×

🔴#LIVE: Vigogo CCM Watuhumiwa Kumpiga Polisi, Balozi Atia Mguu Sakata La Polepole | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 22, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 22, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB Yashinda Tuzo ya Benki Salama Zaidi Nchini

  NMB ndiyo benki salama zaidi nchini kwa miaka miwili mfululizo baada ya leo kutangaza kupokea tuzo ya ubora huo...

READ MORE

Dj Dully Kinara wa Ma-DJs, Anyakua Mil 7 Dj Battle

    Desemba 22, 2021: Mdundo, ambayo ni kampuni inayoongoza kwa huduma za muziki mtandaoni Afrika, imemtangaza DJ Dully kuwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Ndoa Yavunjwa kwa Talaka ya tsh Tril 1.4

Wakati watu wakiendelea kufunga ndoa za gharama, pia kuna ndoa ambazo zinaendelea kuvunjika kwa gharama kubwa. Huko nchini Uingereza aliyekuwa...

READ MORE

Diamond Amnunulia Ndinga Dansa Wake

STAA wa muziki barani Africa Simba 🦁 @Diamondplatnumz 🇹🇿amemnunulia gari dancer wake @hbaajuni ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa muda...

READ MORE

Macho, Masikio kwa Polepole

Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey...

READ MORE

Rais Samia Afanya Ziara Katika Kituo cha Redio cha TBC Dar

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 21, 2021 amefanya ziara ya kutembelea Kituo...

READ MORE

Mama Lulu Diva Azikwa Muheza, Tanga

Mwili wa Mama Mzazi wa msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Lulu Abbas au Lulu Diva umezikwa nyumbani kwao...

READ MORE

Umafia Mtupu Usajili Simba na Yanga

USAJILI unaofanywa na Simba na Yanga kipindi hiki cha dirisha dogoni umafia mtupu kwani hakuna ambayeanataka kuona mchezaji wake akiporwa....

READ MORE

Sure Boy Apewa Miaka Miwili Yanga

RASMI kiungo mchezeshaji wa Azam FC, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga. Hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Serikali Kuifuatilia Meli Iliyobeba Taka-Nyuklia

SERIKALI imesema haina taarifa za kushikiliwa kwa meli ya mizigo iliyobeba taka za nyuklia nchini Kenya ambayo iliripotiwa kuwa njiani...

READ MORE

Viongozi CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Kumpiga Polisi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya vijana UVCCM wa...

READ MORE

Ataka Kutapeli Familia ya Mtoto Aliyefufuka, Yamkuta

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema wanamshikilia Charles Christopher kwa kutaka kuitapeli familia ya Mtoto anaedaiwa kufufuka...

READ MORE

Wafungwa Watatu Wanyongwa Hadi Kufa

LEO Jumanne, Desemba 21, 2021, nchi ya Japan imewanyonga hadi kufa wafungwa watatu ikiwa ni mara ya kwanza kwa hukumu...

READ MORE

Kocha mpya Azam aomba muda

KAIMU kocha msaidizi mpya wa Azam, Mohamed Badru ameweka wazi kuwa benchi lao la ufundi linahitaji muda zaidi ili kusuka...

READ MORE

Mrembo Aliehitimu Chuo Kikuu SUA Auawa na Wasiojulikana

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) ambaye amehitimu hivi karibuni aliyefahamika kwa jina la Magreth Mashue ameuwawa...

READ MORE

Simba, Yanga Zakutana Kwa Kiungo Matata

UONGOZI wa kiungo fundi kutoka katika klabu ya DC Motema Pembe ya nchini DR Congo, Karim KimvuidKiekie umeweka wazi kuwa...

READ MORE

Kiboko ya Simba Apiga Hodi Yanga

MSHAMBULIAJI Mnamibia wa timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana, Rudath Wendell ambaye alifunga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye Uwanja...

READ MORE