×

Uwazi

KAFULILA: NILIVYOKUTANA NA MZIMU WA ESCROW

KUANZIA leo tutakuwa tunakuletea mfululizo wa tukio baya la kifisadi la Tegeta Escrow, litasimuliwa na mbunge wa zamani wa Kigoma...

READ MORE

Unajiaminishaje Kwamba Uliyenaye Anakupenda kwa Dhati?

NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...

READ MORE

MAMA Ajifungua, Amkimbia Mtoto Kimaajabu

MARA: Inasikitisha! Wakati watu wengi wakilia kukosa mtoto, Maria Samsoni (18), mkazi wa Kijiji cha Ogembo nchini Kenya, amekamatwa na...

READ MORE

WAJAWAZITO WAPATATISHIO JIPYA!

UPEPO wa maisha ya Maria na Consolata Mwakikuti, pacha walioungana ambao walifariki dunia hivi karibuni na kuzikwa mkoani Iringa baada...

READ MORE

ASLAY: Naishi Kama Roboti!

HITMAKER wa Ngoma za Nibebe na Kwa Raha, Isihaka Nassoro ‘Aslay’, amesema kuwa kutokana na muziki kuwa sehemu ya maisha...

READ MORE

Kafulila Kuchambua Sakata la Tegeta Escrow

ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema ataanza kuelezea kwa kina sakata lililotikisa nchi la kashfa ya Tegeta Escrow...

READ MORE

Lulu Diva Aibua Bifu na ‘Wauza Nyago’

MWANA-DADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wanamuziki wa kike Bongo wanaotengeneza ‘hit song’ kali, ameibua...

READ MORE

Amber Lulu Amsikitikia Mobeto

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago ‘video vixen’ Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amemfungukia mzazi mwenziye na mwanamuziki...

READ MORE

Sangoma Awafanyia Watoto Tukio Baya

MGANGA wa kienyeji ‘sangoma’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja na wateja wake, Peter Msambili na Zawadi Juma wanashikiliwa...

READ MORE

MWANAFUNZI AUAWA KINYAMA KWA VISU

MWANAFUNZI wa Chuo cha St. Joseph, Tawi la Luguruni jijini Dar aliyejulikana kwa jina la James John Tumati (pichani) aliyekuwa...

READ MORE

Kwa Heri Maria na Consolatha, Huu ni Zaidi ya Msiba – Video

MUNGU ni mwema na ni wa ajabu kwa sababu matendo yake ni makuu! Ukuu wake umejidhihirisha katika muujiza wa watoto...

READ MORE

Wizkid wa Bongo Amfungukia Amber Lulu

MKALI wa Ngoma ya Ibe na Sawala, Gib Carter ‘Wizkid wa Bongo’, amefungukia muuza nyago wa kwenye video za Kibongo...

READ MORE

Young Dee, Young Killer Uso kwa Uso Idd El Fitr Dar Live

WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ pamoja na David Genzi ‘Young...

READ MORE

Epuka Vyakula Hivi Ndani ya Mwezi wa Ramadhani

KUNA aina sita za vyakula na ulaji ambao mfungaji anashauriwa kuepuka ili kulinda afya yake wakati huu wa mfungo wa...

READ MORE

Baada ya Bongo Fleva,Belle 9 Kuimba Gospo

MKALI wa R&B pamoja na Muziki wa Bongo Fleva, Abedinego Damian ‘Belle 9’, huwezi kumtenga na wanamuziki wanaokimbilia ukongwe kwenye...

READ MORE

Dawa ya Kunasa Wezi Yazua Balaa!

WIKI kadhaa baada ya kuibuka kwa taharuki iliyosababishwa na kijana Salum Hamisi ‘Frank Joseph’ aliyedaiwa kunasiana na mzigo wa wizi...

READ MORE

Mlio Wapenzi, Katika Hili Mnajitafutia Mwisho Mbaya!

NI matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe zako za kila siku kama kawaida. Kwa wale waislam wenzangu...

READ MORE

AKIMBIWA KISA, UGONJWA WA KIFUA KIKUU

  MKAZI wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, Upendo William, amelalamikia kile alichodai kuwa kutelekezwa na mume wake wa...

READ MORE

Mlo Sahihi Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

  VYAKULA vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumteka Mwandishi Waanikwa, Wahenyeshwa

NYUMA ya tukio la utekaji na udhalilishwaji wa mwandishi wa habari wa kujitegemea jijini hapa, Lucas Myovera, kuna kesi mbaya...

