×

Music Videos

#GlobalMusic: Itazame ‘Yolo Yolo’ Mpya Kutoka Kwa Seyi Shay – (Video)

Imepita muda kidogo toka tumsikie mkali wa R&B kutoka Nigeria Seyi Shay na kama ulikuwa umemiss kuwa na nyimbo zake...

READ MORE

#GlobalMusic: H_Art The Band x Lady JayDee Waachana Njia Panda Safari Ya Mapenzi Kwenye ‘Rosella’ – (Video)

Kwenye zile zinazotrend wekeend hii kutoka East Africa ni pamoja na hii ya H_Art The Band kutoka Kenya na Malkia...

READ MORE

#GlobalMusic: Isikilize ‘Fool For You’ Ngoma Mpya Ya Wizkid Iliyovuja – (Audio)

Baada ya ku-sign dili nono na SONY mkali wa muziki kutoka Nigeria Wizkid  amerudi na nyingine mpya. Mwanzoni mwa mwaka...

READ MORE

#GlobalMusic: Ipokee ‘TOLA’ Collabo Nyingine Ya Vanessa Mdee na Tay Grin Kutoka Malawi – (Video)

Baada ya kushirikiana na Orezi na Legendury Beatz wa Nigeria, Cash Madame wa Bongo Fleva Vanessa Mdee anatupeleka Malawi weekend...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Kama Ilikupita Itazame Episode 1 ya MTV Shuga ‘Down South’ Feat. Vanessa Mdee

Season 5 ya MTV Shuga (Down South) Ipo hewani tayari  na Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya zinazoonekana kwenye...

READ MORE

#GlobalMusic: Ule Wimbo Mpya Aliyousema Vanessa Mdee Ndio Huu ‘Just Like That’ – (Video)

Siku mbili zilizopita Vanessa Mdee alitweet kuwa kuna wimbo mpya unakuja wiki hii, na kama ulikuwa standby kupokea kazi mpya...

READ MORE

#GlobalMusic: Harmonize Auachia Moyo Kwa Wolper Kwenye ‘Niambie’ – (Video)

Weekend hii kwenye playlist ya bongo fleva ninazo hits zinazotrend lakini kwa wale wapenzi wa kila kitu WCB ipokeeni hii...

READ MORE

#GlobalMusic: Kaa Tayari Kuipokea Hii Mpya ’10 Fingers’ Kutoka Kwa AKA Leo – (BTS Video)

Kama wewe ni mdau wa South African Hip Hop na wasanii wake, basi hii ni kwa ajili yako. Ukimuweka AKA...

READ MORE

#GlobalUpdates: Vanessa Mdee Kuachia Wimbo Mpya Wiki Hii Na Kutumbwiza Kwenye ‘Gidi Fest’ Nigeria

Kwa misukosuko aliyoipitia Vanessa Mdee hivi karibuni sio rahisi kufikiria kuwa msanii huyo ana nguvu ya kuachia kazi mpya kwa...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Jidenna Kuachia Video Sita Mpya Na Hizi Ndio Teasers Zake – (Videos)

Msanii wa muziki kutoka Marekani na mwenye asili ya Nigeria, Jidenna anaendelea kuziachia videos za nyimbo zinazopatikana kwenye album yake...

READ MORE

New Music: Bank W Amekuja Na Hii Mpya ‘Blessing Me’. Itazame Hapa – (Video)

Msanii wa muziki kutoka Nigeria Banky W ameachia wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2017, na ujumbe wake unaweza kukutia...

READ MORE

Wanene Entertainment Presents: Chin Bees ‘Pepeta’ – (Official Music Video)

Baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya ‘Pepeta’, rapper kutoka Tanzania Chin Bees ameiachia official music video ya wimbo...

READ MORE

NEW Music: Itazame ‘Tucheze’ Video Mpya Ya Muimbaji Akothee Kutoka Kenya

Wiki hii kwenye shavu la midundo ninayo mpya kabisa kutoka kwa Akothee. Safari hii anataka wote tuinuke na ‘Tucheze’. Muimbaji...

