×

Mikasa

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 40

Faiza akatikisa kichwa. Siwezi kukuacha peke yako. Kama Kaikush atakuja basi atuue sote.” Nikatazama nyuma tena. Kwa upande wangu nilikuwa...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-28

ILIPOISHIA IJUMAA: “Sasa nenda na huyo askari, atakwenda kuandikisha maelezo yako halafu nitakuja kukukabidhi gari lako.” Nikatoka na yule polisi....

READ MORE

Baba P… Baba Pili … Baba Pilima!-4

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Ndiyo! Niliipenda sana kampani yako, umechangamka sana, unapendeza na unajua kuzungumza na mwanaume, naamini baba Pilima...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-18

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale wazazi wa Nelly walipokuwa wakimzungumzia kijana wao huyo ambaye ilikuwa mara yake ya kwanza...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande – 6

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Kama upo sawa hebu fungua mlango basi,” ilisema sauti nyingine lakini nayo niliikumbuka ni ya yule afande...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa

ILIPOISHIA Baada ya kufukuzwa kwa muda mrefu na wanajeshi wa mpakani mwa Somalia na Kenya, Mtima na Abdulrahman wanajitosa kwenye...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-3

ILIPOISHIA.. “Sijawahi kusaliti na wala sipendi. Ingawa kama mwanamke naweza nikawa katika hali ya kujisikia kufanya hivyo lakini huwa najionya…”...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-27

ILIPOISHIA WIKIENDA “Alfajiri ya leo gari hilo lilikutwa limeegeshwa sehemu likiwa halina mtu. Polisi wakalikamata. Tulipolipekua tulikuta likiwa na kadi...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilimwona kaka Cheni akishtuka sana. Hata mimi nilishtuka kwani nilijua baba ameshakwenda kazini kwake, kumbe alikuwepo bwana....

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-25

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Evance alipokuwa chumbani na Dorcas alipombana msichana huyo mdogo kisha kumziba mdomo kwa taulo...

READ MORE

Jini Mweusi 60

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili -3

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nikamsogelea, nikawa kama namnyooshea mikono ili kumpa kile kijomela, alipotaka kukipokea, nilishangaa sana kuona sura yake kama...

READ MORE

Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo ananisaidia!-10

Ilipoishia wiki iliyopita; Kwa jinsi nilivyomdadisi, alifanikiwa hadi kunieleza kuhusu mganga aliyesifika kwa kazi hiyo, aliyesema anaishi kijiji kimoja kinachopakana...

READ MORE

Chongo!-14

Ilipoishia wiki iliyopita Wakambeba na kumkimbiza katika gari la polisi lililokuwa linasubiri majeruhi. Mara moja dereva akapiga moto na safari...

READ MORE

Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-43

ILIPOISHIA: Nilipogeuka kumwangalia huku pua yangu ikilakiwa na manukato ya bei mbaya, sikuamini kumuona babu akiwa katika suti ya bei...

READ MORE

Rigwaride Ra afande- 5

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Kwa mbali nilijikuta nasisimka kama binadamu. Kama mwanamke, tena mwanamke mwenyewe msichana, kijana kama mimi, damu bado...

READ MORE

Ooh…madam martha!

MWALIMU wa zamu aliendelea na ukaguzi kwa wanafunzi, ilikuwa ni siku ya usafi, Jumatatu kama kawaida, ambapo karibu kila mwanafunzi...

READ MORE

Mwanamke Alivyomfanya Zezeta Kaka Yangu-38

“Huyu mgonjwa mmoja ni kaka wa huyu aliyeingia naye, anaitwa Jerome Ugonile, tumefanya mengi mpaka kufika hapa ofisini kwako, huyu...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 39

“Hatuwezi kupumzika kidogo,” Faiza akauliza alipoona nilivyokuwa nikitweta. “Hapapumzikiki dada’ngu. Bora tujitahidi hivyo hivyo,” mtu mmoja akamwambia Faiza. SASA ENDELEA…...

