×

Uwazi

Polisi kuuana Mwanza, mapya yaibuka

Na Mwandishi Wetu, UWAZI MWANZA: Bado Jiji la Mwanza limegubikwa na sintofahamu ya Polisi PC Daudi Elisha mwenye namba H...

READ MORE

Vigogo wauza unga wakamatwa

Na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: WALE vigogo wanaosadikiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ‘unga’ nchini...

READ MORE

Baba awachoma moto wanaye, kisa samaki

Ester Lucas akiwa na majeraha ya moto mkononi. NA VICTOR BARIETY, Uwazi GEITA: Baba mzazi wa watoto wawili, Lucas Petro...

READ MORE

Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli alazwa chini

Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili. Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZI DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa...

READ MORE

Kukamatwa Wasomali, Wahabeshi Dar si salama

Wakiwa katika hali ya sintofahamu. Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Hatari! Kufuatia kukamatwa kwa wahamiaji haramu...

READ MORE

Tumbua ya Magufuli hawa wamekwenda

Rais Dk. John Magufuli. Na WAANDISHI Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Kazi imeshika kasi! Mpango wa Rais Dk. John Magufuli...

READ MORE

Mchungaji amfungia mwanaye ndani miaka 12

Timotheo anayedaiwa kufungiwa ndani na wazazi wake kwa miaka 12. Na Mwandishi Wetu, UWAZI SINGIDA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste...

READ MORE

Aliyemchinja mama yake kisa ni hiki

Kijana Erasto Kilaini anayedaiwa kumuua mama yake. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Simulizi inauma! Baada ya Erasto Kilaini, 23,...

READ MORE

Matatani kwa kumpa kichapo Mbunge wa CCM

NA Mayasa Mariwata, UWAZI DAR ES SALAAM: Kimenuka! Mlinzi wa Kituo cha Mafuta cha Big Bon (wengine huita sheli) kilichopo...

READ MORE

Rukia: nateseka jamani

Na Chande Abdallah Rukia Kasende (63) mkazi wa Masasi, Mtwara ni mmoja wa wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean...

READ MORE

‘Shilingi milioni tatu zinaniua

Stori: Nyemo Chilongani Bado hali ya msichana aitwaye Ted Mallya (23) imeendelea kuwa mbaya kutokana na kukosa msaada wa kutosha...

READ MORE

Mwanamke wa unga jela miaka 20

Anna Gemanist Mboya. Na Makongoro Oging’ Mrembo wa madawa ya kulevya ‘unga’, Anna Gemanist Mboya mkazi wa Kijitonyama, Kinondoni jijini...

READ MORE

Dunia katili!

Mtoto Sabrina akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa maji ya moto na jirani kisa TV. Na Makongoro Oging’ UBINADAMU...

READ MORE

Mchungaji wa Mainda akamatwa

Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa. Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata VIBALI noma! Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa anayeendesha huduma ya Neno la...

READ MORE

A-Z aliyechinja mpenzi, watoto

Mtoto baada ya kufanyiwa unyama huo. Na Stephano Mango, SONGEA MAJONZI! Bado ni tukio baya sana kutokea katika Kijiji cha...

READ MORE

Watoto wa vigogo TRA wamiliki majumba mabilioni

Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA, Dk. Philip Mpango. Na Mwandishi Wetu KIMENUKA tena! Wakati Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiendelea...

READ MORE

Baraza la mawaziri; haijawahi kutokea

Nampongeza Rais Dk. John Magufuli kwa kuteua baraza dogo la mawaziri.Baada ya kutangazwa kwa baraza hilo wiki iliyopita, kama ilivyo...

READ MORE

‘Nisaidieni jamani, mishipa mwilini imepasuka’

Na Elvan Stambuli HATARI! Kelvin Msuya (28), mkazi wa Kijiji cha Kiyungi wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro yupo katika hatari...

READ MORE

Familia ilivyochinjwa

Na Victor Bariety, GEITA VILIO simanzi na majonzi bado vimetawala katika Kijiji cha Iteja mkoani Geita kufuatia watu watatu wa...

READ MORE

Apigwa, afa akidaiwa gauni la krismasi

Marehemu Eva Luhumba enzi za uhai wake. Na Francis Godwin, IRINGA DUNIA hii! Eva Luhumba (50), mkazi wa Ipogolo C,...

READ MORE

Shehe Ponda awaliza tena waislamu

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda. Na Makongoro OGING’ Katibu wa Jumuiya na Taasisi za...

