya Yanga.  ...

READ MORE

Miaka Mitano ya SportPesa Tanzania, Waongeza Idadi Ya Watalii Ujio Sevilla, Everton

  “HAYA mafanikio tuliyoyapata SportPesa kwa kipindi cha miaka mitano tuliyoyaanza Mei 9, 2017, tumepanga kuyaendeleza zaidi ya hapa.  ...

READ MORE

MOURINHO Hadhani Kama Tammy Abraham Atarudi England

WAKATI mshambuliaji wa kikosi cha AS Roma, Tammy Abraham akitajwa kuwa kwenye hesabu za kutua ndani ya kikosi cha Arsenal...

READ MORE

Guardiola Adai De Bruyne Yupo Kwenye Kiwango cha Kutisha

PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima nyota wake Kevin De Bruyne,(KDB) awe kwenye furaha kubwa...

READ MORE

Simba Yaichapa Kagera 2-0 kwa Mkapa Yaongeza Presha kwa Yanga

Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi...

READ MORE

Imetosha… Yanga: Sare Sasa Basi, ni Ushindi tu, Kocha Afunguka Mapya

    MARA baada ya kupata suluhu katika michezo mitatu mfululizo kwenye ligi kuu, benchi la ufundi la timu hiyo,...

READ MORE

Mkude, Morrison Out Leo Kuwakosa Kagera Sugar Uwanja wa Mkapa, Ligi Kuu

  WAKATI leo kikosi cha Simba kikiwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Kagera Sugar, nyota wake wanne...

READ MORE

Straika wa Mabao Geita Gold Akubali kusaini Yanga, Atoa Masharti Mazito

BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa kuhusishwa kusaini mkataba Yanga, mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole ametoa sharti moja kubwa kwa...

READ MORE

Beki wa Kati Onyango bado Yupo Sana Simba, Pablo Apendekeza Aongezewe Mkataba

BEKI wa kati wa Simba raia wa Kenya, Joash Achieng Onyango, amekubali kuongeza mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya timu...

READ MORE

Kibwana Shomari Asaini Miaka 2 Kuendelea Kuwatumikia Wanajangwani

BEKI wa Kulia wa Klabu ya Yanga Kibwana Shomari amesaini mkataba wa miaka mwili kuendelea kuitumikia timu ya wananchi Yanga....

READ MORE