×

Siasa

Wabunge 21 CCM Kazi Kwao

PAMOJA na Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kuweka wagombea ubunge kwenye majimbo yote 264 nchi nzima, uchunguzi unaonesha kuwa wagombea 21...

READ MORE

Mbeya Mjini: Dkt. Tulia, Sugu Watoana Jasho

Katika Jimbo la Mbeya Mjini, licha ya kuwepo vyama vingi, majina mawili yanatajwa katika kinyang’anyiro cha ubunge mkoani hapo.  ...

READ MORE

Pesa Zaminya Demokrasia Uchaguzi 2020

KAMPENI za Uchaguzi Mkuu mwaka huu, zimeendelea kushika kasi, huku vyama vya siasa hususani vya upinzani, vikikabiliwa na ukata unaozuia...

READ MORE

Maalim Seif Arejesha Fomu za Urais ZEC

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)...

READ MORE

Magufuli Alivyokomesha Fukuza-Fukuza ya Wachimbaji

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt John  Magufuli, amesema kuwa katika kipindi...

READ MORE

Chadema Yamuunga Mkono Maalim Seif Zanzibar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema rasmi sasa wanakiunga mkono chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar katika...

READ MORE

Maelfu Wafurika Kampeni za Mama Samia Kigamboni

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara ya kuomba kura kupitia Chama...

READ MORE

Frank Mwakajoka Awaomba CCM, CUF Kumpigia Kura

MGOMBEA ubunge jimbo la Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amewaomba wananchi wa mji huo uliopo mkoani Songwe kumpigia kura za kishindo...

READ MORE

Makundi 2 Kuamua Mshindi Uchaguzi 2020

DAR ES SALAAM: Wakati Tanzania ikielekea kufanya Uchaguzi Mkuu wa sita tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka...

READ MORE

Bashiru Amuonya Kigwangalla Sakata la Simba na Mo Dewji

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis...

READ MORE

Dkt. Bashiru Amuonya Nape: Rudi Jimboni Kwako!

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye...

READ MORE

Lissu Aahidi Bima za Afya Nchi Nzima

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, ameahidi kuwa...

READ MORE

PM Majaliwa: CCM Haikurupuki

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema hicho hakikurupuki katika kuiwekea...

READ MORE

Wagombea 1,000 Chadema Waliokatwa Wakusanyika Dodoma

ZAIDI ya wagombea ubunge na udiwani 1,000 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo jijini hapa wakisubiria hatma yao...

READ MORE

CHADEMA Itafanya Haya Siku 100 za Kwanza Madarakani…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeainisha mambo 16 kitakachofanya siku 100 za kwanza iwapo kitachaguliwa na kupewa ridhaa ya...

READ MORE

Mwigulu: Nyalandu Alinyoosha Suti Zake Ulaya, Lissu Amelipwa

MGOMBEA ubunge Iramba Mashariki Mkoa wa Singida kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, ameanza kumchokonoa Tundu Lissu, mgombea...

READ MORE

JPM: Bahi Nichagueni Niwaletee Maendeleo Zaidi – Video

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amewaomba wananchi wa wilayani Bahi...

READ MORE

CCM Yamuonya Maalim Seif Asichafue Viongozi Wake – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amemtaka Maalim Seif Sharif Hamad kuacha kuchafua viongozi...

READ MORE

CCM Yateua Wagombea Uwakilishi Zanzibar – Video

KAMATI  Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wagombea uwakilishi katika Baraza la Wawakilish Zanizbar katika majimbo 50 kwa...

READ MORE

Mzee wa Ubwabwa Kuzindua Kampenzi Kake Sept 5

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Chaumma, Hashimu Rungwe, ametangaza kuzindua kampeni zake za urais wa chama hicho Jumamosi...

READ MORE

ACT Wazalendo Waja na Vipaumbele 10

Chama cha ACT-Wazalendo leo Agosti 31, 2020 kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020 ikiwa na vipaumbele 10 vyenye majibu...

READ MORE

Aliyekatwa CCM Atoa Matairi Kusaka Kura za JPM

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Momba Mkoani Songwe, Ombeni Nanyaro (CCM) ameupatia uongozi wa chama hicho mkoa wa Songwe...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kununua Ndege 5 Akishinda Urais 2020

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ameahidi kuwa endapo atashinda,...

READ MORE

Magufuli Azindua Kampeni za CCM kwa Kishindo – Video

Leo Agosti 29, Historia imekwenda kuandikwa upya katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma, ambapo Wasanii zaidi ya 100 wata-perform kwenye Jukwaa...

READ MORE

CHADEMA Walivyozindua Kampeni Zao za Uchaguzi

Mamia ya wananchi jana Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 walijitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama...

READ MORE

Vijana Hawa Watapata Tabu

MCHAKATO wa uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefikia tamati Agosti 20 mwaka huu kwa kushuhudia...

READ MORE

Vigogo CCM Waliokatwa Wamtaja Mungu

Siku chache baada ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwakata baadhi ya wagombea ubunge wengi wakiwa...

READ MORE

Wafahamu Wagombea Urais Wanaochuana na Magufuli

TOFAUTI na miaka iliyopita ya uchaguzi nchini Tanzania, mwaka huu wagombea wa nafasi za urais wamejitokeza kwa wingi. Kwa mujibu...

READ MORE

Mwinyi Achukua Fomu ZEC, Aahidi Zanzibar Mpya – Video

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein  Mwinyi amechukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea kiti hicho...

READ MORE

Masele Aunganisha Nguvu na Katambi Shinyanga Mjini

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Patrobas Katambi, jana Jumanne Agosti 25, 2020 amerudisha...

READ MORE

Kassim Majaliwa Apita Bila Kupingwa Ubunge Ruangwa

Mgombea ubunge wa Ruangwa Mkoa wa Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi jimbo...

READ MORE

Abood Apita Bila Kupingwa Morogoro Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi Morogoro Mjini, Sheila Lukuba amempitisha Abdulazizi Abood (CCM) kuwa mgombea pekee wa Ubunge Jimbo hilo baada ya...

READ MORE

Vita ya Chadema, NCCR Mageuzi Kilimanjaro Furaha kwa Kunguru

TANGU kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi, mkoa wa Kilimanjaro umekuwa ngome ya upinzani kwa kupitia vyama vya NCCR Mageuzi...

READ MORE

Mdee: Gwajima Kitu Gani? Tutakutana Jukwaani

HALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu...

READ MORE

Lema, Gambo Wakutana!

WAGOMBEA ubunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

NEC Yamteua Muttamwega Kugombea Urais Kupitia SAU

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa M/kiti wake, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa...

READ MORE

NEC Yamteua Lipumba Kugombea Urais – Video

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa...

READ MORE

NEC Yamteua Shibuda Urais ADA-TADEA, Atoa Ujumbe – Video

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa...

READ MORE

Maamuzi ya Andrew Chenge Baada ya Kukatwa Ubunge

MBUNGE wa Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu aliyemaliza muda wake Andrew Chenge, amesema kuwa kuanzia sasa ameyavunja makundi yote yaliyokuwa...

READ MORE

CUF Yatangaza Wagombea Ubunge 136

CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimetoa orodha ya wagombea ubunge katika majimbo 136 kati ya 264 wa chama hicho katika uchaguzi...

READ MORE