The House of Favourite Newspapers

Kishindo cha Maokoto Ndani ya Kizibo Chazidi Kutingisha Kila Mahali

0

Kishindo cha Kampeni ya Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo kinazidi kusikika kwa wateja wa SBL ambapo washindi kibaao wanaendelea kujishindia zawadi za fedha taslimu.

 

Scola Dotto Mshindi wa Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo kutoka mkoani Tanga akipokea mfano wa hundi kutoka kwa mwakilishi wa SBL mapema wikiendi hii katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Tanga.

 

Tumaini Japhet (kushoto) Mkazi wa kata ya mganza wilayani kasulu akipokea mfano wa hundI ya tsh laki tano kutoka kwa Paul Arnold (kulia) mwakilishi wa SBL mkoani Kigoma.

 

Meneja mauzo wa Kampuni ya SBL mkoani Mbeya, Karolina Mwamaso (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi 500,000 kwa mshindi wa promosheni ya Maokoto inayoemndeshwa hiyo, Patrick Mrema wa jijini Mbeya katika hafla iliyofanyika New City Pub jijini Mbeya.

 

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Chalinze Mkoani Pwani Hadija Mng’ande akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Japhet Mwalisu (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Traveller Januari 13, 2024.

 

Mshindi wa Shindano la Maokoto linaloendeshwa na Kampuni ya bia za Serengeti lite, Serengeti SBL kupitia bia za Serengeti lite, Pilsner, Smir noff Ice, Guinness Smooth na Serengeti Lager Bw. Gracewell D Sewando akipokea hundi ya mfano ya shilingi Laki Tano (500,000) kutoka kwa Vaina James Meneja wa Airport Bar katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika Airpot Bar Wilayani Gairo Mkoani Morogoro.
Leave A Reply