×


Risasi

MKE WA MAJUTO: NIPO TAYARI KUOLEWA

IKIWA imepita miezi tisa baada ya kifo cha mchekeshaji maarufu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, aliyekuwa mke wake, Aisha Yusuph amefunguka kuwa yupo tayari kuolewa. …

SOMA ZAIDI

K-LYIN SIRI NZITO KIFO CHA MENGI

  HAKUNA mtu mwingine wa kumuuliza siri ya kifo cha mfanyabiashara maarufu nchini, bilionea Dk. Reginald Abraham Mengi (75) zaidi ya Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lyin.’   …

SOMA ZAIDI
ZARI AMTIA MATATANI MONDI

KILICHOMPONZA Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni kauli yake kuwa mjengo anaoishi mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kule Sauz (Afrika Kusini) ni wake. …

SOMA ZAIDI

SAFARI ZA WOLPER CHINA ZASHTUA

  KUNA baadhi ya watu kusafiri mara kwa mara siyo ishu sana, lakini kwa upande wa mrembo wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, safari…

SOMA ZAIDI

MWENYE NYUMBA HAKAI FOLENI

HALOOOO eeehhh…vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa, basi we mtu mzima tayari…

SOMA ZAIDI

TATIZO LA MAWE KWENYE FIGO

UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani…

SOMA ZAIDI
MASTAA BONGO WANAVYOHENYA CHINA

MASTAA Bongo ambao ni wafanyabiashara wanaokwenda nchini China wamekuwa wakihenya pale wanapokwenda kusaka biashara ingawa wakifika hapa Bongo, hakuna anayeweza kujua mpaka wakujuze, hivi ndivyo…

SOMA ZAIDIUCHEBE: MKE WANGU ANANIONGEZEA UMRI

MUME wa msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashirafu Uchebe, amefunguka kuwa mkewe huyo anamwongezea siku za kuishi kwa sababu kila wakati…

SOMA ZAIDI

TUNDA: PIERRE ANAKATA STRESS ZANGU

MUUZA nyago maarufu Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema hakuna mtu anayemtoa stress kama mchekeshaji maarufu wa mtandaoni Peter Mollel ‘Pierre Konki Liquid’ kutokana na vituko…

SOMA ZAIDIAUNT AFUNGUKA KUMSALITI IYOBO

VUNJA ukimya! Baada ya mapichapicha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii yakimuonesha staa mkubwa wa Bongo Movies, Aunt Ezeikiel Grayson akiwa na bwana’ke mpya, mengi yamezungumzwa…

SOMA ZAIDI

AUAWA KWA VISU, ATUPWA BWAWANI

MWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa la maji lililopo katika Mtaa…

SOMA ZAIDI

MWANA ATOBOA SIRI YA MUMEWE

MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ametoboa siri ya mumewe kuwa ambacho kinamfanya ampende zaidi ni kwa sababu habanwi hata kidogo kwenye kufanya mambo…

SOMA ZAIDI

DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema mchokoze chizi, haloooo eeeehh! Utajibeba…

SOMA ZAIDI

FANGASI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAUME

IDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri.  Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa…

SOMA ZAIDI