READ MORE

Kadjanito: Christian Bella Alinishawishi Niache Gospel

UKIRUDI nyuma miaka sita kisha ukaulizia miongoni mwa wasanii wa kike waliokuwa wakitisa kwenye Muziki wa Bongo Fleva ni wazi...

READ MORE

Tende, Maji Zinavyofaa Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

VYAKULA vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya...

READ MORE

Wananchi Wasilishwe Vibudu; Serikali Isimamie Hilo

KITOWEO kinatumika na watu wengi mijini na vijijini, ni bidhaa inayohitaji kuwa safi na salama wakati wa utayarishaji wake kuanzia...

READ MORE

Ben Pol Apondwa Kisa Vazi Lake

MWANAMUZIKI anayekimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva, Benard Paul hivi karibuni amefungukia mashuti aliyopewa na mashabiki wake baada ya kuposti...

READ MORE

Undani wa Dogo Aliyenusurika Kufa Ndani ya Kontena

ZANZIBAR: Taharuki kubwa imetokea Kisiwani Unguja, Zanzibar juzi katika Bandari ya Malindi ambapo mtu mmoja aliokolewa kutoka ndani ya kontena,...

READ MORE

BALAA LA MVUA Maiti 3 Zaopolewa, Bado 9

MARA: Balaa la mvua! Baada ya watu 12 kusomwa na maji wakiwa kwenye mtumbwi katika Mto Mara uliopo mpakani wa...

READ MORE

Hivi Ndivyo Dawa Mpya Inavyozuia Ukimwi

  DAR ES SALAAM: Wengi hawajui hii dawa-kinga inayoanza kutolewa na Serikali kuzuia maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inafanyajefanyaje...

READ MORE

KANYE WEST Amrusha Msanii Bongo

STAA wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West, hivi karibuni kupitia ukurasa wake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliamua...

READ MORE

FAMILIA YA JOHN HECHE YAIKOMALIA POLISI

KUUAWA kwa mdogo wake Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche Suguta , marehemu Suguta Chacha Suguta (27), mkazi...

READ MORE

Ocean Road Yaondoa Hofu Upimaji wa Tezi Dume

WANAUME wengi wameonyesha wasiwasi wao na zoezi la upimaji wa tezi dume, wengi wakidai kwamba huwa ni wa udhalilishaji jambo...

READ MORE

Serikali: Marufuku Kuoa, Kuolewa Bila Kutoa Taarifa

SERIKALI ya Kata ya Nsalala, Tarafa ya Itwangi, mkoani Shinyanga vijijini imetunga sheria ndogo ya kutokomeza mimba na ndoa za...

READ MORE

MJANE TANGA ALIYEMLILIA JPM MAPYA TENA

MAPYA tena yameibuka kwa yule mwanamke aliyejitokeza mbele ya Rais Dk. John Magufuli kudai amethulumiwa mali na baadaye kufungwa miezi...

READ MORE

Winnie Mandela alikuwa shujaa au muasi?

    MKE wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela ambaye alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini...

READ MORE

Mauzauza Eneo la Ajali Iliyoua watu 26 Mkuranga

PWANI: Kufuatia watu 26 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya basi dogo (Hiace) lililokuwa likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani...

READ MORE

Aliyemuua Mkewe na Kumficha Mbuyuni… Undani ni Huu!

UNDANI wa mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida kugundulika na jeshi la polisi mkoani humo kuwa...

READ MORE

Dogo Janja: Sikuiogopa Basata!

ZIKIWA zimepita wiki mbili tangu aachie video ya ngoma yake ya Wayu Wayu, mkali wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo...

READ MORE

Binti: Nauawa Muda Wowote!

ROHO Mkononi! Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Samra Halfani, mkazi wa Mbagala- Kizuiani jijini Dar, yupo kwenye wakati mgumu akihofia...

READ MORE

Biashara Ya Viungo Vya Maiti Dar Yaibua Hofu

Hofu imetanda kufuatia kusambaa kwa taarifa kuwa kuna biashara ya viungo vya maiti inayofanyika kwenye maeneo ya makaburini, Uwazi linaripoti....

READ MORE

BABA MCHUNGAJI AMTOROKA MKEWE, AENDA KUOA ‘KIFAA’ – VIDEO

HII ni aibu ya baba mchungaji! Mchungaji wa Kanisa la Elgibbon Ministry lililopo Songwe mkoani Mbeya, Imani Kalinga amejikuta akipata...

READ MORE

MWANAFUNZI ATOWEKA SIKU 30, APATIKANA, AFARIKI

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mikocheni B, Khadija Ally Masoud (15), amefariki dunia Jumamosi iliyopita baada...

READ MORE