×

Risasi

MOBETO ACHARUKA, KISA DIAMOND

MWANAMITINDO Hamisa Mobeto juzikati alicharuka kinoma baada ya kuulizwa kuhusiana na madai ya mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kusitisha huduma...

READ MORE

CALISAH ATOA SIRI ATAKAVYOMLEA MWANAYE

MWANAMITINDO Calisah Abdulhamiid ametoa siri jinsi atakavyomlea mwanaye, Calic kwamba atakuwa tofauti kabisa na watoto wa mastaa wengine Bongo ambao...

READ MORE

JINSI YA KUZUIA U.T.I KWA WATOTO

UGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...

READ MORE

MBINU ZA WAPENDANAO KUISHI KWA FURAHA

MIGOGORO ya wapendanao kwa sasa imekuwa mingi. Ripoti mbalimbali zinaonesha kwamba kuna anguko kubwa la watu kupeana talaka, watu wanashindwa...

READ MORE

MACHOZI! KILICHOMPATA MTOTO HUYU LAZIMA ULIE !

MACHOZI! Unajiona una matatizo? Taarifa ikufikie kuwa, humu duniani kuna watu wanateseka zaidi yako na kama ukisikia mikasa yao, lazima...

READ MORE

BABA MATATANI UBAKAJI WA MWANAYE

DAR ES SALAAM: AMA kweli dunia imekwisha! Wakati wazazi wengi wakiaminika kuwalea watoto katika maadili mema hali imekuwa tofauti kwa...

READ MORE

USIYOYAJUA KUHUSU UGONJWA WA MAFUA

UGONJWA wa mafua unaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, shuleni au kwenye shughuli mbalimbali.  Ugonjwa...

READ MORE

NAI AFUNGUKIA ISHU YA KUJICHUBUA

BAADA ya kuandamwa mitandaoni juu ya ngozi yake kwamba anajichubua, muuza nyago maarufu Bongo, Nai Kisa ‘Nai’ amefungukia ishu hiyo...

READ MORE

MCHAWI WA DEREVA BREKI

SHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya...

READ MORE

WEMA  ATOBOA SIRI YA KUBADILIKA

STAA ‘grade one’ kunako filamu za Kibongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ametoboa siri ya kubadilika...

READ MORE

UTATA WAIBUKA MJENGO WA LYNN

UTATA! Ndiyo maneno unayoweza kusema baada ya muuza nyago maarufu Bongo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Irene Godfrey...

READ MORE

MUTRAH ‘AWALILIA’ WANAOTOA MIMBA

MUIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Mutrah Tamim ‘amewalilia’ wasichana wanaotoa mimba kila kukicha na kuwataka waache kwani watoto hao watakuja...

READ MORE

MAMBO YANAYOJITOKEZA MIEZI 7 MPAKA 9 YA UJAUZITO

MIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...

READ MORE

WANAWAKE WATUMIKA WIZI WA BAJAJ KIMAFIA

MOROGORO: Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa...

READ MORE

VEE MONEY, JUX WAITIKISA BURUNDI

MASTAA wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee na Juma Musa ‘Jux’ wameitikisa Burundi ambapo mapokezi yao tu yalikuwa ya...

READ MORE

ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI

KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa...

READ MORE

SHUKA LA KUAZIMA HALISTIRI BARIDI

PAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora! ...

READ MORE

NIKKI AFUNGUKA ALIVYOSOMESHWA CHUO NA RUGE

IKIWA imepita wiki moja tangu afariki dunia Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba, staa wa Bongo...

READ MORE

KAJALA AKESHA AKIMSALIA PAULA

MSANII kutoka Bongo Movie, Kajala Masanja amefunguka ya moyoni kuwa anapitia wakati mgumu katika malezi ya mtoto wake, Paula kutokana...

READ MORE

GIGY MONEY ADAIWA KUNASA UJAUZITO

WAKATI mtoto wake, Mayra akiwa bado hajatimiza hata mwaka, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago ‘video vixen’...

READ MORE

KIJANA: NAKUFA NA JIONA AELEZA ANAVYOTESEKA, INAUMA SANA

KIJANA Lusubilo Sinunu (18), mkazi wa Kata ya Kisegese-Busokelo Wilaya ya Rungwe mkoani hapa ametamka maneno mawili; “Ninakufa ninajiona.”  Lusubilo alitoa...

READ MORE

DIANA KIMARI: WEMA HAJANIBADILI TABIA

MSANII wa filamu Bongo, Diana Kimari amefunguka kuwa mwigizaji Wema Sepetu hajambadilisha tabia kama baadhi ya watu wanavyosema mitandaoni.    ...

