×

Risasi

Hemed PHD afunguka madhara ya kutoka na staa

Staa wa filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘Hemed PHD’ Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi MUUZA sura kwenye filamu za Kibongo, Hemed...

READ MORE

Flora Mvungi arudi kwao

Frora Mvungi akiwa na mwanaye Stori: waandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Huku kukiwa na madai ya ndoa ya...

READ MORE

Wazazi wamkomalia Madee kuvuta jiko!

Madee. Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi STAA wa Wimbo wa Migulu Pande, Hamad Ally ‘Madee’ amesema hakuna kitu kinachomtesa kwa sasa...

READ MORE

Zari Anasa Ujauzito Tena!

Zarinah Hassan ‘Zari The  Boss Lady’ DAR ES SALAAM: Hii ni habari ya motomoto kabisa! Mama la mama, Zarinah Hassan...

READ MORE

Mbuzi wa ajabu watikisa Dar

Mbuzi hao wakirandaranda. GLADNESS MALLYA NA GABRIEL NG’OSHA DAR ES SALAAM: Dunia ina mambo! Mbuzi wanaosemwa kuwa ni wa ajabu,...

READ MORE

Wolper nusura apigwe risasi ‘sheli’

Jacqueline Wolper. NA MUSA MATEJA, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Chupuchupu! Mwanadada anayeng’ara kunako tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline...

READ MORE

Risasi Jumatano: Zari anasa ujauzito!

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA RISASI JUMATANO Zari anasa ujauzito Ni miezi 8 tu tangu amzae Tiffah Familia yamshangaa Wolper nusura...

READ MORE

Mbaroni kwa kuuza bangi mkesha wa mwenge!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Zuberi Mwombeji. SONGEA: Kijana Dickson Komba (22) mkazi wa eneo la Lizaboni mjini hapa,...

READ MORE

Nyamwela achekelea kunengua Australia

Stori: Gladness Mallya MNENGUAJI nyota wa Bendi ya The African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Hassan Musa ‘Super Nyamwela’ ametoboa jinsi...

READ MORE

G-Nako: Kuna msanii mkubwa Afrika nitakolabo naye

 George Mdeme ‘G Nako’ Makala: Boniface Ngumije WACHACHE sana wanaofuatilia muziki wa Bongo watakuwa hawamuelewi nini anafanya huyu jamaa, maana...

READ MORE

Exclusive Wastara mjamzito

Wastara Juma. Stori:  Hamida Hassan, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Exclusive! Habari mpya ya motomoto ni kwamba, staa wa sinema...

READ MORE

Wanaoharibu Swaumu… wala Bakora

Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Wakati Waislam wakiwa kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kuna akina...

READ MORE

Uchumba wa Snura Wavunjika!

Snura Mushi Stori: Erick Evarist, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Uchumba wa staa wa wimbo wa Chura, Snura Mushi na...

READ MORE

Skendo za Wanaume… Mama, Baba Wamtenga Wolper

Jacqueline Wolper Stori: Imelda Mtema, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Jacqueline Wolper, staa wa Bongo Muvi, ametengwa na familia yake...

READ MORE

Nay: Kuchangia mwanamke siyo dhambi

Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema haoni...

READ MORE

Cathy awaka kukimbiwa na mume

Stori: Gladness Mallya MWANAMAMA kutoka katika kiwanda cha filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amewatemea cheche wanaomsengenya kuwa amekimbiwa na mumewe...

READ MORE

Dude ajuta kutofunga ndoa

Stori:GLADNESS MALLYA MSANII wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa anajuta kutofunga ndoa na mkewe, Eva kwani anateseka sana...

READ MORE

Nisha awahofia wakware kwa mwanaye

Stori: Gladness Mallya MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefungukia hofu aliyonayo kwa mwanaye, Ipsium kutokana na...

READ MORE

Baraka Da Prince amdhalilisha Linah ukumbini

Baraka Andrew ‘Baraka Da Prince’ na Linah. Na Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Katika hali ya kushangaza, staa...

