×

Mama Dangote Amkubali Aaliyah Awe Mkwe Wake, Amuahidi Ndoa Awe Mvumilivu

  Mama Dangote; ni mama wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz ambaye habari za ndani kabisa zinadai...

READ MORE

Chagua Namba, Rusha Kete na Ujipatie Mshiko wa Kutosha Kutoka Kasino ya Mtandaoni

Sloti Ya Titan Dice Anza wiki yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya...

READ MORE

AngloGold Ashanti Yaahidi Kuwekeza Zaidi Tanzania

NA MWANDISHI WETU AFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya AngloGold Ashanti, Dk. Alberto Calderon jana amekutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Tatizo Kwisha… Mkali wa Mabao Simba Mlangoni Anatoka Vipers SC ya Uganda, Kocha Afunguka

IMEFAHAMIKA kuwa Simba ipo katika mipango ya kumsajili mshambuliaji wa Vipers SC ya Uganda, Yunus Sentamu, ambaye raia wa Uganda....

READ MORE

Rais Samia Atajwa Kwenye Orodha ya Watu Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa katika orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa duniani., kwa mujibu wa jarida...

READ MORE

Nafasi ya Kazi KCB Bank,Bank Officer – Account Opening Centre

Bank Officer – Account Opening Centre Job Summary: The job ensures that all customer and account documents are accurately captured...

READ MORE

Chama Cha Mapinduzi Chaunga Mkono Maridhiano ya Kisiasa Nchini, Watoa Tamko – Video

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imekutana katika kikao chake maalumu Mei 22, 2022 chini ya Mwenyekiti...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Mei 25, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 24, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB Yatenga Bil 1 Kusaidia Wabunifu Wachanga

Benki ya NMB imetenga Sh. bilioni moja kwaajili ya kuwasaidia wabunifu wachanga waweze kuimarika na kuzifanya bunifu zao kuwa bora...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mbavu na Biashara United, Mayele Atetema Tena

KLABU ya Soka ya Yanga imeambulia matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Wanajeshi wa Mpakati Biashara United katika...

READ MORE

Serengeti Girls U17 Washinda kwa Kishindo Cameroon, Clara Luvanga Adhalilishwa

LICHA ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya Miaka 17 Serengeti Girls kushinda kwa mabao 4-1 dhidi...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Mbulu Aruka Sarakasi Bungeni

MBUNGE wa Jimbo la Mbulu Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi Bungeni ikiwa ni...

READ MORE

Ajali ya Gari na Treni Mkoani Morogoro Yasababisha Kifo cha Mtu Mmoja

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Fortunatus Musilimu amethibitisha kuwa mtu mmoja ambaye ni mmiliki...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa Risasi Akivua Samaki Eneo la Mgodi

MWANAUME aliyejulikana kwa jina la Hamis Mayunga (27) mkazi wa Kijiji cha Dulisi wilayani Kishapu ameuawa kwa kupigwa risasi na...

READ MORE

Chadema Yatoa Tamko Zito, Yataka Kukamilika kwa Katiba Mpya Kabla ya 2025

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake John Mnyika kimetoa taarifa juu ya mazungumzo ambayo Cham...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kuelekea Nchini Ghana kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara...

READ MORE

Ajali Imetokea Morogoro Baada ya Gari Kugonga Behewa la Treni

AJALI mbaya imetokea inayohusisha gari aina ya TOYOTA PICKUP lenye namba ya usajili T 840 DQF lililokuwa likitokea maeneo ya...

READ MORE

Askofu Adaiwa Kupotea Katika Mazingira ya Kutatanisha

Mke wa Askofu Mulilege Kameka marufu Mzee wa Yesu, Greena Mkoma alipokuwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani ).    ...

READ MORE

VIDEO: WABUNGE WANAIBANA SERIKALI KWA HOJA NZITO, MAWAZIRI WANAPANGUA, BUNGE LA 12-VIDEO

BUNGE la 12, vikao vyake vinaendelea leo Mei 23, 2020 Bungeni jijini Dodoma. Ni kipindi cha maswali na majibu ambapo...

READ MORE