×

Risasi

UMEYASIKIA YA Zabibu Kiba kwa Banda?

KWELI inapofika kwenye suala la mapenzi kila mmoja anatulia! Dada asiyependa makuu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia ni dada...

READ MORE

Ester Kiama Adaiwa Kuficha Ujauzito

WAKATI wengine wakiona kubeba ujauzito ni ufahari, kwa mwigizaji wa filamu Bongo, Ester Kiama ni tofauti kwani anadaiwa kuuficha na...

READ MORE

MENINAH KUMBE AMEONA UZURI SIYO DILI

IKIWA baadhi ya wanawake wengi wanaamini kuwa ukijaaliwa uzuri wa sura na umbo ndiyo umemaliza kila kitu, kwa mwanamuziki na...

READ MORE

Madai mazito… AMKATA MKEWE SHINGO AKITUBU“

“MUME wangu kama nimekukosea nisamehe,” mwanamke mmoja, Pendo Patrick (30) mkazi wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Bulyanhulu, wilayani Kahama,...

READ MORE

UWOYA, MOBETO GUMZO MKUTANO WA SADC

GUMZO kubwa huko mtaani pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ni kibarua alichoomba msanii mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya...

READ MORE

Siwema amshushia sifa Nay wa Mitego

 MREMBO ambaye ni mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Siwema Edson amesema hawezi kuwa...

READ MORE

mtoto wa Beyonce avunja rekodi

BLUE Ivy ambaye ni mtoto wa mastaa wanaokimbiza kwenye Muziki wa R&B na Hip Hop kutoka Marekani, Jay-Z na Beyonce,...

READ MORE

 Husna Maulid bora asile, kisa..!

MREMBO ambaye alishakwaa skendo mbalimbali za kupiga picha na kuachia mwili wake wazi, Husna Maulid amesema kutokana na kupenda urembo...

READ MORE

ANASWA WIZI WA MTOTO MCHANGA

AIBU! Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga. ...

READ MORE

MENEJA WA HARMONIZE APASUA JIPU

WAKATI madai yakiendelea kuwaka moto kwa memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’ kujitoa kwenye...

READ MORE

WOLPER Akoma Kutoa Penzi Kwa Masikini – VIDEO

MUIGIZAJI mwenye mashine zake za kushona nguo mjini, Jacqueline Wolper ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kamwe hawezi...

READ MORE

kelele za mbu hazinyimi usingizi

WALETEEEE KELELE shogaa wanakwambia chakula cha harusini hakishibishi na ukitaka kujua masikini na tajiri ufike muda wa zawadi kwa maharusi,...

READ MORE

Ray: Nazaa tena na Chuchu

MUIGIZAJI kitambo wa filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘ Ray’ amefunguka kuwa anataka kuzaa tena na muigizaji mwenzake, Chuchu Hansy mtoto mwingine. ...

READ MORE

VEE MONEY ANAZIDI KUIPELEKA BONGO FLEVA KIMATAIFA

UKIFIKA katika Jiji la New York kuna jarida moja maarufu la urembo na mitindo linalotoka kila mwezi ambalo ndani yake...

READ MORE

BABY J ADAI ESMA KABEBA MZIGO MZITO WA DHAMBI

MwanaMuziki maarufu visiwani zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’ amefunguka kuwa anachokiamini ni kwamba dada wa msanii wa Bongo Fleva, nasibu...

READ MORE

MONDI KUPIGA BILIONI 3 SIKU 150

HARUFU ya ubilionea imeanza kumnyemelea staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya shoo zake kuonesha...

READ MORE

LYNN AKIRI KUTOKA USWAHILINI NA KUTOBOA

VIDEO vixen ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Irene Louse ‘Lynn’ amekiri kutoka maisha ya uswahilini na...

READ MORE

MAUMIVU YA KIFUA NA TIBA YAKE

MauMivu ya kifua ni dalili inayotokea watu wengi mara kwa mara na kati ya sababu inayoleta watu wengi hospitali. Kuna...

READ MORE

ASALI HAILAMBWI KWA NCHA YA KISU

ASALI Shoga wanakwambia raha ya mwanaume awe na madeni na mwanamke sharti alijue jiko siyo kukalia umbea hadi domo limekaa...

READ MORE

POSHY AELEZA ANAVYOWAPANGUA WANAOTESWA NA UMBO LAKE

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii ya My Style, kama ilivyo kawaida tunakulea mastaa mbalimbali kisha wanaelezea namna...

