×

Spoti Xtra

Ajibu, Dante Waachwa Kuivaa Woylata Dicha ya Ethiopia

  YANGA imeingiza mastaa kadhaa kwenye kikosi kilichopaa alfajiri ya leo Jumapili, kwenda kuivaa Woylata Dicha ya Ethiopia, Jumatano ijayo...

READ MORE

Okwi: Mpaka Waombe Poo

STRAIKA namba moja wa Simba na mtupiaji tishio zaidi kwenye Ligi Kuu ya Bara msimu huu, Emannuel Okwi amesisitiza kwamba...

READ MORE

GAZETI LA SPOTI XTRA LAZIDI KUJIPANUA NCHINI

GAZETI la michezo la Spoti Xtra linalotolewa na Global Publishers Ltd, leo limeendelea kujipanua nchini kote ambapo wasomaji wengi wanajitokeza...

READ MORE

Eden Hazard Kujiunga na Real Madrid

WINGA wa Chelsea, Eden Hazard yupo kwenye kizungumkuti cha kubakia katika klabu yake au kujiunga na Real Madrid. Hazard mara...

READ MORE

Ronaldo Afananishwa Na Mvinyo

KOCHA wa Juventus, Massimiliano Allegri amemfananisha Cristiano Ronaldo na kinywaji cha mvinyo akisema kuwa kadiri umri unavyokwenda ndio anazidi kuwa...

READ MORE

Kocha: Sina Mpango Wa Kumbembeleza Iniesta

KOCHA wa Barcelona, Ernest Valverde amesema hana mpango wa kumshinikiza Andres Iniesta kubakia katika timu hiyo. Iniesta amewahi kukaririwa siku...

READ MORE

Kichuya Apewa Jukumu Zito Simba

BAADA ya kufanikiwa kuivuruga Singida United juzi, Mtibwa Sugar wamesisitiza kwamba hizo ni salamu tosha kwa Simba na kuwataka wajiandae...

READ MORE

Rekodi Simba Haijawahi Kutokea Miaka Mitano

SIMBA ya Mfaransa, Pierre Lechantre imevunja rekodi yake ya misimu mitano ya mabao baada ya kufunga mabao 51, huku wakiwa...

READ MORE

Spoti Xtra lazidi kuwatembelea wasomaji wake

Gazeti la Spoti Xtra  leo limendelea kupiga mzigo mtaani baada ya kuwatembea wasomaji wake wa eneo la Keko jijini Dar...

READ MORE

Spoti Xtra Ndiyo Habari ya Mjini, Watu Wanaibuka Washindi Kirahisi – Video

Gazeti bora la michezo Tanzania, Spoti Xtra linazidi kugawa zawadi za Headphone za Beats by Dre Original kutoka Marekani na...

READ MORE

Spoti Xtra Yamwaga Jezi kwa Wasomaji Wake

  Washindi wawili wa shindano la gazeti la Spoti Xtra la zawadi za Headphone za Beats by Dre Original kutoka...

READ MORE

Spoti Xtra Laendelea Kukimbiza Mtaani

TIMU nzima ya promosheni ya Gazeti la Spoti Xtra, leo Jumapili kama kawaida iliingia mtaani ambapo ilipofika mitaa ya Chanika...

READ MORE

Christian Eriksen Hafikirii Kuondoka Tottenham

KIUNGO wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen amesema hafikirii suala la kuondoka timu hiyo bali anawazia kushinda mataji.   Kiungo huyo...

READ MORE

Paul Pogba Kuihama Man United Mwishoni Mwa Msimu

  KUNA uwezekano mkubwa kwa Paul Pogba kuihama Manchester United mwishoni mwa msimu huu huku timu za Italia zikipewa nafasi...

READ MORE

Mzungu Wa Toto Abeba Vitanda Vyake

MFADHILI wa Toto Africans ambaye ni raia wa Ujerumani, Jurgen Seitz ameamua kuchukua vitanda ambavyo alikabidhi kwa klabu hiyo kutokana...

READ MORE

Spoti Xtra: Asanteni Kwa Kutukubali, Tunawaahidi Makubwa Zaidi Kila Jumapili

LEO ni toleo la 15 tangu Spoti Xtra tuingie mtaani Desemba 17 mwaka jana. Tunashukuru kwa kutuunga mkono tangu siku...

READ MORE

Simba SC Watenga Mechi Tano

KWA mujibu wa benchi la ufundi la Simba, wametenga mechi 5 ambazo zimebeba pointi zitakazowapa ubingwa. Simba ya Mfaransa Pierre...

READ MORE

Spoti Xtra Lilivyokimbiza Viunga vya Jiji la Dar leo (Picha + Video)

GAZETI bora la michezo linalokuja kasi la Spoti Xtra ambalo linatoka kila jumapili leo limezidi kukimbiza mitaani katika viunga mbalimbali...

READ MORE

Real, Atletico Kutifuana April 8

KIPUTE cha wapinzani wa jadi wa jiji la Madrid kinachozikutanisha Real na Atletico kitapigwa Aprili 8, mwaka huu kama ilivyopangwa...

