×


Risasi

BORA MONDI WA MBAGALA KULIKO WA MADALE

WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.    Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba…

SOMA ZAIDIROSA REE ATOA SIRI YA GARI LAKE

SIKU kadhaa baada ya kuanika gari aina ya BMW nyekundu, staa wa kike anayekimbiza katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosary Iwole ‘Rosa Ree’ ametoa…

SOMA ZAIDI

TESSY AFUNGUKIA KUPIGWA NA CHUCHU

MZAZI mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Tessy Chocolate amefunguka kwamba katika maisha yake hakuna mtu amewahi kumpiga zaidi ya mama yake mzazi,…

SOMA ZAIDIJUISI HAIWEKWI ASALI

PAMBEEE shoga wanakwam­bia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo? Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi…

SOMA ZAIDI

NDOA YA LULU YAVURUGWA

DAR ES SALAAM: KWA mara nyingine, maandalizi ya ndoa ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mchumba’ke, Francis Siza ‘Majizo’, imevurugwa, Risasi…

SOMA ZAIDI

AMBER LULU AKIRI KUPORA MUME WA MTU

MBONA pambe! Lile sakata la mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ kutembea na mume wa video vixen anayekuja kwa kasi, Haitham limechukua sura…

SOMA ZAIDIDAWA KWA ANAYEUMIA KUKATALIWA !

MAPENZI ni hisia. Hisia kali za mapenzi zinaanzia moyoni. Macho yanaona, yanatamani, yanashawishika. Moyo unapokea matamanio na ushawishi wa macho. Hapo ndipo unaposikia mtu anakuambia,…

SOMA ZAIDIWOLPER AMFUNGUKIA JACQUELINE MENGI

KWA mara ya kwanza staa wa filamu kutoka Bongo Movie, Jacqueline Wolper, amemfungukia mjasiriamali ambaye pia ni Miss Tanzania mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ‘K…

SOMA ZAIDI

ZARI AMNYIMA USINGIZI ESTER KIAMA

MSANII mrembo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama, amefunguka kuwa kila akimuangalia Mwanamama Zarina Hassan ‘Zari the Bosslady’ akiwa anapata dili za matangazo anaumia…

SOMA ZAIDI

LYNN, GIGY MONEY HAPATOSHI TENA!

   HAPATOSHI! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia hivi karibuni kuibuka kwa vita ya maneno kati ya wasanii wawili wa kike Bongo, Irene Charles ‘Lynn’ na Gift…

SOMA ZAIDI

RAY C ATOA SABABU KUTOMZIKA RUGE

VUNJA ukimya! Sexy lady wa Bongo Fleva, Rehema Yusuf Chalamila ‘Ray C’ ametaja sababu ya kutomzika Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,…

SOMA ZAIDI

MOBETO ACHARUKA, KISA DIAMOND

MWANAMITINDO Hamisa Mobeto juzikati alicharuka kinoma baada ya kuulizwa kuhusiana na madai ya mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kusitisha huduma za matunzo ya mwanaye Dylan.  Awali,…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online