DAR ES SALAAM: EE Mungu! Ndiyo kauli unayoweza kuiotoa kumuonea huruma mtoto wa miaka 5 ambaye madaktari wamemtaka afanyiwe upasuaji...
READ MOREKUMEKUCHA tena! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Nabii Tito Machibya kuibuka na kusema ameokoka kwa sasa yeye na mkewe ambapo...
READ MOREJE! Mungu mwenye upendo anawezaje kuruhusu mateso ya namna hii kuendelea katika ulimwengu aliouumba? Ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kusoma...
READ MOREMOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia...
READ MOREMWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa...
READ MOREKILOSA: Moja ya ajali mbaya zilizotokea katika msimu huu wa Sikukuu ya Pasaka ni pamoja na ile iliyotekea siku ya...
READ MOREWAKATI janga la watoto kuibwa na kutekwa katika mazingira ya kutatanisha likitikisa maeneo mbalimbali nchini huku wengi wakihoji kulikoni, binti...
READ MOREHICHO ndicho anachokutana nacho mwanamama Rhobi Mwita Chacha, mkazi wa Sirari-Tarime mkoani Mara ambaye amejikuta akioza huku akitembea. Rhobi hana...
READ MOREHEE! Ndivyo unavyoweza kupata mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Jack, Mkazi wa Mikocheni A jijini Dar,...
READ MOREMBEYA : Ni ukatili mzito! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya watu wanne akiwemo bosi mmoja kushikiliwa na Jeshi la Polisi...
READ MOREUKISHANGAA ya Musa utayaona ya firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Mjerumani, Bernhard Bery Glaser, kukamatwa na Jeshi la Polisi...
READ MORE“WALIANZA kunipigia ndani, baadaye wakanitoa nje wakaanza kunitembeza mtaani huku wakinipiga.” Simulizi ya Anastazia Ernest mkazi wa Mbagala jijini Dar...
READ MORENI simanzi kuu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia familia ya Mbwana Said, mkazi wa Kimanzichana wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani kukumbwa...
READ MOREMBEYA: AMEJUA kutuweza! Kwa kawaida wizi haukubaliki na utakapotiwa mbaroni kwa wizi ujue yatakukuta makubwa, lakini utakapodakwa katika tukio la...
READ MOREMTU akiitwa daktari maana yake ni: “Mtaalamu aliyepata shahada ya juu kabisa; mganga aliyehitimu katika elimu ya tiba ya dawa...
READ MOREDUNIA haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mkasa uliomtokea Julius Wambua. Mwanaume huyu anatumikia kifungo cha maisha katika Gereza lenye...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mama wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ hana furaha...
READ MOREKIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika...
READ MOREHALI inatisha! Waziri wa Madini, Dotto Mashaka Biteko ameng’aka kwa hasira baada ya kujionea maji yenye sumu yanayotiririka na kunywewa...
READ MOREKUNA unyama ambao ukisimuliwa unaweza kusisimkwa na mwili; mfano ni huu wa mtu kuchukua kitu chenye ncha kali na kumkata...
READ MOREUKAME unaozidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali yanayokaliwa na watu wa kabila la Waturkana nchini Kenya umesababisha kupoteza maisha ya...
READ MOREMCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Mbezi Luis jijini Dar, Daudi Mashimo amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kuzungumzia...
READ MOREMBEYA: Simanzi ilitawala baada ya Samwel James Chacha (25) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Ualimu...
READ MOREBUKOBA: Utata! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa mlinzi kwenye makampuni mbalimbali, Edward Rweyemamu Ngamera Mkazi wa Nyakanyasi, Manispaa ya...
READ MOREDAR ES SALAAM: AMA kweli dunia imekwisha! Wakati wazazi wengi wakiaminika kuwalea watoto katika maadili mema hali imekuwa tofauti kwa...
READ MOREUKIULIZWA ‘Kwa nini umemchoma kisu mwenzio na kumuua?’ Na ukagundua kuwa kosa lake lilikuwa ni kuvaa raba zako nyeusi za...
READ MOREINATISHA! Wale watu wasiojulikana wanadaiwa kumteka mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kampuni maarufu ya kusambaza vifaa tiba jijini Dar...
READ MOREMOROGORO: Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mwanariadha maarufu ambaye alishiriki mbio za marathon mwaka 2017/18 Mtwara na kushinda, Denis Mathias (pichani) mkazi wa...
READ MOREKIJANA Lusubilo Sinunu (18), mkazi wa Kata ya Kisegese-Busokelo Wilaya ya Rungwe mkoani hapa ametamka maneno mawili; “Ninakufa ninajiona.” Lusubilo alitoa...
READ MOREDAR ES SALAAM: Taharuki ya aina yake imeibuka hivi karibuni maeneo Kiwalani jijini Dar ambapo baadhi ya wananchi wamedai kuwa,...
READ MOREDAR ES SALAAM: Dunia ina mambo! Mchungaji na nabii aliyejulikana kwa jina la Stekamba Bin Mariam anayetoa huduma ya uponyaji...
READ MOREBUKOBA: Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Salehe Ally Mujaheji (pichani) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi mara baada...
READ MOREARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, babu mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Kilimaji, Kata ya Moshono...
READ MOREMKAZI wa Tuwamoyo, Kigamboni jijini Dar, Halima Ibrahim ‘54’ na binti yake, Neema Andrea ‘24’ walijeruhiwa kwa risasi Jumatano iliyopita...
READ MOREKIJANA mmoja Emmanuel Didas Marishay (30) mkazi wa Kigogo, jijini Dar es Salaam ambaye alipasuliwa kichwa badala ya mguu, shilingi...
READ MOREALIYEKUWA mume wa staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’, Abdallah Shakoor ambaye pia ni mzazi mwenzake na staa...
READ MOREIKIWA imepita takriban miezi 8 tangu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ afariki...
READ MOREARUSHA: Inasikitisha! Bibi aliyejulikana kwa jina la Ester Taiko (64), mkazi wa Kata ya Ilkiurei wilayani Arumeru jijini hapa, anadaiwa...
READ MOREILIPOISHIA… Alipogeuka nyuma, akamwona jamaa anahangaia kuvuka barabara, wakati huo yeye tayari alikuwa amekwisha likabili daladala lililokuwa tayari kwa kuondoka....
READ MORE