×

Risasi

FAHYMA AFUNGUKA KUITWA YUDA

MZAZI mwenzake na mkali wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jayden’ amefungukia ishu ya kuitwa Yuda kwa sababu...

READ MORE

MALAIKA ATAJA SABABU ZA KUWA KIMYA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ ametaja sababu ya kuwa kimya kwenye gemu hilo kuwa anaangalia upepo unavyokwenda kwanza...

READ MORE

SHEPU FEKI YAMTOA POVU NISHA

BAADA ya kuambiwa kuwa anafeki umbo lake kutokana na kwamba kiuhalisia hayupo hivyo, msanii wa filamu, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka...

READ MORE

ISABELA, BABY MADAHA NDANI YA BIFU ZITO

WASANII wa muziki wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda na Baby Madaha wanadaiwa kuwa ndani ya bifu zito.     Chanzo cha...

READ MORE

HUSNA AFUNGUKA KUIBIWA BWANA NA TUNDA

KUTOKANA na habari kuzagaa mitandaoni kuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameibiwa bwana na video queen wa Bongo,...

READ MORE

FAHYMA AFUNGUKIA KUKAA UTUPU

MZAZI mwenza wa mkali wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jaydan’...

READ MORE

KWA NINI TANASHA HAKUBALIKI KWA MONDI?

JARIBIO halipo mbali. Halichukui muda mrefu sana kutoa majibu. Cha kufanya, chukua picha kali ya mrembo Tanasha Donna. Hakikisha ina...

READ MORE

POLISI ALIYEKUTWA AMEKUFA CHUMBANI…SIMANZI

KIFO cha polisi wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU), Justine Alfred Marobo kimeacha simanzi nzito kufuatia askari huyo kuwa kipenzi...

READ MORE

ARISTOTE AFUNGUKIA BIFU LAKE NA UWOYA

SIKU chache baada ya habari kusambaa mitandaoni kuwa ana bifu kali na msanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya huku chanzo...

READ MORE

ULINZI SOKO KUU LA KARIAKOO, MLIMANCITY….RIPOTI MPYA!

kikosi kazi cha kufichua mauovu cha Global Publishers maarufu kwa jina la Oparesheni Fichua Maovu (OFM), kimeingia mzigoni kukagua usalama...

READ MORE

KAJALA AANIKA MAUMIVU MWANAYE KUFELI

STAA mkali wa filamu za Bongo Muvi, Kajala Masanja amefungukia baadhi ya kejeli na dharau anazorushiwa mtoto wake kwenye mitandao...

READ MORE

ELEWA CHANZO CHA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI (KIDNEY FAILURE)

FIGO ni miongoni mwa viungo muhimu sana katika mfumo wa utendaji kazi wa mwili wa binadamu. Wiki iliyopita nilieleza jinsi...

READ MORE

MWALIMU AMWANDIKIA DENTI BARUA YA MAPENZI, ANASWA!

 HII ni aibu ya mwaka 2019! Wakati jamii ikiamini walimu ndiyo wanaopaswa kuwa mstari wa mbele kuwafundisha maadili wanafunzi wao,...

READ MORE

STEVE AJIGAMBA KULINDWA NA JB

MUIGIZAJI kutoka Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ usiku wa kuamkia Jumatatu alizua gumzo baada ya kujigamba ukumbini kuwa bodigadi...

READ MORE

SADAKA HAIKOPESHWI

KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...

READ MORE

PAPII KOCHA KURUDI NGWASUMA

MKONGWE wa Muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ amesema kuwa anatarajia kujiunga na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa...

READ MORE

FAHYMA ACHEKELEA RAYVANNY KUFUNGULIWA

  MZAZI mwenziye na Mbongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma amefunguka kufurahishwa kwake na kitendo cha baba mtoto wake huyo...

READ MORE

WEMA ALA SHAVU ZANZIBAR

LICHA ya kusemekana kwa sasa ustaa wake umepungua, staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amekula shavu baada ya kualikwa kama...

READ MORE

BAADA YA KUCHUNGULIA KIFO, HII NDIYO SIMULIZI MPYA MAISHA YA HAWA

AMA kweli Mungu hamtupi mja wake! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari njema za afya ya msanii wa Bongo...

READ MORE

MUME AFUATA PESA YA KITOWEO ATM… ARUDISHWA AKIWA MAITI!

UCHUNGU wa kufiwa na mume uliyeachana naye muda mfupi baada ya kukuambia kuwa anatoka kidogo kufuata fedha za matumizi kwenye...

READ MORE

MOBETO AKOLEZA SKENDO YA KUFUMANIWA ZANZIBAR

SIKU chache baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto kukutwa na skendo ya kufumaniwa na bwana wa mtu ambaye jina...

