×


Risasi

ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA

MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada ya kutofautiana…

SOMA ZAIDI
ODEMBA ATESWA NA K LYNN

MWANAMITINDO aliyewahi kujizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, Miriam Odemba amesema aliumizwa sana na kushindwa kukaa muda mrefu Bongo kumfariji rafiki yake Jacqueline…

SOMA ZAIDI

LYNN AWAKA ISHU YA KUHARIBIKA USO

VIDEO Queen na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Irene Louis amefunguka kuhusu picha yake inayosambaa mitandaoni, ambayo inamwonyesha ameharibika sana usoni hali iliyosababisha mashabiki…

SOMA ZAIDI


MISIKITI 6 YA MONDI GUMZO!

WAKATI leo kikiwa ni chungu cha pili cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kauli ya staa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul almaarufu Diamond…

SOMA ZAIDI

LE MUTUZ AOMBEWA AFYA

KUTETELEKA kwa afya ya Mwanablogu maarufu nchini, William Malecela a.k.a Le-Mutuz kulikosababisha alazwe Hospitali ya Taifa Muhimbili; Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, kumeibua maombi…

SOMA ZAIDI

CALISAH: MWANAMKE WANGU ANANITOSHELEZA

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah Abdulhamiid kwa mara ya kwanza amefunguka kwamba anampenda sana mpenzi wake Lisah, ambaye pia amefanikiwa kumzalia mtoto mmoja wa kiume aitwaye…

SOMA ZAIDI

PETIT MAN AONYESHA MACHUNGU KWA ESMA

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hemed Manungwi ‘Petit Man’ ameonyesha machungu yake ya ndani kwa aliyekuwa mke wake, Esma Khan, baada ya kuona amemblock kwenye…

SOMA ZAIDI

ZARI AFUNGUKIA MWILI WAKE

MWANAMAMA ambaye ni mzazi mwenziye na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan ‘Zari The bosslady’ ame­wafunda wanawake jinsi ya kutengeneza mwili kama ulivyo…

SOMA ZAIDI

MKE WA MAJUTO: NIPO TAYARI KUOLEWA

IKIWA imepita miezi tisa baada ya kifo cha mchekeshaji maarufu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, aliyekuwa mke wake, Aisha Yusuph amefunguka kuwa yupo tayari kuolewa. …

SOMA ZAIDI

K-LYIN SIRI NZITO KIFO CHA MENGI

  HAKUNA mtu mwingine wa kumuuliza siri ya kifo cha mfanyabiashara maarufu nchini, bilionea Dk. Reginald Abraham Mengi (75) zaidi ya Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lyin.’   …

SOMA ZAIDI
ZARI AMTIA MATATANI MONDI

KILICHOMPONZA Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni kauli yake kuwa mjengo anaoishi mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kule Sauz (Afrika Kusini) ni wake. …

SOMA ZAIDI

SAFARI ZA WOLPER CHINA ZASHTUA

  KUNA baadhi ya watu kusafiri mara kwa mara siyo ishu sana, lakini kwa upande wa mrembo wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, safari…

SOMA ZAIDI

MWENYE NYUMBA HAKAI FOLENI

HALOOOO eeehhh…vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa, basi we mtu mzima tayari…

SOMA ZAIDI

TATIZO LA MAWE KWENYE FIGO

UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani…

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online