×

Uwazi

Fedha za Majini Zilivyoniendesha Puta

ILIPOISHIA Kumekuwa na madai ya kuwepo kwa fedha za majini.Nimeshawahi kuoneshwa watu kadhaa na kuambiwa kuwa watu hao wametajirika kutokana...

READ MORE

Sisi tumeifanyia nini Tanzania?

RAIS wa 35 wa Marekani, John Fitzgerald Kennedy aliwataka wananchi wake wajiulize wao wameifanyia nini nchi yao, wasiishie kuuliza taifa...

READ MORE

Polisi mwanamke alivyoteketea moto na mchepuko wake

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI RUKWA: Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa kike, Atuganile Mwakibete (37) na mpenzi wake (mchepuko),...

READ MORE

Wasomaji Kigamboni Dar wachangamkia droo ya pili ‘Shinda Nyumba’

Ofisa Masoko wa Global Publishers,Yohana Mkanda (katikati) akiwavalisha kofia wasomaji wa Gazeti la Uwazi wa eneo la Kigamboni Feri jana...

READ MORE

Mwanamke akatwa titi gesti

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI KATAVI: Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Zuhura Salum, mkazi wa Mtaa wa Majengo, wilayani Mpanda,...

READ MORE

Wawili wafa kifo cha kutatanisha

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI SHINYANGA: Watu wawili wamefariki dunia kitatanishi wiki iliyopita baada ya kugusa waya wa kuanikia nguo katika...

READ MORE

Kigogo Dar alidai Uwazi Sh. Mil. 500

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam, Daudi Yakubu Adam ‘Kanyau’ (pichani) ameliandikia barua...

READ MORE

Utajiri kigogo NHC gumzo

Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Raymond Mndolwa. Stori: Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES...

READ MORE

Undani mwanafunzi Mbongo kudhalilishwa India

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI na mitandao DAR ES SALAAM: Lile sakata wa mwanafunzi wa kike Mtanzania (jina linahifadhiwa), kupigwa, kuvuliwa...

READ MORE

Mrembo ababuka uso afariki dunia, chanzo ni samaki

Agnes Haule akiwa amebabuka usoni baada ya kula samaki. Stori: Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Inasikitisha sana! Mrembo aliyejulikana...

READ MORE

Mimba ya Wema, Idriss apachikwa jina la Dk. Mwaka

Idriss Sultan Na Mwandishi Wetu, UWAZI MIMBA ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu inazidi kuzua ya kuzua kila kukicha baada...

READ MORE

Vigogo Wahaha Kuficha Mali Zao

Rais John Pombe Magufuli. Stori: Makongoro Oging’ UWAZI DAR ES SALAAM: Kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania, Taasisi ya Kuzuia na...

READ MORE

Afisa Maliasili adaiwa kulishwa sumu

Marehemu Doris Olotu enzi za uhai wake. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI ARUSHA: Ndugu wa Doris Olotu 47, (pichani)aliyefariki dunia Januari...

READ MORE

Msukule aliyekutwa kwa tajiri mengi yafichuka

Mume wa Upa akiwa na watoto wao. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Yule mwanamke ambaye gazeti hili lilitoa...

READ MORE

Mke atimuliwa msiba wa mumewe

Mke wa marehemu akilia kwa uchungu. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI D AR ES SALAAM: Mjane aliyejitambulisha kwa...

READ MORE

Mke Wangu Amenikimbia Baada ya Kuvunjika Kiuno, Kupasuliwa Kibofu

Stori: Na Makongoro Oging’,  UWAZI Kulwa Maganga (37) mkazi wa Mbande, Mbagala jijini Dar amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jengo...

READ MORE

Shela la Aunt lazua maswali tata

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa ndani ya gauni la harusi (shela). Stori: Imelda Mtema KUNASWA kwa msanii wa...

READ MORE

Polisi Buguruni hatarini

Polisi wa Kituo cha Buguruni jijini Dar wako hatarini baada ya kufungiwa huduna za kijamii kituoni hapo na aliyekuwa kigogo...

READ MORE

Maswali 9 ‘Msukule’ Kukutwa Kwa Tajiri (Picha+Video)

DAR ES SALAAM: Hofu imeendelea kutanda maeneo ya Kibamba jijini Dar na kuacha maswali tisa kwa wananchi kuhusiana na mwanamke...

