×

Ajali Yaua 22 Morogoro, Rais Samia Awalilia -(Picha +Video)

WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi Akiwa huko, Waziri Mkuu atamwakilisha Rais...

READ MORE

Muhimbili Kuanzisha Benki ya Maziwa

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, inatarajia kuanzisha benki ya maziwa ya binadamu. Akizungumza leo Ijumaa Machi 18, wakati wa ziara ya...

READ MORE

Mbowe Ataja Mambo Matatu Aliyozungumza na Rais Samia – Video

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametaja mambo matatu waliyozungumza na Rais Samia Suluhu Hassan walipokutana Machi 4, 2022 baada ya...

READ MORE

Mawazo mazito ya Diamond

  HABARI ya mujini na anga za mitandao ya kijamii ni ngoma ya Nawaza ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond.” Mashairi...

READ MORE

Katibu Mkuu Wa CCM Anazungumza Muda Huu, Mwaka 1 Wa Rais Samia-Video

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022, amezungumza na Waandishi wa Habari kwenye...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Rais Banda

Rais Hakainde Hichilema wa Zambia, jana, Alhamisi, Machi 17, 2022 ameongoza waombolezaji kwenye mazishi ya Kitaifa ya Rais mstaafu wa...

READ MORE

Mzozo wa Ukraine: Afisa wa China Akutana na Balozi wa Urusi – Live Updates

Afisa wa wizara ya mambo ya nje ya China alikutana na balozi wa Urusi nchini China siku ya Alhamisi ili...

READ MORE

Kocha Lampard Avunjika Mkono Kisha Kushangilia Ushindi

FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Everton amesema kuwa amevunjika mkono wakati wa kushangilia bao la ushindi timu yake ilipokuwa ikicheza...

READ MORE

Chadema Kuchagua Warithi wa Mdee, Wenzake

KUSUKA au kunyoa kwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘Chadema’ uamuzi wake upo mikononi...

READ MORE

‘Steve Nyerere Baiskeli Hajui Ndege Ataweza’

TUANZE mjadala polepole! Hivi tangu uzaliwe umeshawahi kusikia msanii Steve Nyerere akipiga gita au kurekodi singo ya muziki?   Umewahi...

READ MORE

Nafasi ya Kazi TFS, Account Assistant

POST ACCOUNTS ASSISTANT II – 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Tanzania Forest Services (TFS) Agency APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

Burudani Ya Wikiendi Ipo Kwenye Laliga, Nyasi Zitaumia!

Msimu wa 2021/22 unaendelea kushika kasi. Wikiendi hii ni EPL, LaLiga, Ligue 1, FA Cup na Copa Diego Maradona kutimua...

READ MORE

Mwaka 1 Wa Rais Samia Atoa Ya Moyoni Kifo Cha Magufuli-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Simba Wataja Kifaa Kilichowamaliza Berkane Dar

BAADA ya kupata pointi tatu za nyumbani, uongozi wa Simba umeibuka na kumtaja kiungo wao mkabaji Jonas Mkude ndiye aliyekuwa...

READ MORE

Nabi Afunga Hesabu Mapema

NJE ya uwanja, tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amewamaliza wapinzani wake, KMC wenye maskani yao Kinondoni, Dar...

READ MORE

Simba Wanaitaka Kweli Fainali Shirikisho Afrika

HUKU wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wao wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya...

READ MORE

Simba Yawaingiza Chaka ASEC Mimosas

WAPINZANI wa Simba, ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast, wajiandae kukutana na sapraizi mara watakapokutana katika mchezo ujao wa Kombe...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Machi 18, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE