The House of Favourite Newspapers

NBC Dodoma Marathon Kutikisa, Mamilioni Yatangazwa kwa Washindi

0
Maandalizi ya NBC Dodoma Marathon yamekamilika

TAYARI maandalizi ya kuelekea kwenye mbio za Kimataifa za NBC Dodoma Marathon, yamekamilika.

 

Ambapo kesho Julai 31 mwaka huu, takribani watu 5000, watakutana katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki mashindano hayo ya kimataifa, huku Mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Mh. Kassim Majaliwa.

Jukwaa likiwa tayari limekamilika kwa ajili ya Mashindano ya Marathon

Zawadi zitakazotolewa ni pamoja na mshindi wa mbio za kilometa 42 atajishindia kitita cha milioni 8 za kitanzania, huku mshindi wa kwanza wa kilometa 21 yeye atajishindia milioni 4 na mshindi wa mbio za kilometa 10 atapata milioni moja na nusu.

Leave A Reply