×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Nafasi za Kazi 45 Tanzania Revenue Authority (TRA), Customs Officer II

POST CUSTOMS OFFICER II. – 45 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES HR & ADMINISTRATION...

READ MORE

SBL Yapanua Fursa za Kilimo kwa Wanafunzi wa Vyuo

MOSHI.Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeendeleza malengo yake ya kuongeza tija kwenye kilimo kwa kutoa fursa zaidi kwa wanafunzi...

READ MORE

Nmb Yatia Mkono Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR

  Kama ilivyokuwa katika miradi mbalimbali ya kimkakati, Benki ya NMB imeendelea kuwa mstari wa mbele kwenye kutoa ushirikiano kwa...

READ MORE

Simba Yapiga Marufuku Mashabiki Kupiga Tochi Mechi dhidi ya Orlando Pirates

UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na...

READ MORE

Pakistan Yapata Waziri Mkuu Mpya, Anaenda Kuchukua Nafasi ya Yule Waliyemtimua

BUNGE la Pakistan leo limepiga kura kumchagua Waziri Mkuu mpya wan chi hiyo kufuatia kuondolewa kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Mpya...

READ MORE

Rais Wa Ufaransa Aongoza Kura Duru ya Kwanza ya Uchaguzi, Atahadharisha Wafuasi Wake

RAIS  wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha wafuasi wake kwamba bado wana safari ndefu ya kuibuka na ushindi licha ya kuongoza...

READ MORE

Gwajima Awasha Moto Bungeni – “Tutapata Rais wa Ajabu Tudondokee Pua, Hatutaamini”-Video

“NCHI hii imekosa maono kabisa, kila Rais akiingia anafanya mambo yake anaacha mipango aliyoikuta.Tunahitaji Rais mwenye maono kwa sababu tunahitaji...

READ MORE

Kinana Akutana na Balozi wa Marekani, Uhusiano Kati ya Tanzania na Marekani Kuimarishwa

MAKAMU  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM-Bara), Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Balozi wa Marekani nchini, Donald Wright,  jijini...

READ MORE

Kufuru! Harusi ya Mtoto wa Beckham Yagharimu Bil. 8, Watu Maarufu Wahudhuria

HARUSI ya Brooklyn Beckham; mtoto wa mwanasoka mstaafu wa Uingereza, David Beckham iliyofanyika wikiendi iliyopita imegharimu Dola za Kimarekani milioni...

READ MORE

Majeshi ya Ukraine Yatungua Ndege ya Urusi, Yatuma Salamu za Shukrani Uingereza

KATIKA hali ya kufurahishwa na maendeleo ya vita yao dhidi ya majeshi ya Urusi Yuriy Kochevenko moja ya wanajeshi wa...

READ MORE

Mume wa Mwimbaji wa Ekwueme Akamatwa na Polisi Kujibu Tuhuma za Mauaji

  MUME wa mwimbaji wa nyimbo za Injili wa Nigeria, Osinachi Nwachukwu aliyefariki dunia Ijumaa katika hospitali jijini Abuja, amekamatwa...

READ MORE

PM Majaliwa Azindua Teleza Kidigitali Ya NMB

BENKI ya NMB, imefanya mapinduzi makubwa ya kibenki ambapo imezindua huduma kubwa tatu kupitia kampeni yake ya Teleza Kidijitali zinazomwezesha mteja wa benki hiyo...

READ MORE

Utata Waibuka Kifo cha Mwimbaji wa Ekwueme, Dada wa Marehemu Atoboa Siri

JUZI zimeibuka taarifa za kifo cha Osinanchi Nwachukwu ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za dini kutoka nchini Nigeria aliyejizolea umaarufu...

READ MORE

Serikali ya Tanzania Yaingia Ubia na Aga Khan Kukabiliana na Ugonjwa wa Saratani

WAZIRI wa Afya Ummy awataka watanzania kuacha dhana ya kwenda kwa waganga wa kienyeji na badala yake waende hospitali kupima...

READ MORE

Manchester City Waendelea Kung’ang’ania Kileleni mwa Msimamo wa EPL

BADO Manchester City ni vinara wa Ligi Kuu England wakiwa wametofautiana pointi moja na wapinzani wao Liverpool.   Zote zimecheza...

READ MORE

Kesi ya Zuma Kunguruma Leo, Barabara Zafungwa Hofu ya Maandamano Ikitanda

BARABARA kadhaa zimefungwa karibu na mahakama ya Pietermaritzburg huku kesi ya ufisadi inayomkabili Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob...

READ MORE

Wabunge Wanaibana Serikali Kwa Maswali, Bunge La 12, Mkutano Wa 7 Kikao Cha Nne…Video

Bunge la 12, mkutano wa saba, kikao cha nne kinaendelea Bungeni Dodoma leo Aprili 11, 2022. 

READ MORE