Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Anazungumza na Wahandisi Wanawake – “Tupo Kwa Ajili Yenu”-Video
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo julai 29, 2022, amezungumza na waandisi wanawake katika kongamano lao, na kusisitiza kuendelea na utaratibu wa kufanya makongamano hayo, kwani fursa kwa wanawake inazidi kupanuliwa.