The House of Favourite Newspapers

Fahamu Kuhusu Kilicho Nyuma ya Matokeo ya Yanga 2-1 dhidi ya Simba Ngao ya Jamii 2022

0

 

Farid Musa akiwa katika harakati kwenye mchezo dhidi ya Simba

WATAALAM wanakuambia historia huwa inajirudia katika mchezo wa kwanza wa ngao ya jamii katika historia ya mpira wa Tanzania iliyofanyika Februari 17, 2001 Yanga illifunga Simba bao 2-1

 

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao mbili kwa moja dhidi ya mtani wake Simba, mabao yalifungwa kwa staili ile ile iliyotokea katika mchezo wa 2022.

 

Yanga katika mchezo huo wa ngao ya jamii iliyofanyika Februari 17 2001 ilifanya mapinduzi (comeback) baada ya Simba kuwa imetangulia kwa bao moja.

Fiston Mayele ndiye aliyeiangamiza Simba SC

Mabao katika mechi hiyo yalifungwa na Steven Mapunda huku magoli ya Yanga yakifungwa na Edibily Lunyamila na Ally Yusuph (Tigana).

 

Mwaka 2022 katika ngao ya jamii pia matokeo yalikua kama yale ya 2001.

 

 

Imeandikwa: Dunstan Mtili Erick kwa msaada wa Mitandao

Leave A Reply