×

Michezo

Sportpesa Yakabidhi Milioni 50 kwa Simba kwa Kutinga Robo Fainali ya Shirikisho

HATIMAYE Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas, amemkabidhi Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Haaland Afuzu Vipimo vya Afya Kujiunga na Manchester City Msimu Ujao

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Borussia Dortmund raia wa Norway Erling Braut Haaland amefuzu vipimo vya afya tayari kujiunga na klabu...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mbavu na Tanzania Prisons, Mayele Akosa Penati

KLABU ya Yanga imelazimishwa matokeo ya sare dhidi ya wajelajela Tanzania Prison katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kwenye...

READ MORE

Klabu ya DTB Imefanikiwa Kupanda Daraja, Kucheza Ligi Kuu Msimu Ujao

KLABU ya DTB inayomilikiwa na Taasisi ya Kifedha ya Benki ya Diamond Trust imefanikiwa kupanda daraja kutoka Ligi daraja la...

READ MORE

Pawasa Adai Ligi ya Soka la Ufukweni Itasimama Kupisha Dirisha la Usajili

MRATIBUwa Soka la Ufukweni Bohiphace Pawasa amesema kesho mechi za kundi A zitakamilisha hatua za makundi na baada ya hapo...

READ MORE

Mabosi wa Simba Wamjadili Shiza Ramadhan Kichuya, Baba Ampeleka Yanga

WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa...

READ MORE

Afisa Jeshi La Ulinzi La Wananchi wa Tanzania ( Jwtz) Atunukiwa Nishani ya Utendaji Bora Duniani ( Cism)

KANALI Joseph Bakari, Mkurugenzi wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) ametunukiwa Nishani iitwayo OFFICER kwa kutambua moyo wa,...

READ MORE

Kocha Simba Ashtukia Dili Simba Abadili Mbinu Kuhakikisha Kikosi Kinarudisha Furaha

  KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, ameamua kubadili mbinu kuhakikisha kikosi chake kinarudisha furaha kwa mashabiki na kumaliza...

READ MORE

Simba Mmesikia Huko… Yanga Yampandia Dau Adebayor Yaweka 250Mil

  YANGA imeonekana kupania kufanya usajili bora utakaokuwa tishio kimataifa baada ya kumfuata mshambuliaji wa US Gendarmarie ya nchini Niger,...

READ MORE

Absa Bank Kudhamini Mbio Zaidi

  BENKI ya Absa Tanzania imesema itaendelea kudhamini mbio zaidi nchini ili kudumisha utamaduni wa afya njema huku ikipamba mbio...

READ MORE

RASMI: Mwisho wa Enzi za Roman Abramovich Chelsea Yauzwa kwa Mmiliki Mpya

KLABU ya Chelsea ya Uingereza imeuzwa rasmi kwa mmiliki mpya na hivyo kufikisha mwisho wa enzi za utawala wa bilionea...

READ MORE

EPL, Laliga na Ligi Zingine Ulaya Kuendelea Wikiendi Hii, Zifuate Odds Bora za Meridianbet!

Baadhi ya timu zimeshamaliza misimu kwa kuzijua nafasi zao, zingine bado zinajitafuta huku wengine wakitafuta nafasi ya kuweka heshima kwa...

READ MORE

Arteta Ajitia Kitanzi Arsenal Hadi 2025, Adai Anajisikia Faraja Kudumu Klabuni

ARSENAL imemuongezea dili jipya Kocha Mkuu Mikel Arteta ambao utamfanya awe hapo mpaka mwaka 2025 akikinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi...

READ MORE

Henock Inonga Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba

HENOCK Inonga beki wa Klabu ya Simba leo amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans...

READ MORE

Mourinho Aweka Rekodi, Atinga Fainali Tatu Kubwa Ulaya

KOCHA wa sasa wa Klabu ya AS Roma ya nchini Italia Jose Mourinho maarufu kama ‘The Special One’ raia wa...

READ MORE

Yacouba Asimamia Usajili wa Aziz Ki Kutua Yanga, Soma Hapa Kujua Ukweli Wote

UNAAMBIWA dili la Stephen Aziz Ki kujiunga na Yanga, lina mkono mkubwa wa nyota wa timu hiyo, Yacouba Songne ambaye...

READ MORE

Kisa Mayele, Wasauz Wamuwekea 694m Inonga Beki Kisiki wa Simba Raia wa DR Congo

  KILA mafanikio yana zawadi sahihi kutoka kwa Mungu, kauli hii inakamilishwa zaidi na dili nono alilowekewa mezani beki kisiki...

READ MORE

Coca Cola Yalileta Kombe la Dunia Tanzania

Ikiwa ni kwa mara nyingine tena mfululizo Tanzania imefanikiwa kuwa miongoni mwa nchi tisa za Afrika ambazo kombe halisi la...

READ MORE

Winga wa RS Berkane Tuisila Kisinda Awagawa Mabosi Yanga Ishu ya Kurudi Msimu Ujao

WINGA machachari wa RS Berkane ya nchini Morocco, Tuisila Kisinda ameonekana kuwagawa mabosi wa timu hiyo, katika mipango ya kutaka...

