Video: Hapatoshi Bungeni, Mijadala ya Bajeti, Wabunge Watoa Hoja Zenye Ujazo….
BUNGE la 12 mkutano wa saba kikao cha 45 kimeendelea leo bungeni, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuuliza maswali kwa serikali, na mawaziri kuyatolea majibu maswali hayo.