READ MORE

#GlobalMusic: Anza Kuipanga Weekend Playlist Yako Na ‘Ballerz’ Mpya Kutoka Kwa Wande Coal – (Video)

Wazungu husema; “Thursday is the new Friday” hivyo sio mbaya ukianza kuipanga playlist yako ya weekend hii mapema, ukianza  na...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya ‘Pepeta’ Wimbo Mpya Wa Chin Bees – (Video)

Hii ni kwa wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva na wasanii wake. Umeshawahi kuwaza wasanii wakiwa studio...

READ MORE

Wizkid Adondosha Wino Na RCA Records/ Sony Music International Na Kuachia Wimbo Mpya; ‘Sweet Love’ – (Video)

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anazidi kupasua anga kulitafuta soko la muziki duniani. Mmiliki wa Starboy Entertainment Worldwide Ayodeji...

READ MORE

NEW: Hapa Ni Korede Bello x Kelly Rowland Kwenye ‘remix’ Ya “Do Like That” – (Audio).

Korede Bello anazifuata footsteps za dada yake Tiwa Savage mdogo mdogo. Baada ya kuisogeza kwetu “Do Like That” inayosukuma views...

READ MORE

NEW: Nimekutana Na Hii Mpya ‘Mapochopocho’ Kutoka Kwa Size 8 Wa Kenya – (Video).

Unamkumbuka mwimbaji kutoka Kenya Size 8? Mara ya mwisho kumsikia ilikuwa lini? Kwa wale watu wangu ambao ni mashabiki wa...

READ MORE

NEW: Mdee Music Presents; MIMI MARS – SHUGA (Official Music Video).

Mwaka 2017 umeanza na sura na sounds mpya kwenye game ya Bongo Fleva. Baada ya kushuhudia video launch yake pale...

READ MORE

New: Yemi Alade x Mi Casa: “Get Through This” – (Video)

Music diva kutoka Nigeria, Yemi Alade anarudi kuziteka playlists za mwaka 2017 kwa ushirikiano na kundi la muziki, Mi Casa wakali kutoka...

READ MORE

New Music: Mr Kesho – Nangoja

Ngoma mpya ya msanii mpya Mr Kesho, Nangoja. Imetayarishwa Taz wa Fisher Records.

READ MORE

Fid Q Amsainisha Big Jahman Kwenye Lebo Yake, Tazama Kichupa Chao Kipya

Fareed Kubanda Fid Q ametambulisha msanii wake ambae amemsainisha kwenye lebo yake ya Cheusi Dawa Music. Msanii huyo ni Big...

READ MORE

Jidenna – Bambi (New Audio)

Kama ulikuwa mpenda cartoon kipindi cha nyuma basi utakua unaifahamu Cartoon ya “Bambi’, sasa Jidenna ameachia ngoma yake mpya ‘Bambi’....

READ MORE

Jeremih – I Think Of You (Audio) ft. Chris Brown, Big Sean

Music video by Jeremih performing I Think Of You. (C) 2017 Def Jam Recordings, a division of UMG Recordings, Inc.

READ MORE

Sarkodie – Pain Killer ft. Runtown (Official Video)

Music video by Sarkodie performing ‘Pain Killer’. Video directed by GYO Gyimah, Phamous Philms. (C) 2017. Sarkcess Music

READ MORE

Chege feat.Nandy – Kelele Za Chura [Official Music Video]

Watch and share , brand new music video “Kelele Za Chura” by Tanzania bongo flava artist Chege featuring Nandy

READ MORE

Video: Phyno Ft. P Square – Financial Woman

Rapper kutoka Nigeria, Phyno ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Financial Woman’ aliowashirikisha P Square. Tzama video hiyo hapa chini....

READ MORE

Video Mpya : Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – Marry You

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara...

READ MORE

Video Mpya ya Joh Makini – WAYA

Mwanamuziki Joh Makini kutoka River Camp Soldiers na Weusi Kampuni ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la...

READ MORE

BillNass ft MwanaFA – Wamepakua Video ya Ngoma Mpya Inaitwa Mazoea

IKIWA ni baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Chafu Pozi, rapa BillNass ameachia video ya wimbo wake mpya...

READ MORE