×

Pablo Aweka Mkakati Mzito Robo Fainali Caf

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa hesabu zao ni kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika michezo yao iliyosalia...

READ MORE

Siri 2 za msako wa ubingwa Yanga SC zafichuka

KAMA unafikiri Yanga wana mpango wa kushuka kutoka nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi kuu, basi umejidanganya na ndio...

READ MORE

Polepole Ang’oka Bungeni, IGP Siro Mguu Nje, Wanasubiri Maziko Muuza Madini Siku 70 | Front Page-Video.

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Nafasi ya Kazi ICAP, Project Director

Tanzania HIV Impact Survey (THIS) Project Director (1 position) Job no: 496181 Position type: Regular Full-Time Location: Tanzania – Dar...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Machi 14 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne, Machi 15, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 15, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Prisons wajikoki kiafande kuikabili Biashara

KIKOSI cha Tanzania Prisons, kimejiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Biashara United utakaochezwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa CCM...

READ MORE

Spika Tulia Awatembelea Prof. Jay na Mama wa Halima Mdee

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Machi 14, 2022 amewatembelea na...

READ MORE

Magari 1,527 Yenye Ving’ora Yakamatwa

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilbrod Mutafungwa amesema Polisi imefanikiwa kuyakamata magari 1,527 yakiwa na vimulimuli au ving’ora kinyume...

READ MORE

Diamond: Naweza Kufanya Shoo na Kiba

Supastaa wa muziki Bongo anayetamba na EP yake ya FOA, Diamondp Platnumz kwenye mahojiano na Wasafi FM leo Machi 14,...

READ MORE

Hawa ‘Vivo’ Wana Balaa, Wazindua Simu Nyingine V23 E, Ni Kali Kinoma-Video

KAMPUNI ya Vivo leo Machi 14 katika studio za +255 Global Radio Imezindua rasmi aina mpya ya simu Vivo V23e,...

READ MORE

Leseni Maudhui ya Mtandao Bei Yapungua

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali...

READ MORE

Nape: Haikuwa Sawa Kulazimisha Viongozi Kununua Laini za TTCL

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwamba haukuwa utaratibu sahihi kuwalazimisha viongozi wa serikali kumiliki...

READ MORE

Nape: Tukatae Kuitwa Wanyonge

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewataka Watanzania kuachana na dhana ya unyonge kwani kauli ya...

READ MORE

Majeshi ya Urusi Yamuua Katibu wa Zamani wa Brovary, Ukraine

Meya wa Jiji la Brovary lilipo nchini Ukraine, Ihor Sapozhko kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook amethibitisha...

READ MORE

Azam Yatua Lindi Kibabe

KIKOSI cha Azam FC, kimeshuka mkoani Lindi, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Namungo utakaochezwa keshokutwa Jumatano....

READ MORE

Wanajeshi Wengine Wafunga Ndoa Vitani Ukraine

Wanajeshi wawili wa Ukraine ambao walikutana vitani mwaka 2015, wameamua kufunga ndoa wakiwa uwanja wa vita ambapo vikosi vyao vinaendelea...

READ MORE

Adebayor, Moses Phiri waiteka Simba

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba kwa sasa ni taarifa za rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji, kufungukia...

READ MORE