×

Mikasa

Chongo!-24

UIipoishia wiki iliyopita Kauli hiyo ilimtisha Mwani, akili yake ikamrudisha nyuma na kukumbuka jinsi siku ile Bata alivyomkazia macho yule...

READ MORE

Huyu naye…Fuata Maelekezo-5

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Baba Rehema sitasema. Kwa nini niseme. Si nilikwambia nina miaka mingi, kwa hiyo siwezi kusema jambo la...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Ili Nitajirike -5

ILIPOISHIA Ilikuwa ni lazima na mimi niishi humohumo, hata kwenda huko nje, sikutaka kabisa, kama kula, nitakula humohumo, kama kufanya...

READ MORE

Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 8

ILIPOISHIA “Kila mmoja wenu atapewa nafasi ya kuzungumza na kumwambia mfalme kile alichonacho moyoni. “Kama unataka kusamehewa utamwambia na utatoa...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!-3

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Utaishi tu. Si ndiyo maana amekuacha kwangu shem, alijua unaweza kukosa hata pesa ya kula, mimi...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-41

ILIPOISHIA IJUMAA: Mheshimiwa waziri badala ya kuvishika vitu hivyo kwa mkono alikwenda kuvaa soksi mikononi kisha akavikusanya kwenye gazeti. Niliamini...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-26

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipotoka kuzungumza na rafiki yake Ipyana kuhusu kazi ya kuosha magari, aliporejea...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa-45

Destiny yuko mahututi katika Hospitali ya Agha Khan kutokana na ajali mbaya aliyoipata wakati anawafuatilia akina Mtima. Upande wa pili...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani-11

ILIPOISHIA: Nilipofika nyumbani nilikuta pigo jingine baadhi ya vitu vyangu na pesa vilikuwa vimeibwa. Nakumbuka siku niliyotekwa mlango wa chumbani...

READ MORE

Huyu Naye… fuata Maelekezo- 4

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Njoo ukae hapa kidogo basi Jamila jamani,” alisema baba Rehema huku akinishika mkono na kunikalisha kwenye mapaja...

READ MORE

Jeraha Lililojeruhiwa-6

ILIPOISHIA: Kumbe wapinzani wangu walijipanga kwa kila hali kuhakikisha napoteza pambano lile kwa njia yoyote. Aliingia na glovu maalumu zenye...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-40

ILIPOISHIA WIKIENDA Kabla sijajibu kitu mke wangu akakata simu. Asubuhi yake ilikuwa ni Jumapili. Nikaona lile suala ni lazima nilipeleke...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-19

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilikubali kwa kutingisha kichwa kwamba nimewaelewa vizuri sana. Mara, mlangoni tukasikia sauti ya mke wangu akiendelea kuimba...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 12

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hapana shemeji yangu, unaonekana dhahiri una kitu kinakusonga, kuwa huru kuniambia maana tangu nilipoomba uniletee kikombe kikubwa...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-14

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Eti akaniambia atarudi msala huo ukipoa. Nilijaribu kulalamika nikimsihi asifanye hivyo lakini alikataa. Akasogea hadi mlangoni kwa...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-34

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas alipomaliza kuwasimulia yule mama na wengine waliokuwemo kwenye gari wakasikitishwa na mkasa wake...

READ MORE

Huyu naye…fuata maelekezo-3

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Kwani we mama Rehema hujajua kuwa, wengi katika kusalimia wale wenye umuhimu mkubwa ndiyo wanakuwa wa mwisho?...

READ MORE

Uso kwa uso na mtoa roho!-6

ILIPOISHIA: “Tumechoshwa na uchawi hapa kijijini kwetu. Kwa pamoja tumefanikisha ujio wa mganga Mabwanji kutoka Malawi kwa lengo la kusafisha...

READ MORE

Ndoa na Shetani-10

ILIPOISHIA: “Wewe ni mwanamke gani kama msala wa kituo cha basi kila abiria anajisaidia halafu unajiita mzuri tena unayajua mapenzi....

READ MORE

Chongo!-23

Ilipoishia wiki iliyopita Wakati watatu hao wakimaliza mazungumzo yao kwa maazimio hayo, Bata alikuwa na kikao akiwa na mpenzi wake...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni-49

ILIPOISHIA Tulipofika Bagamoyo niligundua kuwa azma yangu ya kurudi Uingereza haraka inaweza kuzuiwa na makubaliano yangu na Faiza. Nilijua kuwa...