READ MORE

Gari la mbunge latikisa TRA

Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Hillary Ngonyani ‘Maji Marefu’. Na Mwandishi Wetu TRA ya Magufuli! Gari la Mbunge wa Korogwe...

READ MORE

Aliyekuwa na Mtikila siku ya kifo afikishwa polisi!

Mchungaji Christophar Mtikila enzi za uhai wake. Mchungaji Patrick Mgaya (pichani) ambaye alikuwa na Mchungaji Christophar Mtikila siku anapatwa na...

READ MORE

Mke, mume wapofuka macho

Na Deogratius Mongela “Nilizaliwa mkoani Tanga miaka 60 iliyopita nikiwa na ulemavu wa macho (upofu), nikakulia katika mazingira magumu kwani...

READ MORE

Global Publishers sasa kutoa zawadi ya nyumba mpya

Nyumba inayoshindaniwa ni hii, inaweza kuwa yako. Na Daniel Mbega BAADA ya kujihusisha na misaada mbalimbali ya kijamii na kiutu,...

READ MORE

Siyo Magufuli tu, kila mtu awe mlinzi wa mali za umma

Mwalimu Julius Nyerere. MUNGU hapendelei ndiyo maana wote katuumba tuishi kwa kuvuta hewa ileile, miili yetu wanadamu wote ni sawa,...

READ MORE

Bodaboda wajeruhiwa, waandamana Maswa

Mmoja wa madereva hao akiwa na majeraha mgongoni. Na faraja mohamed MADEREVA pikipiki wanaofanya biashara ya kusafirisha abiria maarufu kwa...

READ MORE

Dereva achinjwa kikatili

Salum Masoud enzi za uhai wake.   Na Boniphace Ngumije INASIKITISHA! Salum Masoud (35), mkazi wa Kijichi, Rufiji mkoani Pwani...

READ MORE

Kashfa nzito

Wasomali wakiwa chini ya ulinzi. Makongoro Oging’ na Issa Mnally WAMENASWA! Jeshi la Polisi Kituo cha Buguruni kwa kushirikiana na...

READ MORE

Bi harusi amuua bwana harusi kwa kisu

Marehemu Geofrey enzi za uhai wake. Na Makongoro Oging’ MADAI MAZITO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar limesema linamshikilia...

READ MORE

Walioishi ardhini-2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Tulipozama tena umbali uleule tukasikia sauti zikisema; ‘jamani hatujafa, tuko hai.’ Tulizitambua sauti hizo ikabidi tuite majina...

READ MORE

ACT: Bila sera za kitaifa, Magufuli hatafika popote

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo,Samson Mwigamba. Na Boniphace Ngumije KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo,Samson Mwigamba amesema bila Rais...

READ MORE

‘Kigogo wa madereva ameuawa kwa sumu’

Rashid Saleh ambaye ni Naibu Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama cha Madereva Tanzania (Tadwu). Na Makongoro Oging’ YAMEIBUKA! Kifo...

READ MORE

Walioishi ardhini siku 41 simulizi yao inatisha

Mmoja wa wahanga hao akiwa hospitali. Na Idd Mumba, KAHAMA MWACHENI Mungu aitwe Mungu! Ndiyo lugha ya pekee inayoweza kutumika...

READ MORE

Watoto watatu wafia baharini wakiogelea

Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata SIMANZI! Watoto watatu wa familia tofauti wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, wamekufa...

READ MORE

Mtoto ajifungua mapacha walioungana

Tausi Hamdani akiwa na watoto wake mapacha walioungana. Na Haruni Sanchawa Hujafa hujaumbika! Mtoto mwenye umri wa miaka 17, Tausi...

READ MORE

Shehe: Magufuli aongezewe ulinzi

Rais John Magufuli. Na Elvan Stambuli KUTOKANA na hotuba kali na yenye matumaini aliyoitoa Rais John Magufuli mwishoni mwa wiki...

READ MORE

Yaliyomo katika Gazeti la Uwazi Novemba 24, 2015

KIGOGO WA MADEREVA AMEUAWA KWA SUMU! -Ni Rashid Saleh aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama cha Madereva Tanzania...

READ MORE

Mke: Mtikila alikabwa koo hadi kufa

ELVAN STAMBULI NA MAKONGORO OGING Dar es Salaam Asimulia mazito tena, apeleka waraka kwa rais Magufuli Georgia Mtikila: “Nguo zake...

READ MORE