READ MORE

Real Madrid Yatinga Fainali ya Uefa Kibabe, Yaichapa Man City 3-1

KLABU ya Real Madrid imefanikiwa kutinga katika hatua ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA baada...

READ MORE

Jezi ya Maradona ya Bao la Mkono wa Mungu Yauzwa kwa Bilioni 17

JEZI ya nguli wa soka Duniani marehemu Diego Armando Maradona imeweka rekodi baada ya kuuzwa kwa kiasi cha Euro Milioni...

READ MORE

Ruvu Shooting Yaibana Mbavu Yanga, Mayele Ashindwa Kutetema Tena

  KLABU ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani imefanikiwa kuambulia alama moja mbele ya vinara wa msimamo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Pablo Amtaja Mchawi wa Simba, Mastaa Sita Kutemwa Kusajili Majembe Mapya ya Kazi

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa mchawi mkubwa wa timu hiyo kushindwa kufanya vyema kwenye michezo mikubwa inatokana...

READ MORE

Kocha Yanga Afunga Mjadala wa Fiston Mayele na Beki wa Simba, Henock Inonga

ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunga...

READ MORE

Bakari Mwamnyeto, Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Jangwani, Injinia Hersi Atoa Tamko

  NAHODHA na beki wa kati tegemeo ndani ya Yanga, Bakari Mwamnyeto, ameongeza mkataba wa miaka miwili wenye thamani inayotajwa...

READ MORE

Simba Yabanwa Mbavu na Namungo, Sasa Pengo na Yanga ni Alama 12

  KLABU ya Soka ya Simba imeambulia sare katika pambano lake la Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo kwenye...

READ MORE

Simba Kuachana na Mastaa Sita wa Kigeni Mwishoni mwa Msimu, Kusajili Majembe Mapya

KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara watakachokitumia katika michuano ya kimataifa msimu ujao, Simba SC imepanga kuachana na wachezaji sita...

READ MORE

Namungo Yaitishia Simba Leo Jumanne Kwenye Dimba la Ilulu, Lindi Ligi Kuu Bara

  KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaochezwa leo Jumanne kwenye Dimba la Ilulu, Lindi, Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Kocha wa Simba Pablo Akubali Yaishe Ligi Kuu Atoa Tamko Kuwa Yanga Bingwa

  KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amekubali yaishe baada ya kutamka kuwa watani wao wa jadi, Yanga tayari...

READ MORE

Fulham Yaichakaza Luton 7-0 Yarudi Ligi Kuu ya Uingereza kwa Kishindo

KLABU ya Fulham imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza nchini Uingereza maarufu kama Championship.   Fulham imechukua Ubingwa huo...

READ MORE

 Kibwana, Saido Hofu Yatanda, ni Kuhusu Hatima Yao Ndani ya Klabu

WAKATI wachezaji Kibwana Shomari na Saido Ntibazonkiza wakiwa wanafanya vyema ndani ya Yanga, habari mbaya zaidi kwa upande mwingine ni...

READ MORE

Kocha Nabi Apania Ubingwa, Azuia Bata Ndani ya Kikosi cha Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amezuia mapumziko ya wachezaji wake mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi...

READ MORE

Dullah Mbabe Apokelewa kwa Shangwe Tunduru, Kuzichapa Kesho Kwenye Pambano Maalum

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ amewasili mkoani Ruvuma tayari kwa pambano lake maalum la kimaonyesho...

READ MORE

Yanga Yaanza Safari Kuelekea Mkoani Kigoma Kuikabili Ruvushooting

Klabu ya soka ya Yanga imeanza safari kuelekea mkoani Kigoma kuikabili Ruvushooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaotarajiwa...

READ MORE

Simba Yatua Salama Mtwara, Tayari Kuwakabili Namungo FC

Klabu ya soka ya Simba imetua rasmi mkoani Mtwara tayari kuwakabili Namungo FC katika pambano la Ligi Kuu ya NBC...

READ MORE

Yanga na Simba Hakuna Mbabe, Vita ya Inonga na Mayele Yawa Kivutio

  PAMBANO la watani wa jadi kati ya Yanga ambaye alikuwa mwenyeji na Simba limemalizika kwa matokeo ya sare ya...

READ MORE

Gazeti la Championi Latoa zawadi za Tiketi kwa Mashabikiwa Simba/Yanga

Mashabiki wa Simba na Yanga wamiminika uwanja wa Benjamin Mkapa kushudia mechi Kali kati ya Simba na yanga katika mwendelezo...

READ MORE

Salah Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka nchini Uingereza

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mbio za Top 4 na Ubingwa Kutawala Viwanjani, Meridianbet Tunakupatia Odds na Bonasi Kubwa Wikiendi Hii!

Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwezi April na kuukaribisha mwezi Mei wikiendi hii, ligi kuu soka nchi mbalimbali nazo zinaelekea...

READ MORE

Manara Atema Cheche Adai Wachezaji wa Kitanzania Hawajitambui – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na 255globalradio na Global TV amesema kumekuwa...

READ MORE