READ MORE

Ishu Ya Wambura Inaonyesha Ni Jinsi Gani TFF Ilivyo

SOKA la Tanzania lilipata nafuu miaka kumi iliyopita pale lilipoanzishwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoka Chama cha Soka Tanzania...

READ MORE

Kila Mchezaji Simba Akosa Milioni Tano Misri, Baada Ya Suluhu

  BAADA ya Simba kutoka suluhu na Al Masry kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika jana na kutupwa nje...

READ MORE

Spoti Xtra Lilivyochangamkiwa Kibamba Mpaka Mloganzila

GAZETI bora la michezo linalokuja kasi la Spoti Xtra ambalo linatoka kila jumapili leo limezidi kukimbiza mitaani katika viunga mbalimbali...

READ MORE

Mwalimu Kashasha Awabonyeza Simba

MCHAMBUZI mahiri nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’ ameweka wazi kuwa Simba ina uwezekano wa mkubwa wa kuchukua ubingwa wa msimu...

READ MORE

Yanga: Tukishinda Kesho, Simba Wajiandae

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amesema kuwa endapo kikosi chake kitaibuka na ushindi kesho Jumatatu dhidi ya Stand...

READ MORE

Tambwe: Sikujua Tatizo Langu ni Zito

BAADA ya kufanyiwa upasuaji mdogo wiki iliyopita na kulazimika kupumzika, Amissi Tambwe anasubiri kuondolewa nyuzi tu kwenye goti. Tambwe alifanyiwa...

READ MORE

Niyonzima Ataiwahi Yanga Kabisa

DAKTARI wa Simba, Yassin Gembe amewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba wasiwe na wasiwasi, Haruna Niyonzima atarejea uwanjani baada ya...

READ MORE

Yanga Wakutana na Mishahara Taifa

WACHEZAJI wa Yanga juzi jioni mara baada ya mechi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, akaunti zao za benki...

READ MORE

Spoti Xtra Lilivyokimbiza Viunga vya Jiji la Dar Jana

Gazeti jipya la michezo linaloongoza kwa ubora la Spoti Xtra kama kawaida yake jana Jumapili liliendelea kukimbiza ambapo kikosi cha...

READ MORE

Wasomaji Wa Spoti Xtra Wazawadiwa Vitu Mbalimbali

Msomaji wa Spoti Xtra aliyelinunua huko Mwenge (kulia), Dar es Salaam, akipatiwa zawadi ya sabuni na muuzaji wa magazeti hayo....

READ MORE

Tambwe Afanyiwa Upasuaji Dar

MSHAMBULIAJI wa Yanga Amissi Tambwe raia wa Burundi atalazimika kukaa nje wiki mbili kutokana na upasuaji mdogo aliofanyiwa mwanzoni mwa...

READ MORE

KOCHA JULIO: TATIZO HAMUIJUI YANGA NYIE

KOCHA mwenye mapenzi ya dhati kwa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamka kwamba Yanga sio timu mbovu kama wengi wanavyodhani.  ...

READ MORE

Mfaransa Kuwashtukiza Mbao Taifa

KOCHA wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre amesisitiza kwamba wataishukia Mbao FC kesho Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa kwa staili ya...

READ MORE

Yanga Kuivaa Majimaji Mpya Leo Kwenye FA

MAJIMAJI huenda ikakumbana na kipigo cha kihistoria kama itatumia wachezaji wapya na ambao hawakuwahi kucheza kabisa mashindano kwenye kikosi chake...

READ MORE

WANANCHI WAZIDI KULICHANGAMKIA GAZETI LA SPOTI XTRA

Mkazi wa Mwenge (kushoto) Dar, akisoma gazeti la michezo la Spoti Xtra leo huku akiongozwa na mfanyakazi wa Global Publishers,...

READ MORE

Kocha Simba: Bocco Atakwenda Kuwavaa Gendarmarie Nationale

SIMBA kupitia kwa Kocha wao Msaidizi, Masoud Djuma wamesisitiza kwamba hata kama John Bocco anaumwa enka lazima awepo kwenye msafara...

READ MORE

Wasomaji wa Magazeti Waonjeshwa Utamu wa Spoti Xtra jijini Dar

  WASOMAJI wa magazeti ya Global Publishers, leo Februari 14, 2018 wameonjeshwa utamu wa Gazeti jipya la michezo la Spoti...

READ MORE

Kamusoko Ndiyo Kwanza Kaanza Upya

KIUNGO wa Kimataifa wa Yanga, Thaban Kamusoko raia wa Zimbabwe ameonekana bado kutokuwa fiti kutokana na kuongezewa muda zaidi wa...

READ MORE

Simba SC: Tunazuilika Na Naniii Kombe la Shirikisho

  SIMBA yenye rekodi za kipekee msimu huu nchini Tanzania, inarejea rasmi leo Jumapili kwenye Kombe la Shirikisho baada ya...

READ MORE

Spoti Xtra Lazidi Kuchanja Mbuga za Burudani Jumapili

KAMA kawaida ya siku za Jumapili, gazeti maarufu la Spoti Xtra liliendelea kuchangamkiwa na wananchi kutokana na habari zake mbalimbali...

READ MORE