READ MORE

Baba P… Baba Pili … Baba Pilima!-2

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Sisi tunaishi Magomeni-Mwembechai!” “He! Kwa hiyo wote ni Magomeni?” “Ndiyo maana yake.” “Watoto wako wanasoma wapi?”...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-17

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alipompagawisha vya kutosha Atu ambaye kutokana na vionjo vitamu vya kijana huyo alimuomba...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-26

ILIPOISHIA IJUMAA: Wakati dereva analiwasha gari hilo na kuliondoa, mawazo yakaanza kunijia. Nilijiuliza hao polisi walitaka kunihoji kuhusu nini na...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande – 4

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Uvivu wako unaweza kusababisha tukaondoka na giza,” alisema, moyoni nikamkatalia. Afike na giza amekuwa nani yeye..! “Nimechoka...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 34

Siku hiyo Mtima na Abdulrahman walikuwa katika mapumziko ambapo siku iliyofuata walikuwa na kazi ya kwenda kushambulia katika eneo liitwalo...

READ MORE

Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo – 42

ILIPIUSHIA: “Hongera, mi mbona nilijua kila kitu mapema sema wasiwasi wako tu.” “Dah! Sasa itakuwaje?” ilibidi nimuulize kabla hatujafika kwa...

READ MORE

Mwaka unaisha hujatimiza ndoto zako? Simama, jipange upya!

Ndugu zangu, tumebakisha siku chache sana kabla mwaka huu wa 2015 haujaisha. Kila mmoja anajua alichokifanya kwa mwaka huu. Najua...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima! “

Samahani kaka, sijui hiki kiti kina mtu?” aliuliza Kate au maarufu kwa jina la mama Pilima! Ilikuwa kwenye baa ya...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-25

ILIPOISHIA WIKIENDA “Kama mmelipata hilo gari ninashukuru sana. Gari langu liliibiwa usiku na kunisababishia usumbufu mkubwa.”  “Liliibiwa usiku?”  “Ndiyo. Kama...

READ MORE

Penzi Kabla Ya Kifo

ILIPOISHIA Hakutaka kuchelewa, hata hakutaka kumpa taarifa Candy, kwa kuwa alikuwa amekwishaoga asubuhi hiyo, alichokifanya ni kuanza kuelekea huko Ubungo...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-4

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Moyoni nilimsifu kaka Cheni, yaani mchana yule, usiku huyu tena! Loo! Niliamua kulala mapema ili nisisumbuliwe na...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili -2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilioga, mwishowe nikatoka zangu lakini miguu ilikuwa ikitetemeka. Nilipofika chumbani nilikutana na jipya tena. Kitandani changu nilikitandika...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-24

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas alipoombwa msamaha na kaka yake Evance aliyegundua hakufurahishwa na zawadi ya nguo za...

READ MORE

Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-41

ILIPOISHIA: Nilipofika mbele ya meza yake alisimama kabla hajasema neno, nilimuomba afumbe macho naye alifanya hivyo. Kwa vile nilikuwa nimeshaufungua...

READ MORE

Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo Ananisaidia!-9

Ilipoishia wiki iliyopita Kijasho kikanitoka, nikafikiri jinsi gani ningeweza kufanya, nikaona hapa njia rahisi ni kurudi tena kwa rafiki yangu...

READ MORE

Chongo!-13

Ilipoishia wiki iliyopita Wakati wakirejea, Noel akiwa kwenye usukani, walienda vizuri hadi walipofika njia panda ya Mbuyuni, wakitaka kuingia katika...

READ MORE

Rigwaride ra afande- 3

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilivaa haraka sana, nikasimama na kumwamsha ili niondoke bila kutaka senti tano yake… “We mbaba…mbaba wewe,” nilimtingisha...

READ MORE

Mwanamke Alivyomfanya Zezeta Kaka Yangu- -37

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mara simu ikaita tena. “Ni Inspekta tena…Haloo!” “Sasa wako wawili, mmoja tumpeleke ya serikali na huyu wenu...

READ MORE

Mapazia ya Chumbani -16

…alichokifanya alivua nguo zote kisha akachukua simu na kutuma meseji kwa mama Muro na mwenzake. ‘Njooni hadi sebuleni mlango upo...

READ MORE

Bayo Na Imbori -28

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Dickson anadokezwa na Dk. Frank juu ya uwepo wa Bayo aliyedaiwa kuuawa miaka mitatu iliyopita na Kundi...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-16

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipomuomba Atu aliyekuwa kalewa ainuke kisha amfuate kwenda chumbani alikotaka wakakae faragha...

READ MORE