×

Boti Ya Wahamiaji Yapinduka Gambia — Wengi Waokolewa, Wengine Watafutwa

Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200, imeripotiwa kupinduka usiku wa manane...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Hakikisheni Mradi Wa Bwawa La Maji Kidunda Hausimami – Dkt Mwigulu

WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa...

READ MORE

Video: PM Mwigulu Akagua Athari za Mvua Kidete, Atoa Hakikisho la Serikali

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete,...

READ MORE

Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi

Zohran Mamdani ameanza rasmi kazi yake kama Meya wa Jiji la New York, akiahidi kuubadili utendaji wa serikali ya jiji...

READ MORE

Michezo Moto Barani Ulaya na Asia: Yote Uliyopaswa Kujua Leo

Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na...

READ MORE

Wakazi Wa Lindi Waendelea Kusherehekea Mwaka Mpya Na Makapu Ya Vodacom

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Lindi  Omary Kilumanga (wa nne kulia) akizungumza na wateja pamoja na wakazi wa...

READ MORE

PM Mwigulu Aanza Ziara Morogoro, Akagua Mradi Mkubwa wa Bwawa la Kidunda

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 ameelekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ambapo atakagua maendeleo ya...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi, Oktoba hadi Desemba Yakusanya Sh. Trilioni 9

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13...

READ MORE

AFCON Yazua Balaa: Gabon Yasimamisha Timu, Aubameyang Afungiwa na Kocha Atimuliwa!

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia...

READ MORE

Watu 40 Wafariki, Zaidi ya 100 Wajeruhiwa Mkesha wa Mwaka Mpya – Video

 Mlipuko mkubwa uliotokea mapema alfajiri umeikumba baa ya Le Constellation katika kituo cha kuteleza kwenye barafu cha Crans-Montana, nchini...

READ MORE

Man City Yazidi Kubanwa Yapata Sare Nyingine EPL!

Manchester City imelazimishwa sare tasa dhidi ya Sunderland kwenye Uwanja wa Stadium of Light, katika mchezo uliokuwa mkali lakini bila...

READ MORE

Sweet Holiday Chase Ndani ya Meridianbet Na Mvua Ya Zawadi

Likizo si mapumziko tu, ni hali ya akili. Ndani ya dhana ya Sweet Holiday Chase, msimu wa sikukuu unaonekana kama...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 2,2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mtaalamu Atoa Njia Salama za Kuepuka Radi, Mwongozo wa Kutokufa Upo Hapa

Mtaalamu wetu juu ya Fizikia ya Anga hapa anatujuza na huku akitutahadharisha kuhusu namna nzuri ya kuchukua tahadhari wakati hali...

READ MORE

Rais Mwinyi Awataka Wananchi Washiriki Michezo kwa Afya na Maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi na...

READ MORE

Nyimbo 10 Bora Zilizotikisa Afrika Mwaka 2025

Mwaka 2025 umekuwa mwaka wa muziki wa kipekee barani Afrika, ukiwakilisha mchanganyiko wa midundo ya zamani na ya kisasa. Hapa...

READ MORE

Bupandwa FC Yaibuka Mabingwa wa Bonanza la Shigongo kwa Penati 3–0

Timu ya Bupandwa FC imeibuka mshindi wa Bonanza la Shigongo la Kufunga Mwaka, baada ya kuichabanga Katwe FC kwa mikwaju...

READ MORE

TRC Yasitisha Safari za Treni ya SGR Kati ya Dodoma na Morogoro

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha safari za treni ya mwendokasi (SGR) kwa ruti ya Dodoma – Morogoro kwa...

READ MORE

Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025

Mwaka 2025 umeendelea kuonesha kwa nini Afrika Kusini ni moja ya nguzo kubwa za muziki barani Afrika. Kuanzia vilabu vya...

READ MORE