READ MORE

RAY ATAMBA JAYDEN KUMPA CHAPA

MWIGIZAJI mkubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ametamba kuwa, mwanaye wa kiume, Jayden aliyezaa na mwigizaji Chuchu Hans anamfanya kutembea kifua...

READ MORE

WIMBO MZURI HUMBEMBELEZA MTOTO

ENDELEA kuamini kopo la msalani wakati wenzako tunaliamini taulo, kwanza linatunza siri, hata urudie kujifutia sehemu hiyohiyo halisemi kitu, upo...

READ MORE

KADINDA AFUNGUKA KUHAMIA KWA HAMISA

MWANAMItINdo wa kiume Bongo, Martin Kadinda amefungukia madai ya kuhamia na kumsimamia mwanamitindo Hamisa Mobeto kuwa alikuwa akifanya mambo ya...

READ MORE

DIAMOND USO KWA USO NA WATOTO WAKE

  BAADA ya mwanamama ambaye pia ni mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The Bosslady’ kubana kwa muda mrefu hatimaye ameachia kwa...

READ MORE

KWA ALICHOKIFANYA MLIMANI CITY DIAMOND PESA INAONGEA

 MWANAMUZIKI grade one kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameendeleza jeuri zake na kuthibitisha kuwa pesa kwa...

READ MORE

AMBER LULU AIBU 100%

UNAPOAMBIWA msanii ni kioo cha jamii siyo kwa kufanya mambo maovu au kinyume na maadili ya Kitanzania! Msanii na muuza...

READ MORE

UTU UZIMA DAWA, WATOTO YAO MAJI

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja...

READ MORE

UCHEBE AMPONZA SHILOLE

MUME wa mwanamuziki na muigizaji wa filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe amemponza mkewe huyo baada ya kuzuiliwa kuingia...

READ MORE

MAGONJWA MA-4 HATARI KWA MAMA MJAMZITO

UJAUZITO mara nyingi huchangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi wa tisa mwanamke anapojifungua.    Katika kipindi...

READ MORE

MAANDALIZI UJIO WAKE, MSHTUKO NYUMBANI KWA LISSU DAR

NI mshtuko wa aina yake! Wakati Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu akisubiriwa arejee nchini; nyumbani kwake Tegeta jijini...

READ MORE

MWIJAKU AMKALIA KOONI BATULI

BAADA ya mnyukano mzito wa maneno yasiyofaa kwenye mitandao ya kijamii kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf...

READ MORE

 ROSE MUHANDO MAJANGA TENA!

LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai...

READ MORE

SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI

 ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba,...

READ MORE

TUNDA KAMA MIMBA NISHABAMBIKIWA SANA

Muuza nyago maarufu kwenye video za Kibongo, Tunda amefunguka kuwa kama kubambikiwa mimba anaongoza kwani angekuwa na watoto zaidi ya...

READ MORE

MWANAHERI: SIJAFUATA PESA KWA MUME, NI MAHABA TU!

Yapo mengi ambayo yamezungumzwa kuhusu msanii wa filamu Bongo, Mwanaheri ahmed. Mengine yana ukweli lakini yapo ambayo ni uzushi. Waandishi...

READ MORE

KISHINDO NDOA YA BEN POL

DAR ES SALAAM: Ni kishindo! Kama alivyoahidi mrembo bilionea wa Kenya, Anerlisa Joseph Karanja Muigai kuwa ndoa yake na staa...

READ MORE

PAKA WAAJABU AMTIKISA MCHUNGAJI

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Tukio la kushangaza lililotikisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita ni la paka...

READ MORE

MAMA MONDI AFUNGUKIA MADAI YA NDOA YAKE KUVUNJIKA

MAMBO ni motrooo! Siku chache baada ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa ndoa yake na mumewe, Maisala Shamte ‘Anko’ imevunjika, mama...

READ MORE

TUI LA NAZI HALITENGENEZI CHAI!

HEYAHEYA, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa...

READ MORE

MAISHA YA BEN POL KUFURU AINGIA REKODI YA MONDI , KIBA

WAKATI mwingine Mwenyezi Mungu anaweza kukuinua kutoka chini na kukuweka juu! Ndivyo ilivyomtokea staa wa muziki wa R&B Bongo, Benard...

READ MORE