×

Mbaroni kwa Kuiba Biblia Mbili

Mwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu...

READ MORE

Ligi ya Tanzania Yaingia Top 10 Afrika

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza orodha ya Ligi Bora duniani kwa mwaka...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa IFC, Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 3, 2021 amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji...

READ MORE

Aliyeua kwa Kisu Vingunguti Akiri Kosa, Aachiwa Mahakamani

Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemwachia huru mfanyabiashara Steven Aloyce mkazi wa Vingunguti kwa masharti ya kutotenda...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea Kimaajabu Apatikana, Hakumbuki Chochote

IDRISSA Mkenge (16), mkazi wa Magomeni, mkoani Dar es Salaam, ambaye alikuwa anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoripoti shuleni...

READ MORE

Mvuvi Apambana na Mamba Kuokoa Nyavu Zake

MTU mmoja amepigana vita vikali dhidi ya mamba katika harakati za kuokoa wavu wake wa kuvulia samaki nchini Msumbiji.  ...

READ MORE

Kiba Awalaza Watu na Viatu

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anadaiwa kuwalaza na viatu mahasimu wa kimuziki baada ya kufanya maajabu makubwa. Achana na...

READ MORE

Pablo Aanza na Kagere, Mugalu

SHAUKU ya kupata mabao ya Kocha Mkuu wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco, imemfanya aanze kuitengeneza safu ya ushambuliaji...

READ MORE

Onyango, Morrison Wekwa Sokoni Simba

MAMBO ni magumu kwa sasa ndani ya Simba kutokana na mwendo wa kusuasua hasa kwenye matokeo waliyopata kwenye mechi tatu...

READ MORE

Makonda Kusakwa

MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Prisons Wapo Tayari Kuwakabili Simba

LIGI Kuu ya NBC Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea jioni ya leo Alhamasi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...

READ MORE

Best 20 Mastaa Waliokomba Mirahaba ya Nguvu COSOTA

SERIKALI ya Tanzania kupitia Chama cha Haki Miliki (COSOTA) imeanza zoezi la ugawaji wa mirabaha kama alivyoagiza Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mwijaku: Sasa Hivi Msinifananishe na Baba Levo

MTANGAZAJI, mwigizaji na Mhamasishaji wa Klabu ya Simba, Mwijaku anasema kuwa, baada ya kutajwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Usajili Kilimanjaro Marathon Kufungwa Jumatatu

  Huku zikiwa zimebaki takriban wiki tatu tu kabla ya kufanyikka kwa mbio za 20 za Kilimanjaro Premium Lager Marathon...

READ MORE

Naibu Spika wa Bunge Kuchaguliwa Februari 11

Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi ametangaza nafasi ya Naibu Spika wa Bunge kuwa wazi akivitaka vyama vyenye uwakilishi bungeni kuteua...

READ MORE

Mrembo wa ‘Utu’ ya Kiba Afunguka Pesa Anayolipwa

MREMBO maarufu kwa kuuza sura kwenye nyimbo za wasanii Bongo, Nana Dollz ambaye ameing’arisha Video ya Utu ya King Kiba...

READ MORE

Kichwa cha Mlinzi Aliyeuawa Chapatikana, Muuaji Naye Mbaroni

JESHI la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Raymond Mollel ammbaya amekamatwa kwa tuhuma za mauaji...

READ MORE

Rais Mwinyi Atumbua Watano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi watano wa idara...

READ MORE

Mradi wa Maji Kichefuchefu Wamchefua Shigongo

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametaka majibu ya Serikali kuhusu mradi mkubwa wa maji Lumeya, Nayakaliro, Kalebezo hadi Nyehunge...

READ MORE

Shabiki wa Simba Ajaza Rundo la Magazeti ya Championi, Spoti Xtra

OMARY Kivunja Ndamba siyo jina geni sana kwa wakazi wa mitaa ya Chang’ombe Unubini B Temeke Dar es Salaam, yeye...

READ MORE