×


FacebookSiasa

Kilichojificha mgogoro wa Zanzibar -3

Kama tulivyoona wiki iliyopita aliyetangaza Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 1964 ni John Okello, nilipata simu wasomaji wakitaka kujua huyu mtu alitoka wapi? Nilimuelezea. Bado…

SOMA ZAIDI

Mwanzilishi wa vyama vingi Tanzania-2

SAFU hii mpya ya Mleta Mabadiliko iliyoanza wiki iliyopita kwa kumuibua mwanzilishi wa vyama vingi nchini, James Mapalala inaendelea tena leo. Wiki iliyopita tulieleza jinsi…

SOMA ZAIDI


Kilichojificha mgogoro wa Zanzibar -2

Naendelea kufafanua kilichojificha katika mgogoro wa kisiasa Zanzibar: Kwa hakika, kinyume cha baadhi ya watu walivyoandika, hapakutokea mauaji ya kimbari wakati wa Mapinduzi Zanzibar Januari…

SOMA ZAIDI

No Picture

Niva Ampigia Saluti Gabo

Na Mwandishi Wetu ZUBERY Mohamed ‘Niva’ ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kitambo Bongo, amempigia saluti muigizaji bora wa kiume kwa sasa nchini, Salim Ahmed…

SOMA ZAIDINo Picture

CUF, CCM kaeni tena na tena

DAR ES  SALAAM. Siku mbili baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza msimamo wa Chama…

SOMA ZAIDI


Mke: Mtikila alikabwa koo hadi kufa

ELVAN STAMBULI NA MAKONGORO OGING Dar es Salaam Asimulia mazito tena, apeleka waraka kwa rais Magufuli Georgia Mtikila: “Nguo zake alizovaa siku aliyofariki dunia, hazijulikani…

SOMA ZAIDI


Samuel Sitta Umejibu Swali Langu!

Na Brighton Masalu KITENDO cha aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kutangaza nia ya kuwania tena kiti cha uspika katika bunge lijalo la 11, kimejibu…

SOMA ZAIDI
Mtemvu alivyotoa siri za Nyerere- 12

Naendelea na makala hii inayozungumzia jinsi Mtemvu alivyotoa siri za Nyerere miaka ya nyuma akiwa katika utawala wake. Sasa endelea… Mzee Zuberi Mtemvu nilipoonana naye…

SOMA ZAIDIMtemvu alivyotoa siri za Nyerere- 11

HISTORIA ya Zuberi Mtemvu na Mwalimu Julius Nyerere inaendelea: Vita kati ya Mtemvu na Nyerere inasemekana ilikuwa imeanza siku nyingi kama tulivyoona huko nyuma. Mtu…

SOMA ZAIDI
Mtemvu alivyotoa siri za Nyerere- 10

Tunaendelea kusimulia yaliyojiri baada ya Zuberi Mtemvu kukosana kisiasa na Mwalimu Julius Nyerere: Baada ya uhuru, Mwalimu Julius Nyerere aliendelea kushikamana na baadhi ya watu…

SOMA ZAIDI

Tusiruhusu amani ivurugwe nchini

TUPO kwenye kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu, tumuombe Mungu siku hiyo ikifika tupige kura kwa amani na kupata viongozi wetu kwa…

SOMA ZAIDI

Alichokifanya Nyerere baada ya Uhuru

Tunaendelea kuelezea habari ya Mwanasiasa Zuberi Mtemvu aliyepingana na Mwalimu Nyerere kabla ya uhuru: Kilichofuata baada ya kupatikana uhuru mwaka 1961 ilikuwa ni kukamatwa, kuwekwa…

SOMA ZAIDI