Exim Bank Yapanua Wigo Wake kwa Kuipokea Canara Bank Tanzania
Exim Bank Tanzania imekamilisha rasmi ununuzi wa Canara Bank Tanzania! Huu ni ununuzi wa tatu ndani ya miaka sita, ikizidi kuimarisha nafasi yake kama moja sekta muhimu za kibenki nchini.
Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Exim Bank, Jaffari Matundu (kati), pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha Shani Kinswaga (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Uwekezaji Kimkakati Sumit Shekhar, wakieleza namna ambavyo hatua hii itaboresha huduma za kifedha kwa wateja.
#EximBank #HudumaBoraZaKibenki #TunakuaPamoja #Ubunifu #UchumiImara


Comments are closed.