READ MORE

Papaa Msofe awamwagia minoti warembo

Abubakari Msofe ‘Papaa Msofe’ akigawa noti kwa warembo. Na Dustan Shekidele, RISASI MCHANGANYIKO MOROGORO: Mfanyabiashara maarufu nchini, Abubakari Msofe maarufu...

READ MORE

Baby Madaha: Sina Hobi na Serengeti Boys

Na Gladness Mallya, RISASI mchanganyiko MSANII na mcheza filamu za Kibongo, Baby Madaha amesema hapendi kushiriki mapenzi na wanaume wa...

READ MORE

Hawa Wamechinjwa Bila Hatia!

Marehemu Mkiwa Philipo. Stori: Oscar Ndauka, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM na mikoani: Inauma sana! Ndilo neno ambalo linafaa kutumika...

READ MORE

Wasanii wafanya uchafu!

Zainabu Ally na Naomy Mmbaga wakifanya yao. Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Katika hali ya kushangaza, wasanii...

READ MORE

Mauzauza nyumbani kwa Waziri Nchemba

Bibi kizee alivyonaswa usiku akirandaranda na tunguri nyumbani kwa Waziri Mwigulu Nchemba. Stori: Francis Godwin, Risasi Jumamosi DODOMA: Katika hali...

READ MORE

Lulu Diva, Gigy wapeana makavu live

Lulu Diva Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi WAUZA nyago kwenye video za Kibongo, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ na Gift Stanford ‘Gigy...

READ MORE

Amanda apondwa kivazi cha bichi

Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi STAA wa sinema za Kibongo, Amanda Posh amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kuposti picha...

READ MORE

Kejeli za kutopata mtoto… Mchungaji Akesha Akimwombea Wema

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ Stori: Gladnes Mallya, Ijumaa Dar es Salaam: Habari njema! Baada ya staa wa filamu za Kibongo,...

READ MORE

Vanessa alazimishwa kudendeka

Na Musa Mateja NJEMBA mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, juzikati aliwashangaza watu baada ya kulazimisha kudendeka jukwaani...

READ MORE

Mume, Mke Wachinjwa Kinyama

Majeneza yenye miili ya marehemu hao. Na Gregory Nyankaira, RISASI MCHANGANYIKO MARA: Hali mbaya! Wanandoa Said Somba (48) na Kadogo...

READ MORE

Shilole, Baunsa Wazichapa

Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Mtiti! Msanii nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wikiendi iliyopita...

READ MORE

Snura amkabidhi jipu mama Samia

Makamu wa Rais, Samia Suluhu. GLADNESS MALLYA na Mayasa Mariwata, RISASI DAR ES SALAAM: STAA wa muziki Bongo, Snura Mushi...

READ MORE

Kajala Amwanika Bwana Mpya!!

Kajala (picha ya kushoto) na mwamme anayedaiwa kuwa bwana wake mpya. Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya...

READ MORE

Kiba Apata Mpenzi Mwingine, Asema: Nikimrudia Jokate nisutwe

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Siku chache baada...

READ MORE

Familia Iliyoteketea kwa Moto… Chanzo Chajulikana

     Tatu Issa na mjukuu wake, Catherine Stewart enzi za uhai wao. Stori: Waandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Jokate ‘amzimikia’ Barakah Da Prince

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Stori: Boniphace Ngumije, RISASI JUMAMOSI MREMBO wa nguvu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa katika orodha ya wasanii...

READ MORE

Isabela: Inaniuma Kalama Kumuoa Shoga Yangu

Isabela Mpanda. Stori: Mayasa Mariwata na Gladness Mallya, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: SIKU chache baada ya Mbongo Fleva, Kalama...

READ MORE

Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Jacqueline Wolper na Harmonize. Stori:Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa...

READ MORE

Agizo la Magufuli Lamtumbua Muonyesha Filamu

Rais John Magufuli Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kimenuka! Agizo la Rais John Magufuli la kuwataka watu...

READ MORE

Lulu awapa makavu mastaa wapenda kiki

Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori:Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda...

READ MORE