×

Wachangia Damu Kutambulika Kwa Kadi Za Kieletroniki

SERIKALI kupitia wizara ya Afya imejipanga kutoa kadi za kieletroniki kwa wachangiaji damu wanaojitolea mara kwa mara angalau mara tatu...

READ MORE

Askari 3 Wanaotuhumiwa Kumuua George Floyd Wakutwa Na Hatia

Mahakama nchini Marekani hatimae imewakuta maafisa watatu wa polisi wa zamani wa Minneapolis na hatia ya kukiuka haki za kiraia...

READ MORE

Mayele Atangaza Kuifuata Simba Kimataifa

MSHAMBULIAJI tegemeo hivi sasa Yanga, Mkongomani Fiston Mayele, amesema kuwa malengo yao ni kucheza michuano ya kimataifa, mwakani baada ya...

READ MORE

Majeshi Ya Urusi Yaingia Mji Mkuu Wa Ukraine, Kiev

Milio ya risasi na makombora imesikika katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kiev huku vifaru vya kivita vyenye bendera za Urusi...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lakamata Watu 12, Wizi Kwa Njia Ya Mtandao – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu 12 wanaofanya wizi kwa njia ya mtandao pamoja na...

READ MORE

Rais wa Ukraine Ashutumu Viongozi wa Ulaya Kwa Kutochukua Hatua

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anawashutumu viongozi wa Ulaya kwa kutochukua hatua za kutosha kupunguza kasi ya Urusi kuvamia nchi...

READ MORE

Baridi Lawatesa Mastaa Simba Morocco

MARA baada ya kutua jijini Casablanca, Morocco, wachezaji wa Simba wamelalamikia hali ya hewa ya baridi kali lililopo nchini humo....

READ MORE

Fainali ya UEFA Yahamishwa Kutoka Urusi Hadi Paris

Fainali ya Ligi ya Mabingwa 2022 itachezwa jijini Paris baada ya Urusi kuvuliwa uwenyeji wa mechi hiyo kufuatia uvamizi wa...

READ MORE

Uwoya afyatuka kuitwa jini

IRENE Pancras Uwoya au Mama Krish ni mwigizaji mkubwa wa Bongo Movies ambaye amefyatuka kwa ukali akisema kuwa, hakuna kitu...

READ MORE

TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko kwa Watanzania waishio Ukraine

Taarifa ya Serikali ya Tanzania kuhusu Watanzania waishio Ukraine na kile kinachoendelea.

READ MORE

Ukraine Yaomba Msaada Kukabiliana na Urusi

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jingine kwa washirika wa nchi za Magharibi kuisaidia Ukraine na kukomesha mashambulizi ya...

READ MORE

Tigo Wazindua Awamu ya Pili Mradi wa “Tigo Green For Kili, One Step One Tree” Kilimanjaro

    KILIMANJARO, Ijumaa, Mei 25, 2021 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania kwa utoaji wa huduma za kidijitali, Tigo Tanzania,...

READ MORE

Kili Marathon Yatangaza Barabara Zitakazofungwa Moshi Jumapili

  BAADHI ya barabara ndani ya manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, zinatarajiwa kufungwa ili kutoa nafasi kwa washiriki wa mbio...

READ MORE

Sakata la Mondi kutumia Bendera ya Ubaguzi, Wakazi, Sallam Wafikia Pabaya

LILE sakata la supastaa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz kutumia bendera inayoashiria masuala ya ubaguzi wa rangi katika video yake...

READ MORE

Fainali Carabao Cup: Chelsea Hakubali Kukaa Kwa Majogoo

Majogoo watawika mbele ya Chelsea? Wikiendi ya kibabe inakuletea soka bomba kutoka ligi mbali mbali ulimwenguni. Mida ya ya kuchakata...

READ MORE

Kutoka Ukraine: Mtanzania Aliyepo Huko Azungumza -Video

 Mtanzania aliyepo Nchini Ukraine kimasomo, amezungumza akiwa kwenye handaki na chombo cha habari cha nchini Marekani, VOA ambapo ameeleza...

READ MORE

Dunia Yatikisika Vita Ya Russia Kutikisa Uchumi-Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Simba Yatoa Onyo Kali Kwa Wapinzani Wao

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umetoa onyo kali kuwa wapinzani wao wasifikiri ratiba ya mashindano ya kimataifa itawapotezea hesabu walizonazo...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Februari 25, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 25, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE