×

Haaland; Mtambo Halisi ya Mabao

AKIWA na miaka 21 tu Erling Braut Haaland anazidi kuitikisa dunia wakati huu akiwindwa na klabu kadhaa kubwa barani Ulaya....

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne, Januari 18, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mchumba wa Sabaya Aanika Walivyovamiwa Hotelini

Shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake, Jesca Thomas ameieleza mahakama...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Ripoti: Mabilonea Watajirika Zaidi Wakati wa COVID-19

Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya...

READ MORE

Mbeya City Yaitungua Simba Sokoine

MECHI ya Ligi kuu Tanzania Bara imemalizika katika Dimba la Sokoine jijini Mbeya huku Mnyama Simba akiambulia kichapo cha bao...

READ MORE

Mvua Kubwa Kunyesha Siku Tatu Mfululizo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa itakayonyesha hii leo Januari 17, 2022,...

READ MORE

Mfanyabiashara Amchinja Mwanae

Mfanyabiashara Mkubwa Jimbo la Zamfara nchini Nigeria amekamwatwa kwa kosa la kuua kwa kumchinja mtoto wa kiume wa miaka tisa....

READ MORE

Bibi Atamani Kuzaa Mtoto na ‘Mjukuu Wake’

Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua watau Dodoma

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali basi iliyotokea katika eneo la panda mbili wilayani Kongwa mkoani...

READ MORE

Picha ya Nyani Yamponza Kanye

Shirika la kutetea haki za wanyama la nchini Marekani ‘PETA’ ambalo limetoa taarifa ya kuchukizwa na kitendo cha rapa Kanye...

READ MORE

Mwili wa Askari Wakutwa Ukielea Mtoni

OFISA wa Polisi, David Nyanweya (28) ambaye alimpiga risasi mara sita Mpenzi wake Everlyne Njoki, tarehe 22 Agosti, 2020 baada...

READ MORE

Nabi Awakomalia Mastaa Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa hataki kuona nyota wake wakifanya makosa ya kupoteza nafasi yao ya...

READ MORE

Msemaji wa Serikali Anusurika Katika Shambulio la Bomu

Waziri Mkuu wa Somalia, Mohamed Hussein Roble amesema msemaji wa serikali ya nchi hiyo, Mohamed Ibrahim Moalimuu amejeruhiwa katika shambulio...

READ MORE

Kikosi cha Simba Kitakachovaana na Mbeya City

Kikosi cha Simba SC kitakachoanza kwenye mchezo wa ligi ya NBC dhidi ya Mbeya City, utakaochezwa majira ya saa 10:00...

READ MORE

Mhitimu Kidato cha Nne Ajiua

Mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021 Shule ya Sekondari Serengeti mkoani Mara Lucas Thomas (17) amekutwa amejinyonga kwa kamba...

READ MORE

Kisa Chama, Pablo Abadili Mfumo Simba

 BAADA ya ujio wa Clatous Chota Chama ndani ya Simba ni wazi sasa Kocha Pablo Franco itamlazimu kubadili mfumo ambao...

READ MORE

Morrison:Kuanzia Benchi Sio Tatizo

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka kuwa, hana shida na kuanzia benchi ndani ya kikosi hicho, kwani ni jambo...

READ MORE

Kimenuka! Mabomu ya Machozi Yarindima Dar

Polisi mkoani Dar es Salaam wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wa soko la Karume (Mchikichini) ambao wameandamana na kufunga...

READ MORE

Mama Aua Wanaye Wawili

MWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni Mama wa Watoto wawili amejiua kwa kujinyonga baada ya kuwaua kwa...

READ MORE