×


Risasi

MASTAA BONGO WANAVYOHENYA CHINA

MASTAA Bongo ambao ni wafanyabiashara wanaokwenda nchini China wamekuwa wakihenya pale wanapokwenda kusaka biashara ingawa wakifika hapa Bongo, hakuna anayeweza kujua mpaka wakujuze, hivi ndivyo…

SOMA ZAIDIUCHEBE: MKE WANGU ANANIONGEZEA UMRI

MUME wa msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashirafu Uchebe, amefunguka kuwa mkewe huyo anamwongezea siku za kuishi kwa sababu kila wakati…

SOMA ZAIDI

TUNDA: PIERRE ANAKATA STRESS ZANGU

MUUZA nyago maarufu Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema hakuna mtu anayemtoa stress kama mchekeshaji maarufu wa mtandaoni Peter Mollel ‘Pierre Konki Liquid’ kutokana na vituko…

SOMA ZAIDIAUNT AFUNGUKA KUMSALITI IYOBO

VUNJA ukimya! Baada ya mapichapicha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii yakimuonesha staa mkubwa wa Bongo Movies, Aunt Ezeikiel Grayson akiwa na bwana’ke mpya, mengi yamezungumzwa…

SOMA ZAIDI

AUAWA KWA VISU, ATUPWA BWAWANI

MWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa la maji lililopo katika Mtaa…

SOMA ZAIDI

MWANA ATOBOA SIRI YA MUMEWE

MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ametoboa siri ya mumewe kuwa ambacho kinamfanya ampende zaidi ni kwa sababu habanwi hata kidogo kwenye kufanya mambo…

SOMA ZAIDI

DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema mchokoze chizi, haloooo eeeehh! Utajibeba…

SOMA ZAIDI

FANGASI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAUME

IDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri.  Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa…

SOMA ZAIDI


MONDI, TANASHA ILIKUWA NI PROJEKTI?

WAKATI Tanasha Donna Oketch anatambulishwa rasmi Novemba 23, mwaka jana kama mchumba halali na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ katika…

SOMA ZAIDI

Elfu 2 Yaua Vijana Wawili

KUNA watu hudharau fedha kwa kusema: “Shilingi elfu mbili kitu gani?” Lakini ni kiasi hichohicho ndicho kilichosababisha vijana wawili wapoteze maisha. Waliofariki dunia katika tukio…

SOMA ZAIDIFAIZA:  MAPENZI NI HOBI YANGU

MSANII wa filamu mwenye vituko lukuki Bongo, Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amefunguka kuwa hakuna…

SOMA ZAIDI

MASTAA BONGO WALIVYOFUNIKA KWA TUZO

DAR ES SALAAM: Usiku wa kuamkia juzi Jumatatu uliweka historia nyingine baada ya mastaa wanawake Bongo kufunika kwenye tuzo zilizokwenda kwa jina la AWAFFEST zilizolenga…

SOMA ZAIDI

MAMA WEMA AFUNGUKA KUMPA KIPIGO DIANA

HAKYANANI mama wa staa maarufu Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu haishiwi vioja; hivi karibuni kafanya kingine kwa kumshushia kipingo shosti mkubwa wa mwanaye Diana Kimari;…

SOMA ZAIDI


MENINA AGEUKIA KWENYE FILAMU

  BAADA ya kimya kirefu kwenye anga la muziki Bongo, mwanamuziki aliyeibukia kwenye Shindano la Bongo Star Search (BSS 2012), Meninah Atik amesema ili kukuza…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online