×

LIVE: BUNGE LIMEPAMBA MOTO, WABUNGE WANAIULIZA SERIKALI MASWALI MAGUMU

KARIBU utazame kikao cha Bunge la 12, leo Mei 30, 2022 wabunge wanaendelea na utaratibu wa kawaida wa kuibana Serikali...

READ MORE

Viongozi Wizara ya Michezo Watembelea Kambi ya Twiga Stars

VIONGOZI wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, wakiongozwa na Waziri Mohammed Mchengerwa, wametembelea kambi ya Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Tasisi ya Jessy Foundation Yatoa Msaada Kituo Cha Watoto Yatima

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Hidaya Mtaremwa mkazi wa kibada wilaya ya kigamboni Dar ea salaam amefunguka na kusema...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ashinda Tuzo ya Mtendaji Bora Barani Afrika 2022

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, mwishoni mwa wiki alitangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Nbc Yaandaa Chakula cha Jioni Kwa Ajili ya Wateja Wake,Wajadili Matarajio ya Mbele

BENKI ya NBC yaandaa Chakula cha Jioni kwaajili ya wateja wake katika hoteli ya Hyatt  Regancy  the Kilimanjaro jijini Dar...

READ MORE

Mambo 10 Yaliyochangia Ubingwa wa Man City Premier 2021/22 …Soma Hapa

MANCHESTER City ilifanikiwa kutwaa taji la Premier League kwa msimu wa pili mfululizo wikiendi iliyopita chini ya Kocha Pep Guardiola....

READ MORE

Putin Ahimizwa Kufanya Mazungumzo ya Moja kwa Moja na Rais wa Ukraine Zelensky

Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamemhimiza Vladimir Putin wa Urusi kufanya mazungumzo ya moja kwa moja  mazito na rais wa...

READ MORE

Mkurugenzi Mo Green International Afunika Mbaya Tamasha la Wafia Dansi

    USIKU wa kuamkia leo mashabiki wa muziki wa dansi walifurika Viwanja vya Gwambina Lounge zamani TCC Chang’ombe, Dar...

READ MORE

Diamond Apiga Shoo ya Kibabe Mwanza, Manara Apanda Stejini – (Picha+Video)

  Usiku wa kuamkia leo Mei 29, 2022 staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amefanya shoo yake katika...

READ MORE

Kisa Simba, Mshambuliaji Cesar Manzoki Agoma Kubaki Vipers ya Uganda – Video

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni kuwa, Mshambuliaji wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, amegoma kusaini mkataba aliopatiwa na...

READ MORE

Zuchu Ambembeleza Diamond Jukwaani Mwanza, Mahaba Kama Yote.. Video

 Zuchu na Dianond wanepafomu pamoja katika show ya Diamond iliyofanyika usiku Jijini Mwanza, huku mastaa kibao wakihudhuria.. ⚫️ SIKILIZA...

READ MORE

Video: Picco Kikongwe Awa Teja – ”Nilitoa Machozi Niliposikia Nimekufa” | Mapito

 KARIBU kwenye kipindi cha MAPITO, Leo tumetembelewa na Staa mkongwe Bongo PICCO KIKONGWE aliyejipatia umaarufu kwa wimbo wake wa...

READ MORE

Ahmed Ally Aishiwa Maneno Baada Ya Kutinga Dar Usiku, Ataja Ujumbe Wa Mo Dewji.. -Video

 Simba SC wamewasili Dar wakitokea Mwanza baada ya kuchezea kichapo cha goli moja na Yanga katika mchezo wao wa...

READ MORE

Liverpool Watokwa na Machozi Baada ya Kushindwa Katika Fainali ya Kombe la Mabingwa

Msimu mzuri wa Liverpool uliwahi kutoa matarajio ya kuvutia matumaini ya kushinda mataji manne na kuisha katikati ya machafuko ya...

READ MORE

Mo Awapongeza Yanga, Ataka Uamuzi Mgumu Ufanyike Simba Kusonga Mbele

Baada ya mchezo huo, Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji, aliandika kwenye mtandao wa kijamii kwamba: “Hongereni watani! Huu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Swissport Yatangaza Gawio Kwa Wanahisa Wake la Sh. 29.8

Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ya swissport imetangaza gawio kwa wanahisa wake la Shilingi 29.8 kwa hisa kwa mwaka 2021...

READ MORE

Benki ya Exim Yakabidhi Msaada wa Madawati 100 Shinyanga

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la FA, Yamsubiri Azam au Coastal Union

KLABU ya Yanga imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuifunga klabu ya Simba kwa jumla...

READ MORE