READ MORE

MADHARA YA KUCHUKULIA POA TENDO LA NDOA!

MUWE wachumba, muwe ndani ya ndoa, tendo la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima...

READ MORE

DULLY AFURAHIA HARMONIZE ‘KUMKOPI’

MKALI wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka juu ya kutumiwa kwa melody ya wimbo wake wa muda mrefu...

READ MORE

TAHIYA AMSUSIA BWANA MOBETO

VIDEO Queen Tahiya John ambaye hivi karibuni alifunguka kuchukuliwa bwana na mwanamitindo Hamisa Mobeto ameonekana kumsusia bwana huyo baada ya...

READ MORE

KIJANA ADAIWA KUUAWA NA POLISI

BUKOBA: Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Salehe Ally Mujaheji (pichani) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi mara baada...

READ MORE

LULU AVUNJA REKODI YA ZARI

DAR ES SALAAM: Kamwene Lulu! Ndivyo unavyoweza kumsalimia mwanadada mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ukikutana naye...

READ MORE

MWALA ADATISHWA NA MADEMU WA KIBONGO

MSANII wa filamu za maigizo kutoka nchini Kenya maarufu kwa jina la Mwala ambaye Jumamosi iliyopita alikuwa ndani ya Ukumbi...

READ MORE

ALIYEKUWA MUME WA DAVINA AVUNJIWA MJENGO

ALIYEKUWA mume wa staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’, Abdallah Shakoor ambaye pia ni mzazi mwenzake na staa...

READ MORE

KIM NANA APATA KIGUGUMIZI ‘KUBANJUKA’ NA MTANGAZAJI

MUUZA nyago maarufu Bongo, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye amewahi kutajwa kulionja penzi la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

UWOYA:USITHUBUTU KUOLEWA NA USIYEMPENDA

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka na kuwaasa wanawake kuwa kamwe wasikurupuke kuolewa na wanaume kama moyo wao...

READ MORE

NDOA YA KINYAIYA, KAPUYA…NANI ANATESEKA ?

DAR ES SALAAM: Gumzo la aina yake limeibuka mitandaoni baada ya picha ya ndoa ya Waziri wa Zamani wa Ulinzi...

READ MORE

MAJI YA BAHARI HAYAPIKIWI CHAI

HALOOOO eeeehhh! Unajifanya barafu umesahau kama unayeyuka! Wee ringia sura siye tunaringia ngozi! Shoga nashanga unalamika oooh mambo yako hayaendi...

READ MORE

WOLPER AUZA GARI ANUNUA MATIRIO YA GAUNI

MUIGIZAJI Jackline Wolper ameamua kuliuza gari lake aina ya Toyota Brevis na kununua ‘matirio’ ya kutengenezea magauni.     Wolper aliiambia...

READ MORE

KAMA UNASUMBULIWA NA GESI TUMBONI TUMIA ALOE VERA

LEO kwenye safu yetu ya tiba kwa chakula tutaona jinsi ya kutibu gesi nyingi tumboni tatizo ambalo uwakumba wengi, wapo...

READ MORE

KISA ‘KUCHEZA’ NA BINTIYE, BABA AMPA KIPIGO MTOTO WA JIRANI

CHEZA na pesa usicheze na mwanangu! Hakimu Mwampondela (40) mkazi wa Mwakibete, Iyunga mkoani hapa amethibitisha usemi huo kwa kumpa...

READ MORE

MCHUMBA WA GODZILLA AIBUA UTATA

SIKU chache baada ya kifo cha msanii wa Hip Hop, Golden Mbunda ‘Godzilla, mrembo aliyejinasibu kuwa ndiye alikuwa mchumba wa...

READ MORE

UNAPATA TABU SANA KWENYE MAPENZI? SOMA HAPA!

WAKATI MUNGU ni mwema, Jumapili nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Nafurahi kuona mkiendelea...

READ MORE

MADAI YA KUFUNGA NDOA, KUVAA PETE, KUNASA UJAUZITO, LULU AANIKA UKWELI WOTE

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, hivi karibuni alifungukia madai yote yaliyokuwa yakizungumzwa mitandaoni juu yake kuvua pete...

READ MORE

MONALISA: WANATAKA KUTUGOMBANISHA NA KAJALA

KUTOKANA na yaliyotokea hivi karibuni kuhusu watoto wao na tetesi kuzagaa kuwa wameingia kwenye bifu, msanii wa filamu za Kibongo,...

READ MORE