READ MORE

Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 7

ILIPOISHIA Nilifurahi sana kimoyomoyo kupata nafasi hiyo, nikajiambia “lazima nipange ya kumuambia mfalme ili kujiokoa, hiyo ni last chance yaani...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Ili Nitajirike -4

ILIPOISHIA Nikaingia na kutulia katika kiti cha dirishani, macho yangu bado yalikuwa yakimwangalia Mudi aliyekuwa nje. Kwa kumwangalia haraka alionekana...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!

Bony alikaa sebuleni kwa rafiki yake Mudy akimsikiliza kwa makini kuhusu maelezo yake ya safari yake ya Ulaya kusoma… “Kwa...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-25

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale fundi Yassin alipomwambia Nelly asiwaze sana kuhusu kumsimamisha kutokwenda site na kumweleza akipata kazi...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-40

ILIPOISHIA IJUMAA: Mara ileile tukamuona mlinzi akimfungulia geti dereva huyo aliyewasili muda uleule. Mke wangu alipomuona alishuka haraka kwenye baraza...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 44

Destiny anasafiri hadi Mwanza, Kundi la WAB lilikokuwa linatarajia kufanya shambulio kwenye Hospitali ya Rufaa Bugando. Akiwa huko, amebanisha mahali...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 10

ILIPOISHIA:    Siku hiyo sikulala mawazo yote yalikuwa juu ya tukio lililonitokea lilikuwa tukio la pili. La kwanza nilipata kipigo...

READ MORE

Jeraha Lililojeruhiwa – 05

ILIPOISHIA: “Pambano lilifanyika katika ukumbi maarufu wa Las Vegas Marekani, uwanja ulijaza kila mtu alikuwa na hamu ya kuona majigambo...

READ MORE

Huyu Naye…fuata Maelekezo – 02

“Naweka baba, nisamehe sana.” “Usijali, weka.” Baba alisimama kwenye mlango wa bafuni, nikachota maji na kuingiza bafuni, wakati natoka ili...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-39

ILIPOISHIA WIKIENDA Nikanyamaza tena kwa sababu alichosema kilikuwa ni cha ukweli na ukweli ukidhihiri, uongo hujitenga. “Leo atachukuliwa mtoto na...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-18

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hutakiwi kuweka wazi huu mkakati. Zingatia hilo kwa ajili ya usalama wa uhai wake. Na hii ni...

READ MORE

Penzi Kabla Ya Kifo-17

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Mwanamke bilionea Afrika, Candy Marcel anaishi katika maisha yenye mateso matupu, hana furaha kwa kuwa hana mtoto,...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-17

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “He! Mume wa mama Pilima?” “Ndiyo…” “Mbona hata mimi pia imekuwa hivyo…” “Wewe lini?” “Muda...

READ MORE

Huyu naye…Fuata Maelekezo

Nilimwangalia bosi wangu wa kike kwa jicho la kumshangaa kwa maneno yake makali kwangu huku akijua mimi siwezi kumzunguka kwa...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-33

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas alipomwambia yule bwana aliyekuwa akiendesha baiskeli kwamba alikuwa akienda Mbeya msibani ndipo jamaa...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-13

“We kaka Cheni, hebu sikiliza nje, kama kuna mtu anatembea,” nilimwambia. TEREMKA NAYO MWENYEWE…  “Hakuna mtu bwana…” aliniambia akisikilizia kama...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Haa! Hutumii taulo shem?” “Sipendi kabisa mama Kisu, sijui kwa nini?” “Sasa wewe umesema huna mke, kanga...

READ MORE

Chongo – 21

Ilipoishia wiki iliyopita “Ndiyo hivyo, kitu tunachoweza kukifanya kwa sasa, ni kurudi Bongo kwa muda, maana watanitafuta sana, sasa kwa...

READ MORE

Ndoa na Shetani-9

ILIPOISHIA: Nilijua lazima bwana yule atafanya kweli kutokana na taarifa za matukio ya wanajeshi, niliwahi kusikia mwanajeshi amemuua mke wake...

READ MORE