READ MORE

AUNT AFUNGUKIA ‘TATUU’ YAKE YA PAJA

STAA mwenye mvuto Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amefungukia ‘tatuu’ aliyoichora pajani kuwa anashangaa watu wanavyoijadili alichoraje kwani kwake ni kitu...

READ MORE

POSHY AWAJIBU WANAOANDAMA SHEPU YAKE

BAADA ya madai kusambaa kuwa mrembo anayetingisha jiji kutokana na umbo lake namba nane, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametengeneza umbo...

READ MORE

MGOMBA HAUZAI EMBE

PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa...

READ MORE

JOHARI AWA MBOGO RAY KUACHANA NA CHUCHU

STAA wa sinema za K ibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amegeuka mbogo baada ya kuulizwa ishu ya mpenzi wake wa zamani, Vincent...

READ MORE

LYNN AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA SHETTA

KUTOKANA na hivi karibuni kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanatoka kimapenzi, muuza nyago maarufu Bongo ambaye kwa sasa...

READ MORE

RITA UMEMHUZUNISHA CASSIAN; UMEJIVUNJIA HESHIMA

MIAKA takriban mitatu nilipozun-gumza na mwanadada Rita Paulsen nilimwambia thamani yake mbele ya jamii. Nikamtia moyo kwa kumwambia azidi kusonga...

READ MORE

IDRISS ADAIWA KUJISOGEZA KWA MOBETO

MADAI yanayosambaa kama moto wa kifuu ni juu ya mchekeshaji maarufu  Bongo, Idris Sultan  kudaiwa kujiweka kwa mwanamitindo, Hamisa Mobeto.     Shushushu...

READ MORE

SANCHI AFUNGUKIA KUKODI NDEGE

BAADA ya kusemekana kukodi ndege binafsi akitokea Dar kuelekea mkoani Iringa, mwanamitindo maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa hajawahi...

READ MORE

BEN POL: KAOKOTA DODO , KASAHAU ALIKOTOKA !

WASWAHILI wana msemo wao pale mtu anapobahatika na kitu fulani, utasikia; ‘ameokota dodo chini ya muarobaini’ ikiwa na maana kuwa...

READ MORE

CHIPS HAZINA UKOKO

UNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo?  ...

READ MORE

ALIYEDAIWA KUUAWA NA MUMEWE AZIKWA NA SANDA NYEUSI

MAAJABU! Sintofahamu imeibuka kwa wakazi wa Mtaa wa Pombo-Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar katika mazishi ya marehemu Rose...

READ MORE

UNDANI WA KIGOGO WA MAFUTA ALIYETEKWA DAR

INASIKITISHA! Kigogo wa kampuni moja ya mafuta (jina tunalihifadhi kwa sababu maalum) ya jijini Dar, Dawson Buberwa Ishengoma, anadaiwa kutekwa...

READ MORE

DIMPOZ AMPIGA MKWARA MZITO BABA’KE

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amempiga mkwara mzito baba’ke, Faraji Nyembo kisa kikitajwa ni ugonjwa...

READ MORE

UBONGE WAMTESA AIKA

STAA wa kike wa Bongo Fleva kutoka Crew ya Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuteswa na ubonge ambao kila kukicha...

READ MORE

NANDY AANIKA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

KUTOKANA na habari kwamba mafanikio yake ya ghafla yanatokana na mwanaume anayemmiliki kwa sasa, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles...

READ MORE

RUBY: MIMBA HAINIZUII KUFANYA KAZI

MWANADADA anayetamba na Ngoma ya Alele, Hellen George ‘Ruby’ amesema kwamba mimba aliyonayo haimzuii kufanya kazi kama alivyokuwa akifikiri awali.  Ruby...

READ MORE

AJIUA , AMWACHIA MWANAYE BAISKELI !

BUKOBA: Salvatory Rweyemamu (47) ni baba aliyekuwa mkazi wa Kashai Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ambaye anadaiwa kujiua kwa kujinyonga...

READ MORE

MBWEMBWE NDOA YA DIAMOND, TANASHA YAMKUTA YA WEMA, ZARI

DAR ES SALAAM: Mwanadada Tanasha Donna Barbieri Okech ‘Zahara Zaire’ kutoka Kenya ambaye siku za hivi karibuni aliingia kwenye penzi...

READ MORE

MC PILIPILI AFUNGUKA KILICHOMLIZA KWA MCHUMBA WAKE

DAR ES SALAAM: Baada ya hivi karibuni mchekeshaji maarufu Bongo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ kumvisha pete ya uchumba, mchumba’ke, Philomena...

READ MORE