READ MORE

Dereva Bajaj afa ghafla!

Marehemu Deogratius Mlawa enzi za uhai wake. Stori:  Suzan Kayogela, UWAZI DAR ES SALAAM: Inauma sana! Deogratius Mlawa, mkazi wa...

READ MORE

Mume amuua mke mjamzito!

Marehemu Clara Justin Munishi enzi za uhai wake. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Dunia katili! Clara Justin Munishi...

READ MORE

Mbunge aangua kilio msibani

Mbunge huyo akilia. Stori: Imelda Mtema, UWAZI DAR ES SALAAM: Ukimwona mtu mzima analia, ujue kuna jambo! Mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Mama alivyoua wanaye kwa sumu

Eliza Bugusi Steve, enzi za uhai wake. Stori: Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Mwanamke mmoja Eliza Bugusi Steven (28), mkazi wa...

READ MORE

Jocktan Maluli, Daniel Msirikale waibuka washindi Bongo Style

  Mshindi wa Ubunifu mitindo Jocktan Cosmas Maluli A.k.a Makeke(aliyeshika cheti) akiwa katika picha ya pamoja na  waratibu wa shindano...

READ MORE

Mawaziri wa JPM Waliotumbua Majipu Watetemesha Nchi

Waziri Mkuu  aongoza kwa maamuzi magumu Na Elvan Stambuli MAWAZIRI wa Serikali ya Awamu ya Tano yenye umri wa miezi...

READ MORE

Bomoabomoa Dar yaacha vifo, vilio

Muhanga wa bomoabomoa hiyo akiongea kwa uchungu. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Zoezi la bomoaboa...

READ MORE

Polisi: Benki bongo zimeajiri majambazi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, DCP Simon Sirro. Stori: Na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Usiombe yakukute, akumbwa na gonjwa la ajabu

Mashaka Andrea Malale akiwa na uvimbe mkononi mwake. Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah, UWAZI KAHAMA: Mashaka Andrea Malale (38),...

READ MORE

Gari la mchungaji Msigwa lazua balaa

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa. Stori: Na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Gari la kifahari linalodaiwa...

READ MORE

Bomoabomoa Dar yaacha vifo, vilio

Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Zoezi la bomoaboa ambalo limeikumba Jiji la Dar es Salaam...

READ MORE

Kalapina afungukia kumsifia Rais Magufuli

Kalama Masoud, ‘Kala Pina’. CHANDE ABDALLAH MKALI wa nyimbo za harakati na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupita tiketi ya Chama...

READ MORE

Linex kulamba shavu Sweden

Mkali wa Bongo Fleva Sunday Mjeda ‘Linex’. DEOGRATIUS MONGELA MSANII wa Muziki wa RnB, Mtanzania mwenye maskani yake nchini Sweden,...

READ MORE

Mtoto amuua mama’ke kisa wali

Mume wa marehemu akiwa pembeni ya mwili wa mkewe. Na Dustan Shekidele, UWAZI MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!...

READ MORE

Bosi zantel azikwa kwa tamko zito!

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa Kanisani kwa ajili ya kuombewa. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Tamko zito...

READ MORE

Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli, mazito yaibuka

Chacha Makenge. NA MWANDISHI WETU, Uwazi DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za...

READ MORE

Afanyayo Magufuli siyo mizani kwa Kikwete ni wajibu wake

Rais John Pombe Magufuli. Wale watu wenye umri mkubwa wanajua kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere alikuwa...

READ MORE

Hausigeli akutwa na maiti ya Kichanga cha Siku 2

Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Hii kali! Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’ Hadija Yusuf (23), mkazi wa...

READ MORE

Mchungaji adaiwa kukamatwa na madawa na kunyongwa China

Makongoro OGING’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Hatari! Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kudhibiti Madawa ya...

READ MORE

Mtoto augua, miaka 10 avimba kisogoni

Gabriel Ng’osha na Suzan Kayogela YA Mungu mengi! Hivyo ndivyo unaweza kusema ukimuona mtoto Joel Sabasi (11) mkazi wa Ifakara...

READ MORE

Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

Papaa Msofe akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Deogratius Mongela na Chande Abdallah, Uwazi DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu Kitengo...

READ MORE