×

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Machi 3, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 3, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Pesa za Zawadi Nmb Mastabata Zabaki Mil 100

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata inayoendeshwa na Benki ya NMB, umezidi kushika kasi kuelekea ukingoni baada ya...

READ MORE

Kikwete Ateuliwa SADC

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Jopo Wazee wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Live: Urusi Yadai Kuuteka Mji wa Kherson

SERIKALI ya Urusi inadai kuwa imeudhibiti kabisa Mji wa Kherson uliopo Kusini mwa Ukraine, ukiwa ndiyo mji wa kwanza kudhibitiwa...

READ MORE

Mabomu Ya Vacuum Tishio Ukraine

  SIKU chache zilizopita, Balozi wa Ukraine katika Umoja wa Mataifa, Oksana Markarova aliilalamikia Urusi kuwa inatumia mabomu hatari ya...

READ MORE

Kiiza: Huyu Mayele Atafunga Sana Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza‘Diego’amemuangalia straika waYanga, Mkongomani, Fiston Mayele na...

READ MORE

Wanajeshi Urusi Waishiwa Mahitaji Muhimu

KAMPUNI ya kijasusi ya ShadowBreak ya nchini Uingereza, imedai kwamba imenasa mawasiliano kati ya wanajeshi wa Urusi waliopo uwanja wa...

READ MORE

Nabi Ataja Kinachomnyima Mabao Makambo Yanga

KWA mara ya kwanza Kocha Mkuu waYanga, Mtunisia Nasreddine Nabi ameibuka na kutaja sababu inayomfanya mshambuliaje wake Heritier Makambo kushindwa...

READ MORE

Wakili: Makonda Hakupewa Taarifa Kuitwa Mahakamani

WAKILI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito...

READ MORE

Darleen: Sijui Kama Bado Nipo Naye

MWANAMUZIKI Mwanahawa Abdul Juma almaarufu Queen Darleen amefunguka kuhusu ndoa yake na mfanyabiashara Isihaka Mtoro. Queen Darleen ambaye ni dada...

READ MORE

Ndoa ya Zari na GK Choppa Yanukia

SIYO stori kwamba ‘baby mama’ wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady yupo kwenye penzi...

READ MORE

Watu 21 Wauawa Katika Shambulizi la Makombora Kharkiv

Takriban watu 21 wameuawa na wengine 112 kujeruhiwa katika shambulio la makombora katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine,...

READ MORE

Mwijaku: Siiamini Ndoa Ya Diva

  MTANGAZAJI wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku amedai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa...

READ MORE

Meli Iliyobeba Magari Ya Kifahari 4,000 Yazama Ureno

Meli ya mizigo iliyokuwa imebeba magari ya kifahari takribani 4,000, imezama katika Visiwa vya Azores nchini Ureno, zikiwa zimepita wiki...

READ MORE

Baba Askofu Ludovic Minde Ahudhuria Mkutano wa Sinodi ya Maaskofu 2021-2023

    LEO Machi 2 katika nyumba ya mapadri lenguo Halmashauri ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Baba Askofu Ludovic Minde...

READ MORE

Zari Ndoa Yanukia

SIYO stori kwamba baby mama wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady yupo kwenye penzi...

READ MORE

Nandy Achukua Likizo Ya Muziki

KAMA wewe ni mtalii kwenye mitandao ya kijamii, pasi na shaka utakuwa umekutana na jina la Nandy ambaye ni supastaa...

READ MORE

Urusi Yatoa Vitisho; Kimbieni Au Bakini Mfe

Maelfu ya wakazi wa Jiji la Kyiv ambalo ndiyo Mji Mkuu wa Ukraine, wanaendelea kuukimbia mji huo ikiwa ni muda...

READ MORE