×

Mikasa

Uso kwa uso na mtoa roho!-5

ILIPOISHIA: “Amekufa kama ulivyosema.” “Si nilikwambia? Umeamini sasa!” “Kwa hiyo wewe ndiyo umemuua? Kwani baba wewe ni mchawi?” nilijikuta nikimuuliza...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni-48

ILIPOISHIA Baada ya kuwaelezea ndugu zangu masaibu yaliyonikuta huko Tanga, Faiza alionekana kioja kikubwa hasa kwa vile ambavyo nilimkuta katika...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-24

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale fundi Yassin alipomfahamisha Doreen kwamba kwa siku ile walimaliza kazi ndipo mtoto huyo wa...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-39

ILIPOISHIA IJUMAA: “Basi wewe nenda.” Mlinzi akatoka. Mimi niliogopa kurudi chumbani, nikaenda kukaa sebuleni. Niliogopa kurudi chumbani kwa sababu nilijua...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-16

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Mimi sijui,” alijibu baba Pilima. Alishaanza kuwa na wasiwasi sasa. Akashika simu na kuandika namba ya...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande – 17

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Mwezi mmoja ulikatika bila kupata mawasiliano kutoka kwa yeyote kati yao. Lakini siku hiyo niliamka ninaumwa. Afya...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani -08

ILIPOISHIA: “Ina maana Bantu kitendo changu cha kumdanganya kimemuuma sana na kuona kila siku nilikuwa namdanganya? Mmh! Ni nani aliyemwambia...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-38

Asubuhi alinikumbushia yaliyotokea usiku uliopita. Akaniuliza tena wale watu walikuwa akina nani. Majibu yangu yalikuwa yale yale niliyompa jana usiku....

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-15

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Kabla mama Pilima hajafunguka simu ya baba Pili iliita, aliyepiga ni baba Pilima kwani aliseviwa kwa jina...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-17

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Sasa nyumba yote ikawa ni maombi tu. Kukemea kwa sana hali iliyonizidishia maumivu makali sana ya kuchomwa...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nikiwa bado chumbani ghafla mlango ulisukumwa, akaingia mtu, nikashtuka na kumwangalia. SASA ENDELEA NAYO SASA… Nadhani nilisikia...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-32

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale dada Dorcas aliposhindwa kulala kufuatia kusongwa na mawazo kutokana na vitendo alivyofanyiwa na mama...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Yaliisha, usiku ukaingia. Baba alikaa sana nje siku hiyo, najua alikuwa akimlenga kaka Cheni asitoke. Ilipofika saa...

READ MORE

Jini Mweusi – 67

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...

READ MORE

Chongo!-20

Ilipoishia wiki iliyopita Alimpiga pigo moja tu shingoni na Bonviek, akaanguka bila hata mwenye duka kujua kama kulikuwa na mtu...

READ MORE

Uso kwa uso na mtoa roho!-4

ILIPOISHIA: “Kumbe ni kweli!” nilijikuta nimeropoka kwa sauti kubwa, kauli iliyosababisha wanafunzi wote pamoja na mwalimu wanigeukie pale nilipokuwa nimekaa,...

READ MORE

Rigwaride Ra afande-16

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Humo ndani hakuna mtu wenyewe wamekwenda kazini na leo watachelewa kurudi,” yule afande aliyetaka penzi kwangu muda...

READ MORE

Ndoa na Shetani-7

ILIPOISHIA: Nilirudi hadi chumbani kwangu na kuanza kulia kwa hali aliyokuwa nayo Abdul, kama kweli angekuwa ameumia kama alivyonieleza basi...

READ MORE

Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 5

ILIPOISHIA  Wakati yote hayo yanafanyika mimi nilikuwa bado nimepigishwa magoni na kwa hakika magoti yalianza kuniuma kwa sababu pale chini...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni-47

ILIPOISHIA Nikamueleza jinsi nilivyokutana na Faiza akiwa ameshakaa kwa miaka minne ndani ya mapango hayo. Nikamueleza na yale yaliyotokea hadi...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-23

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly aliyekuwa chumbani kwa Doreen wakipiga stori baada ya kugarazana na kukabidhiwa simu, alipoanza...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-37

ILIPOISHIA IJUMAA: “Anatujua, sisi ni wenzake. Tulikuwa tukifukua makaburi pamoja. Ana deni letu la mtoto. Alituambia akizaa mtoto wa kwanza...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-14

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Sawasawa, aingie tu,” alikubali baba Pilima… “Ee mama Pilima mpenzi wangu…geti kubwa..? Oke…sasa ingia ndani basi,...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande – 15

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO Nilipata tabu sana kumwambia inatosha maana kila nilipojaribu kusema, hakuwa ametoa ulimi wake kinywani mwangu, nikabaki namsukuma...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 6

ILIPOISHIA: Sikutaka kujua pale amefikaje japo nammiliki lakini sidhani kama nilikuwa na haki ya kumuuliza pale amefuata nini. Lakini nilijikaza...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 41

ILIPOISHIA: Shambulio la kutisha linatokea katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, majengo yote yanabomolewa kwa kulipuliwa na mabomu, watu wengi waliokuwepo...

READ MORE

Jeraha Lililojeruhiwa – 3

ILIPOISHIA: “Mmh! Sawa, kama nitakuwa hai hiyo miaka mitano nitakuuliza swali japo sina uhakika kama nitakuwa bado nafanya kazi hii.”...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-16

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Fuatilia sana tabia za kupoteza vitana nyumbani. Si vitana tu, vitu vyovyote vidogovidogo. Mara kalamu haipo, mara...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-36

ILIPOISHIA WIKIENDA Alikuwa amemlaza mtoto kitandani kwake, nikaenda kuugusa mwili wake. “Kweli mwili uko moto,” nikasema. Mke wangu naye akaja...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-13

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Kulipokucha kabisa, ndiyo kwa mbali akapitiwa na usingizi. Mama Pilima wakati anaamka alishangaa kumwona mumewe...

READ MORE

Jini Mweusi – 66

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-31

  Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas aliyewasili Shinyanga mjini akitokea kijijini alipokutana na watu waliokuwa wakimfahamu na kumwuliza...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 9

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Ila sasa kuna jambo moja shemeji. Wewe kuwa jasiri, usiyumbishwe. Achana kabisa na zile habari za yule...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 40

ILIPOISHIA: Destiny akiwa Tanzania kulifuatilia Kundi la Wab, kupitia vyombo vya habari anasikia kuwa kundi hilo lingefanya uhalifu wa kutisha...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande – 14

ILIPOISHIA GAZETI LA RISASI JUMATANO: Mara nikasikia ikiingia bafuni, nikasikia kukohoa. Mkohowo huo ulitaka kufanana na wa afande Mwira. Nikatulia...

READ MORE

Jeraha Lililojeruhiwa Nchini Ethiopia – 2

ILIPOISHIA: Waliendelea na utafiti wa mafuta eneo lenye milima Gel’eme Kusini Mashariki ya ziwa Abaya katika mji wa Arba Minch’....

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 6

ILIPOISHIA: Siku moja usiku ilikuwa majira ya saa nne tukiwa tunajiandaa kulala na kipenzi changu Bantu. Mara nilipigiwa simu ambayo...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-12

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: “Haitatokea baby. Unajua baby mtu ukitoka kufanya mambo kama haya halafu ukaongea kwa simu mtu anaweza kujua,...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-15

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Utakuta baa nzuri sana, lakini viti vitupu muda mwingi. Ukweli wa hapo ni kwamba, eneo hilo si...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-35

LIPOISHIA WIKIENDA “Sawa. Mimi nilikuwa nakushauri tumfungulie akaunti mtoto wetu kwa ajili ya maisha yake ya baadaye. Wewe mwenyewe hujui...

READ MORE